Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Labda tuamue kuiharibu na kuifuta miradi yote aliyoanzisha...vinginevyo bado tutaulizana hiki kilijengwa wakati gani Nani alikuwa rais!!!!
 
Ni Hapa Calvary Assembly of God Nyerere road Mchungaji anasema matendo Mema ya mwendazake huambatana naye Milele

Mchungaji ametoa mfano wa dhihaka alizofanyiwa Yesu na Hata kuporwa Mavazi yake lakini Kazi na Miujiza yake inadumu hadi Leo

Ndivyo ilivyo kwa Kazi njema ya shujaa Magufuli zitaendelea kudumu Hata pajapo usaliti wa Wanasiasa wanaoishi, amesema Mchungaji

Nawatakia Dominica Njema 😄
😄😄😄🫡
 
Gesi yenyewe mriwapa mabeberu kwa mikataba mibovu umeme wa gesi upi wa kuuziwa gesi kwa ghalama kubwa na mwekezaji harafu wewe ndo uzalishe umeme? Ingerikua ges haikuuzwa kwa mikataba mibovu tungerikuwa na umeme wa gesi
Masikini John
 
Tulishapoteza imani kwa Watanzania kuwa sisi ni chama cha ukombozi na wapinga ufisadi.

Hayati JPM alikubalika kwa wanananchi masikini na wanyonge kuwa mtetezi wao.

Kwa siasa za kupiga madili alizopinga tukamchukia . Kisa tu Mbowe anapenda kupiga na kuiba.

2025 hatuna chetu. Pamoja na kudanganywa kuwa tuaachiwa baadhi ya majimbo ili tupate wabunge. Hivi Pambalu ataeleza nini kwa wananchi wa Nyamagana? Mfano tu mmoja. Chuki chukieni mnyonge mpeni haki yake.
 
Unaweza omba msamaha mtu mfu na mwovu??

Alizikwa na ngozi na mkia wa fisi ibaada za kishirikina
 
Ni kweli VOA wameyasema haya? 😳😳😳

IMG-20240608-WA0009.jpg
 
Tulishapoteza imani kwa Watanzania kuwa sisi ni chama cha ukombozi na wapinga ufisadi.

Hayati JPM alikubalika kwa wanananchi masikini na wanyonge kuwa mtetezi wao.

Kwa siasa za kupiga madili alizopinga tukamchukia . Kisa tu Mbowe anapenda kupiga na kuiba.

2025 hatuna chetu. Pamoja na kudanganywa kuwa tuaachiwa baadhi ya majimbo ili tupate wabunge. Hivi Pambalu ataeleza nini kwa wananchi wa Nyamagana? Mfano tu mmoja. Chuki chukieni mnyonge mpeni haki yake.
inatosha ukimpenda wewe
 
Na kizimkazi na maraika ndani ya ccm.
K.u.m.a.n.i.s.h.a nn?

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.

Video zipo Ila zina watoto (sitaki kuonyesha Sura zao) wakiimba nyimbo husika
 
Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Wewe ndiyo giza lenyewe kabisa. Badala uongelee wizi unaofanywa na matapeli na majizi ya kijani wewe unashambulia shujaa aliyelala. Ngoja Gen Z wa Kenya wakupe somo kati ya wewe kubwa jinga na wao waliopevuka ki akili
 
Back
Top Bottom