Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Kumbe?ππππ
Atakimbilia kwa admin niwe banned
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe?ππππ
Atakimbilia kwa admin niwe banned
Kale kajamaa wewe unakaamini? Kanavyopenda kujikweza kanasema eti na kenyewe kalihusika ππMbona kuna aliyesema ndoto zilianzia Lupaso!
JPM, usiwe mchoyo wa kweliSGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!πππΉπΏπΉπΏππ’β π©πΉπΏ
Ni mwehuMbona kuna aliyesema ndoto zilianzia Lupaso!
BWANA ROSTAM AZIZI KANUNA MNOMagufuli the Great. Huyu ni genius anayechukiwa na vilaza, wezi, majambazi, vyeti feki na wapiga dili.
Labda umesahau tu ww lakin kabla ya apo tulishapigwa danadana za kutosh kuhus kuanza kaz iyo chomboMi nimependa timing yake. Bwawa la umeme limeanza kuzalisha umeme tu na SGR nayo ikaanza kazi.
Yapi markez wa SGR na Arab Contractor wa bwawa la umeme wote hakuna aliezingua.
Bila kuisahau serikali walipa fedha
π€£π€£π€£π€£SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!πππΉπΏπΉπΏππ’β π©πΉπΏ
Labda umesahau tu ww lakin kabla ya apo tulishapigwa danadana za kutosh kuhus kuanza kaz iyo chombo