Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Alipinga ushoga kwa kumzuia Makonda aka bashite asipambane nao, pia alitatuta matatizo ya wananchi kwa kuwauwa, kuwateka, kuwapiga risasi, kuanzisha genge la wasiojulikana, kufungulia kesi watu za uhujumu uchumi na kupora uchaguzi
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    38.5 KB · Views: 4
Papiii na Babu seya Stori yao inajulikana .

..Babu Seya na Papii walikutwa na HATIA ktk mahakama zote mpaka mahakama Rufani, na mahakama ya Afrika Mashariki.

..Tuache kutetea mambo ya hovyo-hovyo. Hivi wewe unaweza kualika walawiti nyumbani kwako?

..Na ukishawaalika walawiti nyumbani kwako utakuwa huungi mkono ushoga, tena wa kikatili dhidi ya watoto?
 
Kama hauna Elimu ya maana huko katika siasa mtapoteza Muda ukitaka kuamini angalia Mali walizonazo wana-siasa na ujiangalie wewe yaani mtapoteza Muda kuwasifu waliokufa kwa kujiita wazalendo kumbe walikuwa wezi tu
Ni kweli kabisa, Kuna Mali na Kuna Mali kufuruu.

Anagalau Kiongozi awe na Mali, lkn na Wananchi nao wanaona unafuu wa hali zao.
 
..Babu Seya na Papii walikutwa na HATIA ktk mahakama zote mpaka mahakama Rufani, na mahakama ya Afrika Mashariki.

..Tuache kutetea mambo ya hovyo-hovyo. Hivi wewe unaweza kualika walawiti nyumbani kwako?

..Na ukishawaalika walawiti nyumbani kwako utakuwa huungi mkono ushoga, tena wa kikatili dhidi ya watoto?
Babu Seya suala lake liko wazi linajulikana.

JPM hakua mjinga, hakua na faida yoyote ya kumuachia Papii na Babu Seya.

Ukweli nikwamba, wanapenda wote Hela, sio kwamba wanamakosa.

JK ndo alimpeleka Papii Jela . Ilo liko wazi na libaki kua hivohivo tu.
 
Stori za vijiweni hopeless kabisa magufuli alikua serial killer, na dikteta
 
Siku hizi hawataki mabango
Siku hizi hawataki kusikiliza watu, Eti Wana kikaratasi na kalamu wanaandika.
Wakishaondoka, kile kikaratasi kinatupwa!
Ni sawa na kupeleka maombi ya ajira sehemu usipojulikana na kwa bahati nasibu, ukishapeleka barua yako maskeen uliyochapisha kwa pesa zako za ngama na ka-CV kako kanapokelewa ukiaga kanachanwa kanalowekwa majini kanaenda kuflashiwa chooni. Wewe huku unabaki na matumaini hewa kwamba utaitwa 😅👍🏾
 
Ndivo wanavyotufanyia Sasa
 
Tukubaliane na huu uongo wako. Be informed: Kiongozi mzuri hujenga mfumo unaofanya kazi hata pale anapoondoka. Huo ndiyo uongozi.
Nakubaliana nawee kwamba tunahitaji Mfumo, ninachojua, JPM alitaka kunyooshea kwanza Nchi , Kisha angeacha Mfumo ulio madhubuti .

Kwa ule muda, ilimlazim asimame yeye kama yeye.
 
Babu Seya suala lake liko wazi linajulikana.

JPM hakua mjinga, hakua na faida yoyote ya kumuachia Papii na Babu Seya.

Ukweli nikwamba, wanapenda wote Hela, sio kwamba wanamakosa.

JK ndo alimpeleka Papii Jela . Ilo liko wazi na libaki kua hivohivo tu.

..suala lao liko wazi walilawiti watoto.

..aliyewakamata na kuwafunga ni Mkapa sio Kikwete.

..Magufuli aliwatoa kifungoni. Kwanini?Kuna siri gani? Alikuwa akiunga mkono mambo hayo?
 
Magufuli hakuwahi kuunga mkono masuala hayo .

Na Kwa MANTIKI hiyohiyo aliamua kumpa Makonda Go ahead ya kupambana nao.

Babu S na Papii, walitiwa gerezen Kwa Stori za kutengeneza na kuzipachika kwenye magazeti Kila siku. .

Na ndio maana JPM aliwaachia, Mkapa akiwa hai.
 
..stori za kutengeneza wakati walipelekwa mahakamani?

..Na walipatikana na hatia hata walipokata rufaa ktk mahakama ya RUFANI.

..hata mahakama ya Afrika Mashariki ilikubaliana na mahakama za Tanzania.

..Kwenye suala la Ushoga Jpm alisimama upande wa walawiti watoto. Ushahidi upo.
 
Nakubaliana nawee kwamba tunahitaji Mfumo, ninachojua, JPM alitaka kunyooshea kwanza Nchi , Kisha angeacha Mfumo ulio madhubuti .

Kwa ule muda, ilimlazim asimame yeye kama yeye.
Wrong approach. Mtu mmoja huwezi kunyoosha nchi kubwa kama Tanzania. Kuna kitu kimoja: Mimi huwa nakubali kabisa kuwa Magufuli alikuwa na nia nzuri ya kuijenga Tanzania. Tatizo ni kuwa hakuwa na upeo wa akili unaomwezesha kufikia nia yake. Na zaidi alikuwa mbishi sana asiyependa kuongozwa. Kama angekubali kujishusha, aweke watu wenye utaalam wamshauri (na siyo wapambe kama alivyofanya) angeweza kufanikiwa.
 
..stori za kutengeneza wakati walipelekwa mahakamani?

..Na walipatikana na hatia hata walipokata rufaa ktk mahakama ya RUFANI.

..hata mahakama ya Afrika Mashariki ilikubaliana na mahakama za Tanzania.

..Kwenye suala la Ushoga Jpm alisimama upande wa walawiti watoto. Ushahidi upo.
Mkuu wangu, kule Jela ,wanafungwa hata wasio na hatia , inategemea tu nani anayekupeleka huko.

Motives za kuachiwa Kwa B na P, zilikua ni zipi Sasa Kwa JPM?.

Tule tutoto tulitotafutwa , najua Sasa hivi tumeshakua tukubwa na rohooo inavisuta.
 
..stori za kutengeneza wakati walipelekwa mahakamani?

..Na walipatikana na hatia hata walipokata rufaa ktk mahakama ya RUFANI.

..hata mahakama ya Afrika Mashariki ilikubaliana na mahakama za Tanzania.

..Kwenye suala la Ushoga Jpm alisimama upande wa walawiti watoto. Ushahidi upo.
Hizi ni hadithi za kutunga. Ni kama wanavyosema eti Makonda alikomesha wauza madawa ya kulevya wakati yeye ndiye aliyefaidika nayo.
 
Jioneeni wenyewe Wakuu!

Hakuwahi kutokea mtu kama huyu, aisee JPM aligusa Maisha ya mnyonge yule wa chini Moja Kwa Moja kabisa.

Naomba Mungu anipe Angalau robo ya Roho ya JPM.

Huyu Mtu hapana, Eeehh, Kwakweli Mungu aliamua kuruhusu apumzike baada ya kazi kubwa aloifanya!
View attachment 2561435
Lakini waziri wa mambo ya ndani wakati huo alitoa msimamo wa serikali akipinga kauli ya makonda kua sio msimamo wa serikali!!
 
Back
Top Bottom