Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa upande wangu hata huduma ziwe mbovu sana kwenye jamii ila mfukoni pesa ikiwepo naona fresh,utafurahia vip huduma bora kwenye jamii ukiwa huna hela,tunadanganyana mzee.yaan utolewe out na washkaj uone meza imejaa af mfukon huna mia ya kujitetea unafikir utafurahia kama wengne.,[emoji1][emoji1][emoji1]Hakuna kiongozi ameweza kufanya makubwa kama magufuli, mbona kipindi kile, mishahara ilipandishwa lakibi huduma katika jamii ni za hovyo kuanzia miundombinu, huduma hospitalini, kilw mmoja kafanya yake ila huyu mzee kaenda extra miles.
Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
Maisha ni leo sio kesho,kesho haiishi,tangu uhuru nchi inajengwa, huwezi wanyima watumishi haki zao za kikatiba kisha unajenga miradi igusayo maeneo machache huku haki za wengine zimesimama.Hii ilisaidia sana kwa wafanyakazi kujiongeza na kujifunza Ujasiliamali. Maana watu wengi walibweteka na mishahara yako.. Inchi ipo kwenye construction MODE. Pesa nyingi inatumika kugharamia miradi mikubwa ya kimkakati na kupitia hiyo miradi, ajira nyingi mpya zimepatikana. Hivyo basi, haikuwa rahisi kupandisha wafanyakazi madaraja ihali hakuna Pesa ya kuwalipa kutokana na kupanda madaraja katika sehemu zao za kazi.
Kitu ambacho tunatakiwa tukifahamu ni kwamba, JPM alikuwa na UTHUBUTU wa kufanya MAAMUZI MAGUMU kwa manufaa ya FUTURE ya Tanzania. Ingawa kwa Maamuzi hayo magumu, UKIMFU (upungufu wa Kinga Mfukoni) uliongezeka sana, but all for the better
9:kuhamishia Kilimanjaro BWANGA!1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
watu wasijulikana na shambulio baya la Tundu Lissu.Kuna watu wamezoea kuishi kama watumwa kulingana na walivyolelewa.
Lakini kwa tuliolelewa kwa uhuru hakika tulionja ladha ya ukoloni.
Namwombea mama afute ukoloni, nchi yetu ipate uhuru wake tena.