Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa kwa wanawakeAlikua anapenda matusi tusi .hatasahaulika...
Watu wanaimba Trillion 11 Wewe bado umekariri 1.5Rip Shujaa!
Mbona unasahau swaga nyingine?
Mara kakwapua Tril 1.5
Mara kfungua akaunti China hela za Plea Bargaining
Mara kazaa na mke wa balozi nanihii...
Mara kawaambia jamaa wasije na mavi yao mjini....
Jamaa yule kwa swaga ni balaa!
Tundu Lisu: Nina Marafiki zangu CCM na SerikaliniWidow original sasa hivi anafuraha ya ajabu, lakini hawa widow (michepuko) kilio chao kila siku JF hadi wametuchosha.
Level yake ilikuwa ya uwaziri siyo uraisKwa hiyo hayati Rais mstaafu Mkapa na mstaafu Kikwete hawakuwa na akili kwa kumpa uwaziri karibia miaka ishirini ? Kama hakuwa na uelewa ni vipi aliaminiwa kwenye ngazi ya uwaziri kwa muda huo ? Wewe hapo ulipo kula yako tu ya kubangaiza baada ya kupigwa chini kwa cheti fake ! Na utajuta mpaka unaondoka katika dunia hii.
[emoji3] sio kamba hii mkuuAlikua kijiweni anagonga gahawa, akatokea nduguye (kwenye ukoo) akamuomba pesa. Magu akamkokota jamaa hadi hardware akamnunulia majembe akamwambia lile shamba la kule chini hua analima nani? Jamaa akamjibu hakuna mtu analima, Magu akamwambia "haya kamata haya majembe ukalime utapata hela" (imagine na lile li sauti lake).
#StoriZaVijiweni
MAZUZU yalimshangilia [emoji1787][emoji1787] kumbe anatafuta namna ya kuwaibia
Afu alikuwa habadirishi kabisaNa raba zake za buku 6
Hahhahha....hahaaa ...basi zitakua zilianza 'kutema'Afu alikuwa habadirishi kabisa
Mwamba pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mwamba kweli !! 🇹🇿Alikua kijiweni anagonga gahawa, akatokea nduguye (kwenye ukoo) akamuomba pesa. Magu akamkokota jamaa hadi hardware akamnunulia majembe akamwambia lile shamba la kule chini hua analima nani? Jamaa akamjibu hakuna mtu analima, Magu akamwambia "haya kamata haya majembe ukalime utapata hela" (imagine na lile li sauti lake).
#StoriZaVijiweni
Alitisha sana.Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Umesahau alipenda sana hii kitu.Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Mwamba itachukua miaka mingi sana kusahaulika ! Mkapa watu wameshamsahau !!Zile Swaga zake hata Mfumuko wa Bei unausahau!
Sina tabia za vijana wanaobalehe mimiNawewe ukaona wivu sana usijue utamzidi vipi.
Jamaa alikuwa anajiamini kupita maelezo !!Anachangisha pesa za kujenga msikiti kanisan
he was a primitiveYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli