Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli haja bahatika bali umahiri wake wa uchapakazi,uwajibikaji,ufuatiliaji kipindi alipokuwa waziri ndipi kimempa nafasi ya kuwa Waziri.Mimi sipo hapa kukufanya uamini,mimi nipi hapa kuongelea mazuri ya Magu na ndio maana kwangu ataendelea kuwa bora.
Mtu asiyethamini uhai wa wenzake Hana nzuri lolote.
 
Yaah huo wako ila mwamba alikuwa unique upande wa misimamo yake,wewe huona sikulaumu ila mimi nimeona kwenye madini,Corona,sekta ya ujenzi,Afya ndio uzuri wa demokrasia kila mmoja abaki na anacho kiamini na kuendelea KUKUBALI KUTO KUKUBALIANA.
Mimi Ni mdemokrasia kwa hiyo Sina neno na wewe kwa hapa. Tatizo tu Ni kuwa ninyi pro Mwendasake hamkubali kukubaliana kutokubaliana. Alipokuwa hai ninyi na yeye pamosi hamkupenda kukosolewa, alipokufa mlihuzunika Ila Sisi tulipotaka kusheherekea mkalakamika na kutuwinda, Sasa hivi bungeni mnasifia mnayoyaita mazuri yake ila sisi tukielezea ushetwani wake alotutenda mnapaniki.

Tunataka watu tuwe na Uhuru wa kukubaliana, kutokubaliana au kukubaliana kutokubaliana na Uhuru huu ubebwe ndani ya katiba mpya inayoweka Tume Huru ya Uchaguzi, Bunge Huru la Wana wa Nchi na Mahakama Huru.
 
Basi endelea kushikilia lako,ila kwangu ni Rais bora na endelea kuwa hivyo kwangu.
 
Basi endelea kushikilia lako,ila kwangu ni Rais bora na endelea kuwa hivyo kwangu.
Kama kweli wewe Ni muumini wa kukubaliana kutokubaliana kama ulivyotanabahi kabla Basi Ni lazima kabla hatujachana hapa ukiri kuwa Hilo la katiba mpya si langu peke Bali letuso. Vinginevyo u mnafki.
 
Kama kweli wewe Ni muumini wa kukubaliana kutokubaliana kama ulivyotanabahi kabla Basi Ni lazima kabla hatujachana hapa ukiri kuwa Hilo la katiba mpya si langu peke Bali letuso. Vinginevyo u mnafki.
Nani kazungumzia katiba mpya?
 
mm nimemkumbuka yule jamaa mpayukaji wa kule mbeya aliedai ameongea nae adi kampa mahela ya mradi gani cjui wkt mwenzake anapambana na Israeli mnyofoa roho.
 
Tutamisi yale masuti yake makubwa na kula mahindi barabarani bila kumsahau kauli zake za kebehi, ubabe na majigambo. Labda kiingereza chake 😃😃😃
 
Kwako na story za kusadikika ila kwangu ni Rais bora.
Wewe si ni Joseph wewe!? Umeona uje umtetee mzee wako mwendazake!?

Ngoja tu nikueleze ukweli, hata utumie nguvu ya nyuklia kujaribu kuaminisha watu mazuri ya huyo Jiwe hautafanikiwa!

Watanzania tunajua Jiwe alikuwa na sifa zifuatazo na huu ndio msimamo wetu:

1. Dikteta,

2. Asiyethamini uhai wa watu wengine - Kuna tuhuma nyingi mno za watu kuuwawa, kutekwa na kuteswa ambazo zilikuwa za kawaida sana katika kipindi chake na hakuwahi, narudia, hakuwahi kukemea,

3. Ukabila na Ukanda,

4. Ufisadi na upigaji. Inaaminiwa kuwa hakuna Awamu watu wachache wamefanya ufisadi mkubwa kama kipindi kifupi cha Jiwe. Ingawa sasa alikuwa hataki wengine wanufaike hata kisheria - Hapa nazungumzia Watumishi wa Umma,

5. Ubabe wa kishamba na kufokea fokea watu,

6. Asiyeheshimu Katiba - Hapa mifano ni mingi hata siwezi kuimaliza. Anza na wabunge 19 wa CHADEMA,

7. Matumizi ya hovyo ya raslimali za Nchi - Hapa mifano ipo tele tukianza na miradi aliyoiita ya 'Kimkakati' kumbe ni utopolo tu na inatia Nchi hasara vizazi kwa vizazi. Mfano ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Chato, ununuzi wa mandege, ujenzi wa bwawa la umeme, ujenzi wa SGR n.k
.
.
.
.
.
100. Maovu ni mengi sana ila baya zaidi ya yote, alitaka kuabudiwa na wanadamu na kufanywa yeye awe zaidi ya Mungu, Yesu na Mtume Muhammad. Hapa rejea kauli za kina Mzee wa jalalani, Shekhe mkuu wa Dar na wapiga mapambio wengine ambao walikuwa wakimuita "Mungu" kwa mara kadhaa,

Sasa pitia hayo yote halafu tafakari kama utaweza kubadili msimamo wa Wananchi walio wengi dhidi ya huyo Jiwe.
 
Sijui mods wamelala?

Huu uzi mbona unajadili vitu vya kijinga sana.

Tanzania ina kila aina ya watu wajinga na wapumbavu pia wamo.
Mpuuzi ni wewe ambae unajaribu kupinga ukweli.

Hemu tutokee na ukilaza wako hapa na utuache wenye akili na uzalendo tujadili mstakabali wa Nchi yetu ikiwa ni pamoja na kushukuru kwa mema ambayo Mungu anaendelea kututendea Watanzania.

Hakika hatutasau ukatili, ushamba, ubabe, uonevu, ukabila na udikteta tuliopitia kwa miaka 5 iliyopita. Kamwe, hatutasau.
 
mtaumia sana na kumsema vibaya magufuli lakini huwezi kumtoa magufuli kwenye mioyo ya watanzania karibu wengi. unajisumbua usije kuwa wewe ni mfanyakazi hewa au vyeti feki, au fisadi na wizi au mla rushwa ulie gushwa na Hayati magufuli au mwanasiasa.
Nadhani unamaanisha mioyo ya Wasukuma.

Hapo kwenye Watanzania unajaribu kujifariji tu. Watanzania walio wengi walikuwa hawamtaki na ushahidi wala sio wa kutafuta kwa tochi.

Kama anaamini alikuwa anapendwa, angejaribu kuwa kama Kikwete akafanya uchaguzi ulio huru na haki halafu aone matokeo.
 
Nitambumbuka kwakuniweka maskini wakutupwa kwakuharibu shughuli yangu halali yenyeleseni halali nilionunua dukani kihalali narisiti nilipewa hadileo mashine zangu anazishikilia nikalipe pesa hii nibaada ya kuchomewa nyavu zangu kwenye tokomeza uvuvi haram ziwa tanganyika kata yakalya wilaya uvinza ukweli wausika walisema nyavu zipo sawa lakini wao wametumwa pesa sikua napesa wakasema kama huna pesa tunazichoma kweli wakachoma kifupi hazikuwa haram kilicho zichoma nikuomba dhuluma mungu amuoneshe kama ninavyo sumbuka nafamilia yangu
 
Mpuuzi ni wewe ambae unajaribu kupinga ukweli.

Hemu tutokee na ukilaza wako hapa na utuache wenye akili na uzalendo tujadili mstakabali wa Nchi yetu ikiwa ni pamoja na kushukuru kwa mema ambayo Mungu anaendelea kututendea Watanzania.

Hakika hatutasau ukatili, ushamba, ubabe, uonevu, ukabila na udikteta tuliopitia kwa miaka 5 iliyopita. Kamwe, hatutasau.
Chuki kwa hayati hizi. Hazitakufikisha popote.
 
Back
Top Bottom