Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Mimi sasa yapata miezi 3 App inanisumbua sana, nimefanya jitihada zote za kuwapigia simu ila bado hawajanisaidia. Nimekwenda hadi tawini kwao huku niliko nikaacha na taarifa zangu lakini hadi leo sioni mabadiliko, nimeamua kufuta kabisa hii App yao mpya,sasa nashangaa mbona app hii mpya mwanzoni nimeitumia na ilikuwa freshy..!! Nikitumi USSD code Ile ya *150*82# inafanya kazi vizuri naweka na kutoa pesa