Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄🫡Ni Hapa Calvary Assembly of God Nyerere road Mchungaji anasema matendo Mema ya mwendazake huambatana naye Milele
Mchungaji ametoa mfano wa dhihaka alizofanyiwa Yesu na Hata kuporwa Mavazi yake lakini Kazi na Miujiza yake inadumu hadi Leo
Ndivyo ilivyo kwa Kazi njema ya shujaa Magufuli zitaendelea kudumu Hata pajapo usaliti wa Wanasiasa wanaoishi, amesema Mchungaji
Nawatakia Dominica Njema 😄
Masikini JohnGesi yenyewe mriwapa mabeberu kwa mikataba mibovu umeme wa gesi upi wa kuuziwa gesi kwa ghalama kubwa na mwekezaji harafu wewe ndo uzalishe umeme? Ingerikua ges haikuuzwa kwa mikataba mibovu tungerikuwa na umeme wa gesi
Unaweza omba msamaha mtu mfu na mwovu??Tulishapoteza imani kwa Watanzania kuwa sisi ni chama cha ukombozi na wapinga ufisadi.
Hayati JPM alikubalika kwa wanananchi masikini na wanyonge kuwa mtetezi wao.
Kwa siasa za kupiga madili alizopinga tukamchukia . Kisa tu Mbowe anapenda kupiga na kuiba.
2025 hatuna chetu. Pamoja na kudanganywa kuwa tuaachiwa baadhi ya majimbo ili tupate wabunge. Hivi Pambalu ataeleza nini kwa wananchi wa Nyamagana? Mfano tu mmoja. Chuki chukieni mnyonge mpeni haki yake.
Pumbavu mavi weweUnaweza omba msamaha mtu mfu na mwovu??
Alizikwa na ngozi na mkia wa fisi ibaada za kishirikina
inatosha ukimpenda weweTulishapoteza imani kwa Watanzania kuwa sisi ni chama cha ukombozi na wapinga ufisadi.
Hayati JPM alikubalika kwa wanananchi masikini na wanyonge kuwa mtetezi wao.
Kwa siasa za kupiga madili alizopinga tukamchukia . Kisa tu Mbowe anapenda kupiga na kuiba.
2025 hatuna chetu. Pamoja na kudanganywa kuwa tuaachiwa baadhi ya majimbo ili tupate wabunge. Hivi Pambalu ataeleza nini kwa wananchi wa Nyamagana? Mfano tu mmoja. Chuki chukieni mnyonge mpeni haki yake.
Wewe ndiyo giza lenyewe kabisa. Badala uongelee wizi unaofanywa na matapeli na majizi ya kijani wewe unashambulia shujaa aliyelala. Ngoja Gen Z wa Kenya wakupe somo kati ya wewe kubwa jinga na wao waliopevuka ki akiliEnzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Kwani hasumbui?Mungu fundi sana angekuwa bado anasumbua.
Anasumbua malaika wenzake wa giza huko jehanamKwani hasumbui?