Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
- Thread starter
-
- #21
Nakupa siku 14 utakua na jibu tofautiKadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Baada ya maombi kujibiwa!Baba kakimbia nyumba [emoji848][emoji848][emoji848]
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
When will you start to use your brain???Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani limewashinda ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
BIG NOOOO......Tatizo linakuja umpe usimpe atatangazwa
Vizuri. So uende au usiende ni useless! Haiongezi wala kupunguza kwa yoyote.
Mimi mke wangu chadema damu, anasema safari hii ni T2020 JPM, kijijini kwao kwenda ni mkeka tu na maji na umeme umefika sasa. Humuelezi kitu sasa hivi, hivyo hakijaaribika kitu. Wanapisha barabarani wako anaenda huku wangu anaenda huku.Nimemuuliza swali hilo make wangu ambaye najua ni mpenzi wa ccm, kanijibu THUBUTU! na akafyonya kabisa. Nikamuuliza, lakini wewe sii mtumishi wa umma?
Jibu lake ndio limenifanya mpole, "kwa hiyo? Usitake kunitibua bwana! au unataka nikufanyizie?"
Imebidi niwe mpole maana na Leo kuna kibaridi Fulani hivi. Maswali haya ya wanaJF yanaweza kukukosesha vitu bure!
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio bure kabisa...Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani limewashinda ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
na je baada ya kujitathmini atakubali kugombea tena ?kwanza yuko wapi
Probably uko sahihi.Ila jibu langu ni lilelile simpi bora niharibu.Vizuri. So uende au usiende ni useless! Haiongezi wala kupunguza kwa yoyote.