MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama kwenu hakuna aliyeoza mpaka muda huu nyie ni malaika na kama na wewe pia hutaoza hongera sanahv kumbe watu wengi hivi mlimchukia Jiwe?
Yule alikua jiwe kweli kweli, sisi kama vijana tuliosoma ualimu hatutamsahau
It's too much, hata kama mdau ana hasira ila kwa hili bandiko ameenda mbali sana.Mzoga uozao si wa Magufuli pekee bali hata nyumbani kwako ipo mizoga iozao ya wapendwa wako kwa muktadha huo furahia na uozo wako pia
Mshamba sana!It's too much, hata kama mdau ana hasira ila kwa hili bandiko ameenda mbali sana.
mambo ya kuoza yametoka wapi we fal*a umeniquote umeona mi nimetaja hapo?Basi kama kwenu hakuna aliyeoza mpaka muda huu nyie ni malaika na kama na wewe pia hutaoza hongera sana
Jiwe alilewa madaraka kama alikunywa kangara/mkaaangafuu😂😂😂.. Akwendee kule 🚮🚮. Alikua Rais wa hooovyoo kabisa!!hv kumbe watu wengi hivi mlimchukia Jiwe?
Yule alikua jiwe kweli kweli, sisi kama vijana tuliosoma ualimu hatutamsahau
Newton mpaka wajukuu zako watamtaja, so wewe ulipomtaja (kama ulisoma) aliwahi kuja kukusalimia akarudi kuzimu?.Acha Kumtajataja Amepumzika Sasa Hivi
Amelala Mauti, Hataweza Kuamka Tena
He is My sons's legacy
Ametusaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Kwann msimfufue ongeen na gwajimaApumzike Kwa Amani
Uzi wako huu haujafutwa1)Kumaliza tatizo la kuchelewa magali kutoka bandarini sasa hivi bandari kavu za mafisadi wanalala panya na paka
2) Kuhakikisha Umeme wa rea unawaka katika vijiji vyote Tanzania
3) Kudhibiti ujambaazi
4) Malipo ya serikali kufanyika kwa control namba
5) Elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita
6) Reli ya mwendo kasi
7) Bwawa la Umeme
8) Mwendokasi kutoka mbagala hadi kariakoo na kutoka JKT hadi magomeni
9) Ndege za kisasa Dream liner, Airbus na Bombadia
10) Mirahaba ya madini kutoka.Barick na Arcacia
11) Muhimbiri mashine za Citiscan na MRI hazijaharibika mika yote 5 uliyokaa madarakani
12) kuwatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa COVID tukawa tunadunda tu mitaa ya Msimbazi na Kongo na visantaiza vyetu mfukoni
13) Kuvunja mkataba wa IPTL
14) Kuwatumbua watumishi wasiokuwa waadalifu
15) Kuwashughulikia mafisadi wengine walikimbilia nje ya nchi na wengine kuwekwa mahabusu kama yule singasinga wa IPTL
Na mengine mengi tu ambayo sijayaandika R.I.P jembe
Hapana, alikuwa katili mno. Faida ya kumsema sasa ni ili watu hasa viongozi wajifunze kuwa waadilifu.Duh! tumuacheni basi apumzike kidogo, aliumiza, alitesa na lolote alilofanya ila sasa hayupo, hasikii na hata jibu, hasira zetu tunaitesa familia kwa sasa, kama tuna furaha ya kufa kwake nafikiri tubaki nayo moyoni, binafsi sikuwa muumini wake ila kha! sasa basi.
Ninbora magufuli angetawala maisha kuliko huu utopolo wa sasa HV tulionao na Wal Hakuna mpinnzan wa maana wa kupewa nnchi hi Ni Mara Mia magu angebaki kulikoni huu urojo uliopo Sasa hvNinajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
Hicho ndicho kinatufurahisha