Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Hata kwa kulogwa
 
Sitampa kwa sababu kuu 2.
1.Anaminya demokrasia
2.Ameua Uhuru wa vyombo vya hbr
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Mimi nitampa 2025
 
Siku ya kupiga kura.naanzia baa nawachkua baa medi wote .napita kwa madem zangu wote nawapa buk 10 kumi nawambia mkiona john pombe magu weka tiki
Kura ni siri ya mtu,watakupiga pesa na kura watachagua wanapojua.
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Nitampa Magufuli kura yangu ya NDIO
 
Nimejibu kwa mtindo wa swali kwa swali.
Simpi. Nitampigia yeyote atakayegombea upinzani ili kutounga kike kinachoobekana mwelekeo wa kuwa chama kimoja. Na kwa sababu hio hio nitampigia mgombea ubunge wa upinzani ili kuongeza wabunge wa upinzani bungeni.
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Unaweza vp kumpa kura nyoka?
 
Back
Top Bottom