joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yaah kwa mtizamo wako,ila mimi kwangu ni alikiwa bora baada ya Nyerere na ndio uzuri wa demokrasia sio lazima wote tufanane.Best of the worst.
Kidnapper,and assassin!
Corrupt,
Tribal!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah kwa mtizamo wako,ila mimi kwangu ni alikiwa bora baada ya Nyerere na ndio uzuri wa demokrasia sio lazima wote tufanane.Best of the worst.
Kidnapper,and assassin!
Corrupt,
Tribal!!!!
Mtu asiyethamini uhai wa wenzake Hana nzuri lolote.Magufuli haja bahatika bali umahiri wake wa uchapakazi,uwajibikaji,ufuatiliaji kipindi alipokuwa waziri ndipi kimempa nafasi ya kuwa Waziri.Mimi sipo hapa kukufanya uamini,mimi nipi hapa kuongelea mazuri ya Magu na ndio maana kwangu ataendelea kuwa bora.
Kwako na story za kusadikika ila kwangu ni Rais bora.Mtu asiyethamini uhai wa wenzake Hana nzuri lolote.
Mimi Ni mdemokrasia kwa hiyo Sina neno na wewe kwa hapa. Tatizo tu Ni kuwa ninyi pro Mwendasake hamkubali kukubaliana kutokubaliana. Alipokuwa hai ninyi na yeye pamosi hamkupenda kukosolewa, alipokufa mlihuzunika Ila Sisi tulipotaka kusheherekea mkalakamika na kutuwinda, Sasa hivi bungeni mnasifia mnayoyaita mazuri yake ila sisi tukielezea ushetwani wake alotutenda mnapaniki.Yaah huo wako ila mwamba alikuwa unique upande wa misimamo yake,wewe huona sikulaumu ila mimi nimeona kwenye madini,Corona,sekta ya ujenzi,Afya ndio uzuri wa demokrasia kila mmoja abaki na anacho kiamini na kuendelea KUKUBALI KUTO KUKUBALIANA.
Basi endelea kushikilia lako,ila kwangu ni Rais bora na endelea kuwa hivyo kwangu.Mimi Ni mdemokrasia kwa hiyo Sina neno na wewe kwa hapa. Tatizo tu Ni kuwa ninyi pro Mwendasake hamkubali kukubaliana kutokubaliana. Alipokuwa hai ninyi na yeye pamosi hamkupenda kukosolewa, alipokufa mlihuzunika Ila Sisi tulipotaka kusheherekea mkalakamika na kutuwinda, Sasa hivi bungeni mnasifia mnayoyaita mazuri yake ila sisi tukielezea ushetwani wake alotutenda mnapaniki.
Tunataka watu tuwe na Uhuru wa kukubaliana, kutokubaliana au kukubaliana kutokubaliana na Uhuru huu ubebwe ndani ya katiba mpya inayoweka Tume Huru ya Uchaguzi, Bunge Huru la Wana wa Nchi na Mahakama Huru.
Kama kweli wewe Ni muumini wa kukubaliana kutokubaliana kama ulivyotanabahi kabla Basi Ni lazima kabla hatujachana hapa ukiri kuwa Hilo la katiba mpya si langu peke Bali letuso. Vinginevyo u mnafki.Basi endelea kushikilia lako,ila kwangu ni Rais bora na endelea kuwa hivyo kwangu.
Nani kazungumzia katiba mpya?Kama kweli wewe Ni muumini wa kukubaliana kutokubaliana kama ulivyotanabahi kabla Basi Ni lazima kabla hatujachana hapa ukiri kuwa Hilo la katiba mpya si langu peke Bali letuso. Vinginevyo u mnafki.
Ni winbo wa Taifa huo na hitajio la lazima.Nani kazungumzia katiba mpya?
Ni winbo wa Taifa huo na hitajio la lazima.
Ni ngumu kukubaliana kutokubaliana chini ya katiba iliyopo.
Hahahhahahahaa...na mitusi yakeTutamisi yale masuti yake makubwa na kula mahindi barabarani bila kumsahau kauli zake za kebehi, ubabe na majigambo. Labda kiingereza chake 😃😃😃
Wewe si ni Joseph wewe!? Umeona uje umtetee mzee wako mwendazake!?Kwako na story za kusadikika ila kwangu ni Rais bora.
Mpuuzi ni wewe ambae unajaribu kupinga ukweli.Sijui mods wamelala?
Huu uzi mbona unajadili vitu vya kijinga sana.
Tanzania ina kila aina ya watu wajinga na wapumbavu pia wamo.
Nadhani unamaanisha mioyo ya Wasukuma.mtaumia sana na kumsema vibaya magufuli lakini huwezi kumtoa magufuli kwenye mioyo ya watanzania karibu wengi. unajisumbua usije kuwa wewe ni mfanyakazi hewa au vyeti feki, au fisadi na wizi au mla rushwa ulie gushwa na Hayati magufuli au mwanasiasa.
Chuki kwa hayati hizi. Hazitakufikisha popote.Mpuuzi ni wewe ambae unajaribu kupinga ukweli.
Hemu tutokee na ukilaza wako hapa na utuache wenye akili na uzalendo tujadili mstakabali wa Nchi yetu ikiwa ni pamoja na kushukuru kwa mema ambayo Mungu anaendelea kututendea Watanzania.
Hakika hatutasau ukatili, ushamba, ubabe, uonevu, ukabila na udikteta tuliopitia kwa miaka 5 iliyopita. Kamwe, hatutasau.