Kwanza kipindi Cha jpm, jwtz eti mpaka upitie jkt wakati kipindi Cha jk hizo mambo hazikuwepo kabisa. Jwtz ilikuwa ni wito ambao ukiwa nao unaenda moja kwa moja bila Kona Kona jpm akaja kuharibu ikawa ngumu sana. Tiss akaja wasukuma kibao na ukabila na uccm ukawa ni tiketi ya kupata ajira. Kila kijana akawa anasaka kadi ya ccm ili angalau abahatishe bahati yake. But all ni all ajira was a disasaster during jpm's regimeHaikuwa bahati yako utawala ulee,, kuna watu kibao walipata ajira kipindi hicho,, JWTZ, TISS, TAKUKURU, ELIMU, AFYA, POLISI nk
Mm nina madogo kibao wameajiriwa utawala ule japo na waliofutwa kazi kwa uzembe wao pia wapo ila siwezi kulaumu