Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa

Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia

Credit: EAradio FM

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€

Kwako Lucas πŸ˜‚
 
SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’šπŸŸ’βœ…πŸŸ©πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
JPM, usiwe mchoyo wa kweli
 
Mi nimependa timing yake. Bwawa la umeme limeanza kuzalisha umeme tu na SGR nayo ikaanza kazi.

Yapi markez wa SGR na Arab Contractor wa bwawa la umeme wote hakuna aliezingua.

Bila kuisahau serikali walipa fedha
 
Labda umesahau tu ww lakin kabla ya apo tulishapigwa danadana za kutosh kuhus kuanza kaz iyo chombo
 
SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’šπŸŸ’βœ…πŸŸ©πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
🀣🀣🀣🀣
 
Labda umesahau tu ww lakin kabla ya apo tulishapigwa danadana za kutosh kuhus kuanza kaz iyo chombo

Nahisi dana dana sababu Treni ya umeme ilikuwa lazima ilisubiri bwawa lianze kazi. Maana treni ingetangulia kuja ingetumia umeme gani kufanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom