Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Salaam wakuuu

Lucas Mwashambwa .

Mzalendo wa kweli wa tAifa hili JPM enzi zake
Watumishi wa umma wangeshalipwa mdaa sanaa tar 20 ya kila mwezii.
Patent hata mdaa kidogo mjue alikuwa anafanyajee.

Lkn sasa Ivi watumishi hadi leo hawajui ni lini wanalipwa maslahi yao.

Wewe mwenyewe uko kupost Maandamano ya Chamaa Kikuu cha Upinzani kilichoshikilia hatma ya Taifa letuu .
Chukua hata credit kwa hili andikia Mama yako awalipe watumishi wa umma basii

Wana hali mbaya sana wana madeni wananyang'anya vitu vyaooo.

Tutakufundisha cha kuandika maana hujui kutwa na hoja zako zisokuwa na kichwa wala.mguuu.

Povuu rukusa na majibu yako yasio.na kichwa wala mguu kwenye hoja za msingi.

Bwatuka ,nikulipueee Lucas Mwashambwa
 
Kwahiyo unataka kusema walimu bado hawajalipwa? Lakn mbona tarehe bado c wenyew wanasema n mpka 25
 
Thread yangu imetoweka ghafla, nimeshauri serikali itoe tamko juu ya Nyongeza ya Mshahara, tetesi zilikuwa kwamba ongezeko litakuwa linafanyika kwa kila mhusika kulingana na mwezi alioajiriwa.
Hilo limeonekana kuwa kweli mwezi huu. Kutokana na wengi kutokuona Annual Increments.
 
Endapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.

Hebu fikiria Magufuli katawala miaka 6.

1. Miaka 6 Hakuna mtumishi yeyote alopata hata shilingi ya nyongeza ya mshahara ilihali gharama za maisha zilikuwa zinapanda kila uchwao

2. Miaka 6 Hakuna watumishi walopandishwa vyeo

3. Miaka 6 hakuna ajira mpya kwa graduates ilihali wastaafu waliongezeka na upungufu wa watumishi ulikuwa mkubwa

4. Makampuni kufunga biashara Tanzania na kuhamia nchi zingine ilianza kuwa jambo la kawaida

5. Watanzania kukimbia nchi yao ikawa kawaida, wapinzani wakaminywa pumzi na hakuna alohema

6. Uhuru wa vyombo vya habari tayari ulishanusa kuzimu, baadhi ya vyombo vikafungiwa na wanahabari wengine wapo kuzimu hadi leo

7. Hakuna project yeyote ya binafsi iliendelea kipindi cha magufuli, hata kujenga nyumba watu waliacha kama sio kuogopa, hakuna hata kituo cha mafuta kilidiriki kufunguliwa ispokuwa puma.

Kama sio kuzimu Magufuli alikuwa anatupeleka wapi???
 
Haisaidii yote ya yote alijitahidi kupunguza mikopo na mingine aliomba msamaha Live tukiona, mikopo inafanya kuwepo na ongezeko la kodi maeneo mbali mbali na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu Je hilo hatuliona kwa Mama yako ewe chawa?
 
Endapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.

Hebu fikiria Magufuli katawala miaka 6.

1. Miaka 6 Hakuna mtumishi yeyote alopata hata shilingi ya nyongeza ya mshahara ilihali gharama za maisha zilikuwa zinapanda kila uchwao

2. Miaka 6 Hakuna watumishi walopandishwa vyeo

3. Miaka 6 hakuna ajira mpya kwa graduates ilihali wastaafu waliongezeka na upungufu wa watumishi ulikuwa mkubwa

4. Makampuni kufunga biashara Tanzania na kuhamia nchi zingine ilianza kuwa jambo la kawaida

5. Watanzania kukimbia nchi yao ikawa kawaida, wapinzani wakaminywa pumzi na hakuna alohema

6. Uhuru wa vyombo vya habari tayari ulishanusa kuzimu, baadhi ya vyombo vikafungiwa na wanahabari wengine wapo kuzimu hadi leo

7. Hakuna project yeyote ya binafsi iliendelea kipindi cha magufuli, hata kujenga nyumba watu waliacha kama sio kuogopa, hakuna hata kituo cha mafuta kilidiriki kufunguliwa ispokuwa puma.

Kama sio kuzimu Magufuli alikuwa anatupeleka wapi???
Sioni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sasa.
 
Ukitaka kujua CCM ni chama cha wahuni angalia wanavomkandia kiongozi wao
Wa zaman, hata Samia akifa, nyie nyie CCM mtakuja kufunguka na kutuambia kuwa yule bibi alikuwa kiazi. Cha ajabu hata Samia ukimsikiliza utaona kabisa anaponda utawala wa JPM wakati yeye alikuwa msaidizi wake….. ukiona watu aina moja wanasagiana kunguni ili mmoja wao aonekane bora. Ujue hao wote ni failures

By the way Samia hajawahi kuwa bora by far mbele ya JPM, na hataweza kuwa bora……ubora unaanzia akilini

Jpm was genius …….samia ni mama mipasho

Wala msitumie nguvu nyie

Hata speech zake , zinakupa kabisa uwezo wa kupima kichwan kuna nini
 
Endapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.

Hebu fikiria Magufuli katawala miaka 6.

1. Miaka 6 Hakuna mtumishi yeyote alopata hata shilingi ya nyongeza ya mshahara ilihali gharama za maisha zilikuwa zinapanda kila uchwao

2. Miaka 6 Hakuna watumishi walopandishwa vyeo

3. Miaka 6 hakuna ajira mpya kwa graduates ilihali wastaafu waliongezeka na upungufu wa watumishi ulikuwa mkubwa

4. Makampuni kufunga biashara Tanzania na kuhamia nchi zingine ilianza kuwa jambo la kawaida

5. Watanzania kukimbia nchi yao ikawa kawaida, wapinzani wakaminywa pumzi na hakuna alohema

6. Uhuru wa vyombo vya habari tayari ulishanusa kuzimu, baadhi ya vyombo vikafungiwa na wanahabari wengine wapo kuzimu hadi leo

7. Hakuna project yeyote ya binafsi iliendelea kipindi cha magufuli, hata kujenga nyumba watu waliacha kama sio kuogopa, hakuna hata kituo cha mafuta kilidiriki kufunguliwa ispokuwa puma.

Kama sio kuzimu Magufuli alikuwa anatupeleka wapi???
Labda kuna umuhimu wa kuwa na wakuu wa nchi waliokua kiuongozi kwa hatua hadi kufikia ukuu wa nchi. Kwa kuwa naona kulikuwa na hali ya kukosa uzoefu.

Kuwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye hakuwahi hata kuwa mjumbe wa shina wakati wa hatua zake za kupanda kisiasa naona kama sio sawa hasa kwa zama hizi.

Hivyo, CCM ifanye kazi yake ya kutengeneza viongozi wajao, ikiwa bado wanahitaji kuongoza nchi.

Ova
 
Back
Top Bottom