Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Duh! tumuacheni basi apumzike kidogo, aliumiza, alitesa na lolote alilofanya ila sasa hayupo, hasikii na hata jibu, hasira zetu tunaitesa familia kwa sasa, kama tuna furaha ya kufa kwake nafikiri tubaki nayo moyoni, binafsi sikuwa muumini wake ila kha! sasa basi.
 
hv kumbe watu wengi hivi mlimchukia Jiwe?

Yule alikua jiwe kweli kweli, sisi kama vijana tuliosoma ualimu hatutamsahau
Basi kama kwenu hakuna aliyeoza mpaka muda huu nyie ni malaika na kama na wewe pia hutaoza hongera sana
 
hv kumbe watu wengi hivi mlimchukia Jiwe?

Yule alikua jiwe kweli kweli, sisi kama vijana tuliosoma ualimu hatutamsahau
Jiwe alilewa madaraka kama alikunywa kangara/mkaaangafuu😂😂😂.. Akwendee kule 🚮🚮. Alikua Rais wa hooovyoo kabisa!!
 
1)Kumaliza tatizo la kuchelewa magali kutoka bandarini sasa hivi bandari kavu za mafisadi wanalala panya na paka

2) Kuhakikisha Umeme wa rea unawaka katika vijiji vyote Tanzania

3) Kudhibiti ujambaazi

4) Malipo ya serikali kufanyika kwa control namba

5) Elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita

6) Reli ya mwendo kasi

7) Bwawa la Umeme

8) Mwendokasi kutoka mbagala hadi kariakoo na kutoka JKT hadi magomeni

9) Ndege za kisasa Dream liner, Airbus na Bombadia

10) Mirahaba ya madini kutoka.Barick na Arcacia

11) Muhimbiri mashine za Citiscan na MRI hazijaharibika mika yote 5 uliyokaa madarakani

12) kuwatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa COVID tukawa tunadunda tu mitaa ya Msimbazi na Kongo na visantaiza vyetu mfukoni

13) Kuvunja mkataba wa IPTL

14) Kuwatumbua watumishi wasiokuwa waadalifu

15) Kuwashughulikia mafisadi wengine walikimbilia nje ya nchi na wengine kuwekwa mahabusu kama yule singasinga wa IPTL

Na mengine mengi tu ambayo sijayaandika R.I.P jembe
 
Nazani tunaona vituko kipindi cha uwasilishaji wa bajeti wizara ya ujenzi. Mpaka sasa kuna mbunge karuka sarakasi, leo mwengine kapiga magoti,mwengine kalia, unaweza ukashangaa kesho mbunge mwengine akapiga msamba.

Mpaka unawaona wabunge wanafanya vituko jua washaona mambo hayaendi kama yalivyokuwa ya kienda kipindi cha nyuma.Wengi wao mawazo yao yapo kwenye nafasi zao za ubungo 2025.

Ile wizara aliiweza Anko mwenyewe, tokea akiwa waziri wa ujenzi mpaka Rais.Kikwete mwenyewe alivyo mpelekaa wizara ya uvuvi alivyogundua mambo hayaendi akamrudisha ujenzi,sababu alijua yy mwenyewe sio mfuatiliaji alikuwa mzee wa kusafiri tuu na kwa sasa mama kasema yy sio SIMBA WA YUDA so wakandarasi wanaseleleka tu watakavyo.
 
Mwacheni Mama aifungue nchi.
Sgang mna mbwelambwela,
mkazikwe pembeni yake
 
Acha Kumtajataja Amepumzika Sasa Hivi
Amelala Mauti, Hataweza Kuamka Tena
Newton mpaka wajukuu zako watamtaja, so wewe ulipomtaja (kama ulisoma) aliwahi kuja kukusalimia akarudi kuzimu?.
 
9956B710-AD7C-4569-A1FF-9FD3155FA919.jpeg
 
Mimi nipo tofauti na wewe kwa 100% asante Mungu.kwa kuingilia kati kuinusuru nchi!!
Huyo.Mtamsifu sana ila debe tupu halikosi kelele
He is My sons's legacy

Ametusaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
 
1)Kumaliza tatizo la kuchelewa magali kutoka bandarini sasa hivi bandari kavu za mafisadi wanalala panya na paka

2) Kuhakikisha Umeme wa rea unawaka katika vijiji vyote Tanzania

3) Kudhibiti ujambaazi

4) Malipo ya serikali kufanyika kwa control namba

5) Elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita

6) Reli ya mwendo kasi

7) Bwawa la Umeme

8) Mwendokasi kutoka mbagala hadi kariakoo na kutoka JKT hadi magomeni

9) Ndege za kisasa Dream liner, Airbus na Bombadia

10) Mirahaba ya madini kutoka.Barick na Arcacia

11) Muhimbiri mashine za Citiscan na MRI hazijaharibika mika yote 5 uliyokaa madarakani

12) kuwatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa COVID tukawa tunadunda tu mitaa ya Msimbazi na Kongo na visantaiza vyetu mfukoni

13) Kuvunja mkataba wa IPTL

14) Kuwatumbua watumishi wasiokuwa waadalifu

15) Kuwashughulikia mafisadi wengine walikimbilia nje ya nchi na wengine kuwekwa mahabusu kama yule singasinga wa IPTL

Na mengine mengi tu ambayo sijayaandika R.I.P jembe
Uzi wako huu haujafutwa
 
Duh! tumuacheni basi apumzike kidogo, aliumiza, alitesa na lolote alilofanya ila sasa hayupo, hasikii na hata jibu, hasira zetu tunaitesa familia kwa sasa, kama tuna furaha ya kufa kwake nafikiri tubaki nayo moyoni, binafsi sikuwa muumini wake ila kha! sasa basi.
Hapana, alikuwa katili mno. Faida ya kumsema sasa ni ili watu hasa viongozi wajifunze kuwa waadilifu.
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Ninbora magufuli angetawala maisha kuliko huu utopolo wa sasa HV tulionao na Wal Hakuna mpinnzan wa maana wa kupewa nnchi hi Ni Mara Mia magu angebaki kulikoni huu urojo uliopo Sasa hv
 
Back
Top Bottom