Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
kisoga wewe unadanga wapi leo?Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kisoga wewe unadanga wapi leo?Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
Eti aliojenga, kodi za watanzania ndiyo zimejengaDaraja lilijengwa na serikali na rais alikuwa masimamizi tu. Rais hana pesa za kujenga daraja
Alijenga kwa pesa ake? kodi za watanzaniaUtakuta unaandika yote haya alafu jioni unapita kwenye daraja alilojenga Magufuli Ubungo
Watu wa design kama nyinyi hivi, inabidi tuwakusanye kwa pamoja, then tunawapiga kiberiti.. 🤒🤒🤒
Kumkosea adabu mkuu wa nchi aliyelitumikia taifa miaka 20 alafu wananchi na chama chake kikamuamini awe rais na atuongoze unajionyesha kwa kiwango gani umelaaniwa! Magufuli hakuwa mtu wa kutafuta-tafuta! Alijipambanua kwa uongozi wake shupavu kwa vipindi vyote vinne vya Mkapa na Kikwete! Hakuna chama chenye chujio linalochuja na kuchekecha kama CCM lakini akapita na kwa kipindi cha uongozi wake wa muhula mmoja na mwaka mmoja wa muhula wa pili kafanya mambo mengi. Hata huyu unayemfanyia UCHAWA kawekwa na Magufuli! Unaongea nini wewe lofa?Yule bwana hakustahili hata kuwa mkuu wa wilaya kabisa. Ona mama anavyomproove wrong in almost all aspects.
Kipindi kile mambo mengi hayakuwa yanaenda na sasa yameanza kuleta effect, thanks to mama samia anayatatua slowly.
Mfano hivi we ni rais gania unafokafoka kila unayeongea naye as if ni mtofo wako. Hivi alijua maana ya sheria kweli? Sheria hairaki rais kukamata na kumhukumu hapohapo mtu eti ni fisadi, akimuonea kwa sababu huko nyuma wameshakosana! Mfano Manji.
Unaumiza mass kubwa kwa sababu ya bifu zako za ajabuajabu.
Nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana.
Sgr trillion 13, Stigler gorge trillion 5.6, Masoko na stend trillion 1.4, hospitali trillion 4.32, ndege trillion 8.345, barabara trillion 36, miradi ya maji trillion 7.431, miradi ya umeme trillion 3.343, viwanja vya ndege trillion 2.67, rada trillion 1.02, elimu bure bila malipo trillion 4.12 kila mwaka, nk nk achana na vimiradi vya million 20, million 10 million 100 acha kulinganisha Mwamba Jpm mlima Everest na kichuguu cha mwamikotoHakuna mrdi hata mmoja uliosimama
Sgr trillion 13, Stigler gorge trillion 5.6, Masoko na stend trillion 1.4, hospitali trillion 4.32, ndege trillion 8.345, barabara trillion 36, miradi ya maji trillion 7.431, miradi ya umeme trillion 3.343, viwanja vya ndege trillion 2.67, rada trillion 1.02, elimu bure bila malipo trillion 4.12 kila mwaka, nk nk achana na vimiradi vya million 20, million 10 million 100 acha kulinganisha Mwamba Jpm mlima Everest na kichuguu cha mwamikotoAlijenga kwa pesa ake? kodi za watanzania
Unasumbuliwa na tatizo la akili pekee, hakuna mtu anajenga zaidi ya kodi za watanzaniaSgr trillion 13, Stigler gorge trillion 5.6, Masoko na stend trillion 1.4, hospitali trillion 4.32, ndege trillion 8.345, barabara trillion 36, miradi ya maji trillion 7.431, miradi ya umeme trillion 3.343, viwanja vya ndege trillion 2.67, rada trillion 1.02, elimu bure bila malipo trillion 4.12 kila mwaka, nk nk achana na vimiradi vya million 20, million 10 million 100 acha kulinganisha Mwamba Jpm mlima Everest na kichuguu cha mwamikoto
. Hii tz kuwa watu wapumbavu sana... Na watu wa aina hii ndo wengi zaidi hapa TANZANIA...Kumkosea adabu mkuu wa nchi aliyelitumikia taifa miaka 20 alafu wananchi na chama chake kikamuamini awe rais na atuongoze unajionyesha kwa kiwango gani umelaaniwa! Magufuli hakuwa mtu wa kutafuta-tafuta! Alijipambanua kwa uongozi wake shupavu kwa vipindi vyote vinne vya Mkapa na Kikwete! Hakuna chama chenye chujio linalochuja na kuchekecha kama CCM lakini akapita na kwa kipindi cha uongozi wake wa muhula mmoja na mwaka mmoja wa muhula wa pili kafanya mambo mengi. Hata huyu unayemfanyia UCHAWA kawekwa na Magufuli! Unaongea nini wewe lofa?
Sgr kajeng Samia siyo magufuliUtakuta uko kwenye SGR alivojenga Magufuli ujinga ni mzigo kama gunia la chawa
Hujui kitu. Lini daraja likawa rasilomali? Rasilimali ni watu siyo vitu. Hii tz kuwa watu wapumbavu sana... Na watu wa aina hii ndo wengi zaidi hapa TANZANIA...
. JPM ametuachia rasilimali nyingi sana hapa tz, madaraja kibao àmbayo hatufikiria kama yatakuja kujenga nchini, akathubutu kujenga BWAWA LA UMEME ambalo tungekuwa na uzalendo kuhusu kukatika kwa umeme tungekuwa tumesha sahau mda mrefu.
. Tuje kwenye usambazaji wa maji kutoka ziwa viktoria kuja hadi singida......
Lanikini kuna nyumbu kama deblabant hawawezi kuona mambo kama haya..
Afadhali mods wametoa thread yako.. Maana uliandika utumbo tu 🗑️🗑️🚮🚮Hujui kitu. Lini daraja likawa rasilomali? Rasilimali ni watu siyo vitu
Fanya tafiti kidogo ukiweka uchawa pembeni nenda TANROADS, TARURA na TRC kaulizie kwa nini miradi yote inayofadhiliwa na serikali imesimama?Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
wewe Huna upstairsSgr kajeng Samia siyo magufuli
Hawa hadi leo wapo.“Watu wasiojulikana”