fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Kuzuia safari za nje
Kudhibiti Rushwa
Kuwafanya watu wawe na matumizi mazuri ya hela
Kudhibiti Rushwa
Kuwafanya watu wawe na matumizi mazuri ya hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa majambazi kajitahidiThis is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
Maisha tunayoyaishi ni mafupi sana but binadamu huwa tunasahaulishwa na mambo makuu matatu either madaraka, pesa na afya so jiwe alilewa one among mentioned na akasahau siku za kuishi ni chache sana (rejea maandiko ya dini) so in my side naamini sana katika hofu ya mungu seriously ukiwa nayo huwez kukosa hekima especially kwa kiongoz kama rais!!!!!!!!!Mi nilishangaa tu kwa mtu aliyedaiwa kuwa ni mcha Mungu hakuwakemea waliomfananisha au kumpa hadhi ya " umungu" sijui hakusikia au vipi ?
Kuongeza mshahara wakati unakaribia kutoka ilikuwa ni uhuni na kumfanya Rais ajaye aonekane hafai.Angeongeza mishahara ingekuwa mikubwa zaidi kiasi kwamba ingekuwa ngumu kwa mwenzie kufanya miradi mikubwa ya Maendeleo.Alitakiwa aongeze mshahara akiwa madarani sio kusubiri unakaribia kutoka ili kuwapa mzigo wengineAlisema ataongeza na kupandisha mishara akikaribia kutoka madarakani. Alisahau mwanadamu anapanga na Mungu anaamua.
Magufuli keshukufa hashauriki tena.Futeni hii kitu mods vp
I still have my mind in my head and as of the moment, cannot understand whyYou never know value of something until you loose it
Kuna Mungu nq Miungu mkuu!Mi nilishangaa tu kwa mtu aliyedaiwa kuwa ni mcha Mungu hakuwakemea waliomfananisha au kumpa hadhi ya " umungu" sijui hakusikia au vipi ?
Vp tumuweke kwenye dua akaungane na stone cold auNdugai vipi?
5. No double standards.“A true leader has the confidence to stand alone, the courage to make tough decisions, and the compassion to listen to the needs of others. He does not set out to be a leader, but becomes one by the equality of his actions and the integrity of his intent.”
1.Msimamo
2.Kututia ujasiri
3.miundo mbinu
4.Kutuondolea ufisadi
Hahaha, ndugu tatizo waTanzania tunadhani kifo ni "Sanitizer" kwamba kinamsafisha mtu, marehemu asemwe kwa mabaya yake na mazuri yake, sio kutaja mazuri tu na kuacha mabaya,Hakuna lolote unalolijua.....afadhali ungekufa wewe abaki yeye tu. R.W.Y.D.(Rest Where You Deserve) JPM
Nimeishi Dar, Morogoro na Iringa, Dar kulikuwa na shida ya maji, ila Moro na Iringa ahida ya maji iliisha tangu Kikwete era, so nothing special hapo ni muendelezo, asionekane kama mkombozi wakati alikuwa na roho mabaya sana, katili mno!Kwakweli sio uwongo maji ya bomba mtaani kwetu yalikuwa yanatoka usiku tu
Yaan unapeleka ndoo usiku unazifata asubuhi
Lakini sasa hivi kwanza kila nyumba ina bomba asiyevuta bomba ni ubahiri wake tu mwenyewe wa kijinga
Na maji yasipotoka mtaani siku 1 tu unapiga simu DAWASCO mbna maji hayatoki leo vipi ?
Na unajibiwa kuna matengenezo ya barabara yatatoka jioni au kesho nk yaan unapewa sababu yenye mashiko
Tangu magufuri aingie madalakani sijawahi sikia kuna Bomba limepasuka huko BOKO sijui Bunju kama miaka ya nyuma wiki nzima mpk tunashuka mkwajuni BONDENI kama sio frolida kufata maji au jangwani km hakieleweki tunaua winga boda la SUNA muhimbiri hiyo kufata bomba kubwa la maji ni noma miaka hiyo
Umeme sasa TANESCO zamani ile shoti nyumba hii inawaka halafu zingine haziwaki
ikitokeaga hivyo enzi hizo tunajisemea jamani hii mpk kesho leo tunalala giza tu
Lkn katika utawala wa magufuri yaani hata sasa hivi muda huu saa 9 usiku umeme transfoma lizogoe ukiwapigia TANESCO ndani ya lisaa au nusu saa washatia timu
Nazungumzia experience yangu kwa mkoa wa DAR kwa miaka zaidi ya 30 tangu Nipate Kuishi hapa MKOANI DAR ES SALAAM
sasa sijui huko NYANDA ZA JUU KUSINI hali ilikuaje BEFORE and NOW
Wangapi tulisikia walikufa kwenye utawala wake? Tuanzie hapoKati ya watu ambao walimlaani huyu mzee, na mimi ni mmoja wao! Maana hakututendea kabisa haki watumishi wa umma katika utawala wake.
Ila sijawahi kumuombea kifo. Katika hili, namtakia pumziko la milele.
Kifo ukisikie tu kwa jirani. Ila huleta maumivu makali sana unapo ondokewa na mpendwa wako.
We utakuwa muangaliaji wa propaganda za TBCNitamkumbuka kwa mema yenye tija na maendeleo kwa nchi yetu. Hakika ni raisi wa kipekee kwangu aliutendea haki utendaji kazi wake bila kumuogopa binadam yeyote. Mungu ampumzishe kwa amani kiongozi wetu aliyekuwa na uthubutu wa kufanya mambo.
[emoji992][emoji992][emoji992][emoji992][emoji992] [emoji992][emoji992][emoji992][emoji992][emoji992][emoji992][emoji992][emoji992]l[emoji992][emoji992][emoji992][emoji992]