Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Hata walipoondoka Manabii Mussa, Daudi ,Yesu na Muhammad waliacha watu wana chuki kubwa juu yao lakini matokeo ya mafundisho yao yamezaa matunda makubwa sana.

Niseme hivi: - Hadi leo hii, Viongozi bora walotukuka kwa Afrika ni wachache sana, mmoja wapo ni JPM.
Bahati kubwa sana Tanzania imetoa Viongozi wawili wa mfano bora kwa mataifa ya Afrika. 1. Nyerere na 2. Magufuli. Mwenyezi Mungu awarehemu.
 
Mauaji, utekaji, kutupa watu baharini wakiwa wamefungwa kwenye viroba, roho mbaya, kuiba Mali za wafanyabiashara, kuiba fedha za serikali, ukabila
 
Utofauti Uliopo kati ya Mtumbuwa Majipu RIP Rais Magufuli na Rais Samia Hassan Suluhu ni huo hapo chini angalia video upate kujifunza kitu hapo.

acheni wajifurahishe ,waacheni wajifariji Ila nafsi zao ,zinawashuhudia ya kuwa ile ikulu ya chamwino bila jpm isingekuwa na isingekengwa.

mzee mwinyi (pokea heshima zako nyingi) huyu mzee pamoja na busara nyingi alizojaaliwa na Allah lkn inshu ya ujenzi wa ikulu ya chamwino ulimshinda.

Akaja JK akashindwa Tena huyu dk ya 15 tu ya kipindi Cha kwanza.

Mzee mkapa pia ,hola. Akaja Jpm akakomaa ikulu ndo hiyo mnaiona ,japo kwa Sasa nashangaa hata viongozi fulani fulani kwenye uzinduzi bila aibu hata kulitaja tu jina la JPM ikawa tabu ,lkn ukiangalia nafsini mwao wanatamani kumtaja lkn Kuna external force inawaziba midomo.zibweni midomo ,pua na macho ,lkn watz tunajua bila jpm ikulu ya chamwino isingekuwepo Kama ilivyo Sasa.

shukrani pia zimfikie SSH ,kwa kukaza na kutowasikiliza wale wahuni ambao ,walitaka kukushawishi uachane na project ya kuijenga ikulu ya makao makuu ya nchi (ikulu ya chamwino) ,kwa msimamo huo nakupa congelee zako ,nakupa na maua yakutosha .
 
1. Kwani ni nani asielijua hilo mkuu?
2. Inamaana wewe haukuona kuwa alipewa tuzo na serikali iliyo chini ya raisi Samia?
3. Je kuna mtu ulimsikia akilalamika kuwa hayati Magufuli hakuwa na mchango wowote wa hiyo ikulu?

Maana malalamiko yamekuwa mengi na ukiangalia kinachoandikwa au kulalamimiwa ni tofauti na kile kinachoendelea. Hata yule kijana Joseph Magufuli akisoma uzi huu atashindwa kukuelewa mleta mada una nia gani ikiwa yeye mwenyewe kama mtoto jana alikabidhiwa tuzo ya heshima akiwa na mama yake.
 
acheni wajifurahishe ,waacheni wajifariji Ila nafsi zao ,zinawashuhudia ya kuwa ile ikulu ya chamwino bila jpm isingekuwa na isingekengwa.

mzee mwinyi (pokea heshima zako nyingi) huyu mzee pamoja na busara nyingi alizojaaliwa na Allah lkn inshu ya ujenzi wa ikulu ya chamwino ulimshinda.

Akaja JK akashindwa Tena huyu dk ya 15 tu ya kipindi Cha kwanza.

Mzee mkapa pia ,hola. Akaja Jpm akakomaa ikulu ndo hiyo mnaiona ,japo kwa Sasa nashangaa hata viongozi fulani fulani kwenye uzinduzi bila aibu hata kulitaja tu jina la JPM ikawa tabu ,lkn ukiangalia nafsini mwao wanatamani kumtaja lkn Kuna external force inawaziba midomo.zibweni midomo ,pua na macho ,lkn watz tunajua bila jpm ikulu ya chamwino isingekuwepo Kama ilivyo Sasa.

shukrani pia zimfikie SSH ,kwa kukaza na kutowasikiliza wale wahuni ambao ,walitaka kukushawishi uachane na project ya kuijenga ikulu ya makao makuu ya nchi (ikulu ya chamwino) ,kwa msimamo huo nakupa congelee zako ,nakupa na maua yakutosha .
Kuwa ni mtu MWOVU kuwahi kutokea
 
Mpendwa wetu Magufuli fanya urudi baba wanao tunateseka sana we miss you our beloved President.

Mwenzenu nalia kila mara nikiitizama hii picha.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Screenshot_20230610-215404.jpg
 
Mpendwa wetu Magufuli fanya urudi baba wanao tunateseka sana we miss you our beloved President.

Mwenzenu nalia kila mara nikiitizama hii picha.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2653095
Huna haja ya kulia kwani alimaliza safari yake. Acha apumzike. Acha kulia. Kwani, hatarudi. Mlilie Samia anayewachuuza kila uchao. Magufuli hatarudi tena. Walilie na wale waliokufa tokana na kuuawa na watu wasiojulikana pia.
 
Back
Top Bottom