angekuwepo mwamba hata hofu ya corona isingekuwepo.ila nakulaumu 2 hata kwa kutomtengeneza hata mmoja awe kama wewe na kumpa umakamuwa rais tulikupenda na kovu lako linachelewa kupona
 
Hakika tutakukumbuka milele daima najua ulifanya mambo mabaya mengi lakini mema yako yalikuwa mengi zaidi kwa sababu uliwekeza kwenye watu wa hali ya chini.

Magufuli popote ulipo mimi kama nilikukosea kwa vyovyote naomba unisamehe

Magufuli naomba utuombee kwa Mungu atupiganie maana mabepari yamechukua tena nchi yetu.

Watu wa chini sisi walala hoi tutakukumbuka milele

Bei ya mafuta Leo bukoba 2800 wakati Rwanda 2000

Bei ya mafuta Tunduma 2650 wakati Zambia 2100

Tozo za simu ndio usiseme, watu hawaishi tena Dodoma kutwa kupishana air port na mabarakoa na morogoro road na maviete hakika nitakukumbuka.

R.I.P
 
Hatari sana aisee
 
Mama Samia hataki kupora fedha za Matajiri kwny Accounts zao kwa kisingizio ha Uhujumu uchumi ili akamalizie miradi aliyopokea

Anataka kila Raia achangie Stiglers gauge na miradi mingine mikubwa

Ikibidi kodi ziongezeke kuliko kupora ma Bureade change za watu na kupora pesa za matajiri kwa 'task force'

Mambo ya kusema tunajenga miradi kwa 'fedha za ndani' iwe kweli kwa fedha za ndani za kodi stahiki
 
Mtu anaimbwa kuwa aliwekeza kwa watu wa chini huku hata kusaidia kuajiri hao watoto wa wakulima kidogo wasaidie familia zao alishindwa.

Aliwasaidia kivipi hao watu wa hali ya chini?..ni bima ya bure alitoa au ni nini?
 
Kila kitu kwa moderation..

Sio una funga vitu vingine pesa+ za wizi unapeleka kwenye miradi mikubwa..

✓Ajiri kidogo

✓Pandisha watu madaraja.

✓Ongeza mishahara.

✓Lipa madeni ya ndani.

✓Hakikisha mafao wazee wanapata ontime.

✓Dawa hospitalini zipatikane.

Ni bora tukatwe hiyo kodi ila miradi iende na hayo niliyoyataja hapo juu yaende pia..Tofauti na hapo itakuwa ni kama zama za Mwendazake.
 
Mama alisema yeye na Magufuli Wamoja sasa kwanini Mnamgeuka Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…