Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mwamba alikuwa mwepesi mno kufanya maamuzi, hakutaka kabisa mambo ya michakato
Mwache aendelee kupumzika Kwa amani, tutamjoin asubuhi iliyonjema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Mchezo ..Yani hata wasipokunya pembeni ile mpishano mbona Dc choo anajenga ndani ya siku kadhaa tu kinakamilika

Ndioo mkuu hawajalipwa mkuu sio tu walimu na woteKwahiyo unataka kusema walimu bado hawajalipwa? Lakn mbona tarehe bado c wenyew wanasema n mpka 25
Sio kweliMmmmh njaa tu zinasumbua 🤣
Sio kweliNdioo mkuu hawajalipwa mkuu sio tu walimu na wote
Sioni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sasa.Endapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.
Hebu fikiria Magufuli katawala miaka 6.
1. Miaka 6 Hakuna mtumishi yeyote alopata hata shilingi ya nyongeza ya mshahara ilihali gharama za maisha zilikuwa zinapanda kila uchwao
2. Miaka 6 Hakuna watumishi walopandishwa vyeo
3. Miaka 6 hakuna ajira mpya kwa graduates ilihali wastaafu waliongezeka na upungufu wa watumishi ulikuwa mkubwa
4. Makampuni kufunga biashara Tanzania na kuhamia nchi zingine ilianza kuwa jambo la kawaida
5. Watanzania kukimbia nchi yao ikawa kawaida, wapinzani wakaminywa pumzi na hakuna alohema
6. Uhuru wa vyombo vya habari tayari ulishanusa kuzimu, baadhi ya vyombo vikafungiwa na wanahabari wengine wapo kuzimu hadi leo
7. Hakuna project yeyote ya binafsi iliendelea kipindi cha magufuli, hata kujenga nyumba watu waliacha kama sio kuogopa, hakuna hata kituo cha mafuta kilidiriki kufunguliwa ispokuwa puma.
Kama sio kuzimu Magufuli alikuwa anatupeleka wapi???
Ukitaka kujua CCM ni chama cha wahuni angalia wanavomkandia kiongozi waoEndapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.
Hebu fikiria Magufuli katawala miaka 6.
1. Miaka 6 Hakuna mtumishi yeyote alopata hata shilingi ya nyongeza ya mshahara ilihali gharama za maisha zilikuwa zinapanda kila uchwao
2. Miaka 6 Hakuna watumishi walopandishwa vyeo
3. Miaka 6 hakuna ajira mpya kwa graduates ilihali wastaafu waliongezeka na upungufu wa watumishi ulikuwa mkubwa
4. Makampuni kufunga biashara Tanzania na kuhamia nchi zingine ilianza kuwa jambo la kawaida
5. Watanzania kukimbia nchi yao ikawa kawaida, wapinzani wakaminywa pumzi na hakuna alohema
6. Uhuru wa vyombo vya habari tayari ulishanusa kuzimu, baadhi ya vyombo vikafungiwa na wanahabari wengine wapo kuzimu hadi leo
7. Hakuna project yeyote ya binafsi iliendelea kipindi cha magufuli, hata kujenga nyumba watu waliacha kama sio kuogopa, hakuna hata kituo cha mafuta kilidiriki kufunguliwa ispokuwa puma.
Kama sio kuzimu Magufuli alikuwa anatupeleka wapi???
Labda kuna umuhimu wa kuwa na wakuu wa nchi waliokua kiuongozi kwa hatua hadi kufikia ukuu wa nchi. Kwa kuwa naona kulikuwa na hali ya kukosa uzoefu.Endapo Magufuli angetawala hadi 2025 au 2030 kama ilivyokuwa ikitamkwa na wapambe wake wa kisiasa, bhasi Watanzania walikuwa wanapelekwa kuzimu.