KERO Je, UTT AMIS kuna kitu kinafichwa bila sisi wanachama kujua?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna haja ya kuja na sheria kali za kulinda privacy πŸ” na autonomy ya matakwa ya mteja katika taasisi za kifedha. Naona kwa sasa tuna tatizo la watu wa serikalini kucheza na akili zetu.

Mtu anachukua taarifa za mteja anaziweka rehani anavyotaka. Hivi wao wakifanyiwa hivyo watajisikiaje?

Tunahitaji hii sheria kabisa.
 
SWALA LOLOTE LINALO HUSISHA PESA LINA SURA YA KIBIASHARA, NA KWENYE BIASHARA TEGEMEA CHOCHOTE NI 50 UPATE AU 50 UKOSE, HIVYO MKAE KWA KUTULIA
 
Tumia USSD code *150*82# utapata balance na ministatement ya account yako.
Kwann kwenye app mpya wameweka overall amount ya account zote na sio moja moja kama ilvokua zamani, hii ya kutumia code imekaa kazamani sana, ilitakiwa mambo yote yaishie kwenye app
 
haya mambo haya. UTT imevuma SANAAA hivi karibuni na imefanyiwa promo ya kutisha utasikia ukiweka mil kadha baada ya miaka kadha utakua na billion kadha.

ok mimi niseme tu kuna mlio utakuja kusikika haijapata tokea. TATIZO WATU WENGI NI WAVIVU WANAPENDA SOFT SOFT HAWAWAKI KUANZISHA BIASHARA WAKAKOMAA NA CHANGAMOTO KISHA KUKUA NA KUFANIKIWA, WAO WANATAKA AWEKE HELA AJE ADOWNLOAD MABILLION.

**** mlio unakuja Na taratibu mvuke umeanza kuchomoza. YETU MACHO.
 
nakubaliana na wewe kuna mlio unakuja hata kama sio leo au kesho lakini mlio huu ni HAKIKA
 
Wapi huko wanaweka hela na kuvuna pesa mkuu..tupeane fursa.
 
Tatizo la mifuko inayomilikiwa na serikali ambayo mtendaji ni mteuliwa wa rais anaweza kupokea maagizo ya kutoa pesa na asipinge
 
Biashara ingekuwa rahisi kama unavyotuaminisha tungekuwa na millionea wengi sana kweye hili taifa letu. Hiyo hiyo UTT kuna wazee wanapiga hela more than 20 years sasa. Wewe endelea kuwaza negative.

Kitu kama hukiwezi au hukitaki, usitake kuwafanya wengine wakichukie. In anycase, hakuna uwekezaji salama 100%.
 
ok mimi niseme tu kuna mlio utakuja kusikika haijapata tokea. TATIZO WATU WENGI NI WAVIVU WANAPENDA SOFT SOFT HAWAWAKI KUANZISHA BIASHARA WAKAKOMAA NA CHANGAMOTO KISHA KUKUA NA KUFANIKIWA, WAO WANATAKA AWEKE HELA AJE ADOWNLOAD MABILLION.
Kwa wastaafu kwa mfano siyo rahisi kuanzisha biashara mpya na kukomaa hadi kutoboa. Kwa hawa UTT inakuwa option yenye unafuu
 
Utt ni wizi mtupu.Kama hela yako umeshindwa kuifanyia biashara wewe mwenyewe bora uwape tu ndugu zako waile hiyo hela watakukumbuka na siyo huo uhuni unaoitwa utt amis(ni utapel mtupu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…