RockieTJ
Member
- Oct 28, 2020
- 74
- 79
Umeona ehHata mfanyeje hatarudi badala ya kulialia pambana na yajayo, huyo mwenyewe alikuwa mpigaji nzuri tu mbona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona ehHata mfanyeje hatarudi badala ya kulialia pambana na yajayo, huyo mwenyewe alikuwa mpigaji nzuri tu mbona
Roho mbaya haijengi, mkoa gani JPM hakupeleka miradi ya maendeleo?.1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Trafic light Chato
4. 3 star hotel Chato (TANAPA)
5. Bohari ya kanda madawa Chato
6. Hospital ya rufaa Chato
7. Stadium (proposa)
8. CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa
Kapeleka pia Mtwara na Lindi kwa kina Nape na Singida kwa kina tundulissu.Roho mbaya haijengi, mkoa gani JPM hakupeleka miradi ya maendeleo?.
Lakini mfumuko wa bei ya bidhaa haukuwepoKuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Kwani Chato sio Tanzania hapafai kupata maendeleo1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Trafic light Chato
4. 3 star hotel Chato (TANAPA)
5. Bohari ya kanda madawa Chato
6. Hospital ya rufaa Chato
7. Stadium (proposa)
8. CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa
Ujumbe umefika kwa mtu yeyote makini na mzalendoKapeleka pia Mtwara na Lindi kwa kina Nape na Singida kwa kina tundulissu.
Hata kama hakupeleka, hawa wa Chato nao si ni Watanzania? Linganisha na Watanzania waishio Mkoa wa Wahariri, Mkoa wa Kilimanjaro wenye sensa idadi ya watu 1.8m na eneo 13,200 sqkms. Kwa Magu ni Mkoa wa Geita idadi ya sensa watu ni 3m na eneo 20.000 sqkms yaani eneo kubwa zaidi watu wengi zaidi.
Wahariri wametuambia Magu anajenga Airport 1, moja tu, lakini Kilimanjaro ziko 3 (KIA, Arusha, na Moshi Mjini). Airport ya karibu na Chato ni Bukoba 57km (Mkoa wa watu 3.2m), airport yao iliyouwa watu 16 majuzi. Ya karibu na Moshi ni KIA kilometa 16 tu, na KIA, kms 45 tu.
Tumeambiwa na Wahariri na Askofubagonza eti Magueti amejenga CRDB moja (1) ihudumie watu milioni 3, huku Kilimanjaro kuna matawi 19 na ATM 31 hujataja NMB na Barclays.
Tumeambiwa vyuo kikuu ni zero, yaani hazijatajwa, watu milioni 3. Kilimanjaro watu milioni 2 wana University 5. Hospitali INAJENGWA moja ihudumie watu milioni 3. Kilimanjaro ziko 5 ikiwamo Makumira aliyosoma PhD Askofubagonza na Chuo Kikuu cha Polisi aliyosoma Afande Sirro. Hizi zihudumu kwa watu milioni 2.
Tuelewane vizuri, TANU tulifundishwa "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwisho. Hapa tatizo si wingi wa kila kitu Kilimanjaro, ni haki yao, ni Watanzania, wanajituma, wachapa kazi, kwa lugha ya CHADEMA wanajitambua. Heri yao!
Tatizo linakuja pale Serkali ya CCM inapotaka kuwaokoa Watanzania wengine, kwa nini iwe nongwa? Kwa nini Wahariri (wa kutoka Kilimanjaro) waungane na Askofu mzima kumtukana mtu mmoja, tena Marehemu, aliyejaribu kuwainua Watanzania waliochwa nyuma?
Na hapo hujataja Lindi, Singida, Mtwara, Ruvuma, kote wako nyuma. Je, umesikia Wahariri wanawatetea hawo Watanzania, wanawatungia Kitabu? Askofubagonza anajua fika kuwa Walutheri wako wengi tu mikoa hiyo, wanastahili huduma hizo.
Sababu si roho mbaya, ni siasa. Hawa ni CHADEMA, Askofubagonza, tundulissu, fatmakarume na wote ni CHADEMA Wanajiandaa uchaguzi 2025. Waambiwe tu wazingatie data.
CHAGGA GAN Wana roho mbaya Sana ,na wivu wa kipuuzi Sana ,wanatamani mikoa mingine iwe zero ,na seeikali ikitaka kujenga miundombinu na mikoa mingine utasikia matusi yake na kubatizwa majina mabaya mabaya ,Hawa watu sijui Wana roho gani !!? SIKU CHAGA GAN akija kutokea mmoja akawa rais si itakuwa HATARI. CHAGGA GAN acheni wivu wa kijinga,mbona mikoa mingine hawana nongwa Kama hili kundi.chochote kinachofanyika ktk mkoa mkoa wowote ni kwa faida ya watanzania wote ,mfano bank 1 aliyojenga magu chato na airport 1 ,sio kwa faida ya watu wa huko tu ,chato wapo wahaya ,wagogo,wanyeramba n.k ,hata nyinyi chagga gan mpo Hadi huko. Acheni wivu wa kijinga .Kapeleka pia Mtwara na Lindi kwa kina Nape na Singida kwa kina tundulissu.
Hata kama hakupeleka, hawa wa Chato nao si ni Watanzania? Linganisha na Watanzania waishio Mkoa wa Wahariri, Mkoa wa Kilimanjaro wenye sensa idadi ya watu 1.8m na eneo 13,200 sqkms. Kwa Magu ni Mkoa wa Geita idadi ya sensa watu ni 3m na eneo 20.000 sqkms yaani eneo kubwa zaidi watu wengi zaidi.
Wahariri wametuambia Magu anajenga Airport 1, moja tu, lakini Kilimanjaro ziko 3 (KIA, Arusha, na Moshi Mjini). Airport ya karibu na Chato ni Bukoba 57km (Mkoa wa watu 3.2m), airport yao iliyouwa watu 16 majuzi. Ya karibu na Moshi ni KIA kilometa 16 tu, na KIA, kms 45 tu.
Tumeambiwa na Wahariri na Askofubagonza eti Magueti amejenga CRDB moja (1) ihudumie watu milioni 3, huku Kilimanjaro kuna matawi 19 na ATM 31 hujataja NMB na Barclays.
Tumeambiwa vyuo kikuu ni zero, yaani hazijatajwa, watu milioni 3. Kilimanjaro watu milioni 2 wana University 5. Hospitali INAJENGWA moja ihudumie watu milioni 3. Kilimanjaro ziko 5 ikiwamo Makumira aliyosoma PhD Askofubagonza na Chuo Kikuu cha Polisi aliyosoma Afande Sirro. Hizi zihudumu kwa watu milioni 2.
Tuelewane vizuri, TANU tulifundishwa "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwisho. Hapa tatizo si wingi wa kila kitu Kilimanjaro, ni haki yao, ni Watanzania, wanajituma, wachapa kazi, kwa lugha ya CHADEMA wanajitambua. Heri yao!
Tatizo linakuja pale Serkali ya CCM inapotaka kuwaokoa Watanzania wengine, kwa nini iwe nongwa? Kwa nini Wahariri (wa kutoka Kilimanjaro) waungane na Askofu mzima kumtukana mtu mmoja, tena Marehemu, aliyejaribu kuwainua Watanzania waliochwa nyuma?
Na hapo hujataja Lindi, Singida, Mtwara, Ruvuma, kote wako nyuma. Je, umesikia Wahariri wanawatetea hawo Watanzania, wanawatungia Kitabu? Askofubagonza anajua fika kuwa Walutheri wako wengi tu mikoa hiyo, wanastahili huduma hizo.
Sababu si roho mbaya, ni siasa. Hawa ni CHADEMA, Askofubagonza, tundulissu, fatmakarume na wote ni CHADEMA Wanajiandaa uchaguzi 2025. Waambiwe tu wazingatie data.
wewe ni mjinga saana au ulitumbuliwa, huwezi ukamsema vibaya hivo magufuli. magufuli alitenda haki, tunamlilia hadi leo wewe mwenyewe unaona ametutoka mwamba mambo yameharibika kishenzi maisha ni magumu kwa watu afu wewe unaongea ushenzi gani huoAngalia usije ukaanzisha mjadala wa zile dini mbili kubwa.
Duh! Kwani nimeongea kipi mkuu hebu nikumbushe.wewe ni mjinga saana au ulitumbuliwa, huwezi ukamsema vibaya hivo magufuli. magufuli alitenda haki, tunamlilia hadi leo wewe mwenyewe unaona ametutoka mwamba mambo yameharibika kishenzi maisha ni magumu kwa watu afu wewe unaongea ushenzi gani huo
kabisaNchi ilikua na nidhamu, Hakuna unanijua mie Nani
Kwa Upande wangu JPM ndy Rais wangu Bora kuwahi kutokea, Itachukuaa miaka kumpata Rais kama JPM. Mungu amlazee mahala Pema peponiView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar