Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Watu wa design kama nyinyi hivi, inabidi tuwakusanye kwa pamoja, then tunawapiga kiberiti.. 🤒🤒🤒
Yule bwana hakustahili hata kuwa mkuu wa wilaya kabisa. Ona mama anavyomproove wrong in almost all aspects.

Kipindi kile mambo mengi hayakuwa yanaenda na sasa yameanza kuleta effect, thanks to mama samia anayatatua slowly.

Mfano hivi we ni rais gania unafokafoka kila unayeongea naye as if ni mtofo wako. Hivi alijua maana ya sheria kweli? Sheria hairaki rais kukamata na kumhukumu hapohapo mtu eti ni fisadi, akimuonea kwa sababu huko nyuma wameshakosana! Mfano Manji.

Unaumiza mass kubwa kwa sababu ya bifu zako za ajabuajabu.

Nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana.
Kumkosea adabu mkuu wa nchi aliyelitumikia taifa miaka 20 alafu wananchi na chama chake kikamuamini awe rais na atuongoze unajionyesha kwa kiwango gani umelaaniwa! Magufuli hakuwa mtu wa kutafuta-tafuta! Alijipambanua kwa uongozi wake shupavu kwa vipindi vyote vinne vya Mkapa na Kikwete! Hakuna chama chenye chujio linalochuja na kuchekecha kama CCM lakini akapita na kwa kipindi cha uongozi wake wa muhula mmoja na mwaka mmoja wa muhula wa pili kafanya mambo mengi. Hata huyu unayemfanyia UCHAWA kawekwa na Magufuli! Unaongea nini wewe lofa?
 
Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
Sgr trillion 13, Stigler gorge trillion 5.6, Masoko na stend trillion 1.4, hospitali trillion 4.32, ndege trillion 8.345, barabara trillion 36, miradi ya maji trillion 7.431, miradi ya umeme trillion 3.343, viwanja vya ndege trillion 2.67, rada trillion 1.02, elimu bure bila malipo trillion 4.12 kila mwaka, nk nk achana na vimiradi vya million 20, million 10 million 100 acha kulinganisha Mwamba Jpm mlima Everest na kichuguu cha mwamikoto
 
Alijenga kwa pesa ake? kodi za watanzania

Unasumbuliwa na tatizo la akili pekee, hakuna mtu anajenga zaidi ya kodi za watanzania
 
Kumkosea adabu mkuu wa nchi aliyelitumikia taifa miaka 20 alafu wananchi na chama chake kikamuamini awe rais na atuongoze unajionyesha kwa kiwango gani umelaaniwa! Magufuli hakuwa mtu wa kutafuta-tafuta! Alijipambanua kwa uongozi wake shupavu kwa vipindi vyote vinne vya Mkapa na Kikwete! Hakuna chama chenye chujio linalochuja na kuchekecha kama CCM lakini akapita na kwa kipindi cha uongozi wake wa muhula mmoja na mwaka mmoja wa muhula wa pili kafanya mambo mengi. Hata huyu unayemfanyia UCHAWA kawekwa na Magufuli! Unaongea nini wewe lofa?
. Hii tz kuwa watu wapumbavu sana... Na watu wa aina hii ndo wengi zaidi hapa TANZANIA...

. JPM ametuachia rasilimali nyingi sana hapa tz, madaraja kibao àmbayo hatufikiria kama yatakuja kujenga nchini, akathubutu kujenga BWAWA LA UMEME ambalo tungekuwa na uzalendo kuhusu kukatika kwa umeme tungekuwa tumesha sahau mda mrefu.

. Tuje kwenye usambazaji wa maji kutoka ziwa viktoria kuja hadi singida......

Lanikini kuna nyumbu kama deblabant hawawezi kuona mambo kama haya..
 
Hujui kitu. Lini daraja likawa rasilomali? Rasilimali ni watu siyo vitu
 
Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
Fanya tafiti kidogo ukiweka uchawa pembeni nenda TANROADS, TARURA na TRC kaulizie kwa nini miradi yote inayofadhiliwa na serikali imesimama?
Pili kaulizie physical progress ya miradi vs financial progress
Ukishindwa sana tafuta rafiki zako wakandarasi then waulize madai yao ndani ya miezi 18 nyuma dhidi ya Serikali kama yamelipwa japo kwa asilimia 30 then rejea kauli yako hii kama wewe kweli ni mzalendo
 
Kuna wakati Kenya ilitegemea ufadhili wa nje Kwa 5% tu lakini Leo hii Utegemezi umepanda hadi 43%

Prof Kitila na Dr Mwigullu fanyeni Kazi ya ziada tuukamate Uchumi wa Africa Mashariki

Credit Citizen TV

Mlale unono 😃
 
Kuna saa naamkaga nakumbuka mkapa alishalala, jpm alisharikigi kitambo, ndugulile tulishamzika kitambo najikuta nashtuka tu

Maalim seif naye, hivi mnajua kiutani utani kina kijazi, mfugale eti hawapo

Mnakumbuka selina kombani? Aisee hii nchi watu wengi sana wamelala kimasihara!!

Mungu atusaidie kwakweli.
 
Back
Top Bottom