Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
 
Kama vipi mfuate tu huko aliko, ndio utakuwa uamuzi mzuri!!kwani kwa mpira huu mama anaoupiga ni lazima MWENDAZAKE MASALIA, mpate tabu sanaaa!!kuna wimbo mmoja wa dini unasema MUOMBEE ADUI YAKO , AISHI MIAKA MINGI ILI AONE UNAVYOBARIKIWA"
 
Miundombinu sijui maendeleo unayoyaita yalikuwa na sababu za kisiasa tu ili watu wabaki muda mrefu ktk utawala na wananchi wasihoji matumizi ya pesa zao ( refer Atcl, 1.5 Trillion, uwanja wa Chato mpaka magenge haramu ya kina Sabaya na Bashite) kama danganya toto kwa Wadanganyika, ni miundombinu kwa gharama kubwa na maumivu waliopitia raia wengi

Tunataka maendeleo kweli lkn sio kwa kuumizana na tena bila sababu za msingi na ni sie wananchi ndiyo tulio wapa dhamana ya kutuongoza afu tunageuka kama mifugo (tunaswagwa tu) ya mtu na ka kikundi kake kupeleka malishoni au kwenye machinjio
 
Msiogope Hawa wazee wanaokula life wenyewe badala cake ya taifa na vijana tuionje hasa wasomi achana nao wote wata RIP SOON.... MAGUFULI alikuwa shujaa kwangu alitimiza Ila udhaifu wake Ni kubana ajira makusudi(huku akijisifu Serikali yake Ina hela) Cha pili Cha kijinga Ni kutubania Katiba mpya ili kufurahisha CCM.. kingine Ni kumpiga lissu risasi na km sio kumpiga Basi kutomsemea Wala kumtetea....

Kosa baya mama Samia anataka kulirudua Ni kuwa mpole kupita kiasi akiamini anaitibu nchi kumbe anaharibu

Wabongo sisi tunajuana sio watu wa kuachiwa hata dakika maana utapigwa tu.
 
Kula sumu tukakuzike naye Chattle...
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
 
Inahuzunisha sana! SSH anadhani kwa kuonehsa chuki za waziwazi kwa JPM atajijengea umaarufu kisiasa! Ukweli wengi wamebaki kinywa wazi, machozi yao wana mwachia Mungu aliyeruhusu haya!

Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?

Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?

Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.

Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.

Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.

Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.

Mungu mbariki mama Samia.
 
Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Aje akuchukue ukaungane naye huko aliko.

Kama unaona anachelewa kufanya hivyo, ni rahisi tu kuungana naye huna sababu ya kuendelea kuumia hapo alipokuacha. Fanya alivyofanya yeye, COVID-19 ipo hapo, sasa tuna toleo la tatu na jina jipya la 'delta'. Nenda kaidharau 'delta', kama yeye alivyoidharau iliyokuwa inatamba wakati huo, tuone kama utapiga chenga mbili tatu!
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Hapo kwenye mtandao wa rami unasema ukweri ndugu yangu.

Wasarimie hapo Chato
 
Hapo uliposema. “Rami” tu nimekudharau mithili ya mpira wa condom uliotumika… nimejua directly unatokea kundi gani….

Mfwate kuzimu mkatawale wote.
 
Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?

Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?

Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.

Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.

Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.

Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.

Mungu mbariki mama Samia.

Alikua akiimba tumwabudu Mungu huku kiunoni kazungusha mzigo wa hirizi… alivyovirigwa kwenye ngozi mbichi ya kondoo pale chato ndo tulihitimisha ule uvumi kuwa jamaa alikua mchawi kupita kiasi!!
 
Magufuli aliumiza kila mtu moja kwa moja au vinginevyo-wafanya biashara, wafanyakazi, wakulima, upinzani nk . Hivi wewe jamaa yetu uko kundi gani?
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
 
Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?

Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?

Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.

Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.

Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.

Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.

Mungu mbariki mama Samia.
Ametenda wema wake kwa Taifa hili, na sasa ameenda zake, hakungoja shukurani..

Back
Top Bottom