MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Bwawa la nini wakati tuna gesi ya kutosha, ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni chuki nyie, mbona kuna lilikwama mkasema ameshindwa na sijui analihujumu bwawa. Ila alipofanikisha ndio mnalazimisha sifa ziende kwa JPM!! Kila Rais anayekuja anaendelea alipoishia mwenzake. Hata JK kuna mambo makubwa alifanya mfao umeme wa gesi unaochangia 70% ya umeme Tanzania umeletwa na JK, same to kupanua Airport, kuhamisha maji ya ziwa Victoria, lami nchi nzima, shule kila kata n.kMama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Kwanini ashindwe? Kwani anabeba matofali mwenyewe? Pesa si zinatafutwa hata kwa mkopo sasa kipi kingefanya ashindwe? Acheni chuki nyie watu wa JPM. Aibu zimewajaa tu maana mlidhani ni mtu mmoja tu ndio anaweza kila kitu hamuamini kama mtu mwingine anaweza akafanya.asingeweza
CHUMAJPM ALIWEZA!R.I.P JPMUkweri ni lazima usemwe
Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa
Nyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu
Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa
Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri
Hakuna kama magufuli
gesi sio yetu ishauzwa kitambo.Bwawa la nini wakati tuna gesi ya kutosha, ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Ukweri ni lazima usemwe
Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa
Nyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu
Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa
Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri
Hakuna kama magufuli
Ongeza pia kwamba kama si Magufuli, kuhamishia Dodoma makao makuu ya nchi kusingekuwepo.Ukweri ni lazima usemwe
Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa
Nyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu
Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa
Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri
Hakuna kama magufuli
Bwawa Ni la muhimu sana Ila kwa kila anayejiondoa akili ataona halina umuhimu.Bwawa la nini wakati tuna gesi ya kutosha, ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi
Mambo ya ku-generate umeme kwa kujenga mabwawa ni michongo ya kizamani sanaBwawa Ni la muhimu sana Ila kwa kila anayejiondoa akili ataona halina umuhimu.
Na NCHI lazima itegemee umeme unaopatikana kwa njia zote hizi:-
1).Maji
2).Gas
3). Uranium
4). Upepo
5).Jua
Ni aibu kubwa Sana mpaka Leo bado tunahangaika na issue ya KUKATIKA kwa UMEME.
"rini "ni neno la kiswahili ?Neno Moja tu kutoka juu Kila kitu kinasimama....atasema mkurugenzi sitaki Kona Kona umeme utawaka rini,,,..kama utani alafu utasikia anasema ihiiiiiiiiiiiiijj anatikisa kichwa hiyo imeisha umeme utawaka.....pumzika chuma
Wadanganyika ni watu kama wewe, kuwa hajaacha deni [emoji848][emoji848][emoji848] una akili wewe kweli?Hawawezi wakakwambia mana imekuwa aibu kwao na kuusema ukweli sasa kwao ni kama kujipiga na ncha ya upanga shingoni. Acha mwamba alale hajaacha Deni kwa Watanganyika
Gesi yenyewe mriwapa mabeberu kwa mikataba mibovu umeme wa gesi upi wa kuuziwa gesi kwa ghalama kubwa na mwekezaji harafu wewe ndo uzalishe umeme? Ingerikua ges haikuuzwa kwa mikataba mibovu tungerikuwa na umeme wa gesiBwawa la nini wakati tuna gesi ya kutosha, ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi
Ashawahi kuweza nini kwani?Acheni chuki nyie, mbona kuna lilikwama mkasema ameshindwa na sijui analihujumu bwawa. Ila alipofanikisha ndio mnalazimisha sifa ziende kwa JPM!! Kila Rais anayekuja anaendelea alipoishia mwenzake. Hata JK kuna mambo makubwa alifanya mfao umeme wa gesi unaochangia 70% ya umeme Tanzania umeletwa na JK, same to kupanua Airport, kuhamisha maji ya ziwa Victoria, lami nchi nzima, shule kila kata n.k
So hata Samia kuna mambo atayafanya atakapoishia atakuja mwingine atamalizia. So muache comparisons za kipumbavu.
Kwanini ashindwe? Kwani anabeba matofali mwenyewe? Pesa si zinatafutwa hata kwa mkopo sasa kipi kingefanya ashindwe? Acheni chuki nyie watu wa JPM. Aibu zimewajaa tu maana mlidhani ni mtu mmoja tu ndio anaweza kila kitu hamuamini kama mtu mwingine anaweza akafanya.
[emoji24]"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
KBS!!Ongeza pia kwamba kama si Magufuli, kuhamishia Dodoma makao makuu ya nchi kusingekuwepo.
Ni kweli cjui kwann walimkillUkweri ni lazima usemwe
Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa
Nyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu
Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa
Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri
Hakuna kama magufuli
Akauza gas kwa bei ya kutupwa kujineemesha yeye na wanaeNyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza