The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Nina maswali matatu mkuku nijibu kwa kutulia.Kwa wastaafu kwa mfano siyo rahisi kuanzisha biashara mpya na kukomaa hadi kutoboa. Kwa hawa UTT inakuwa option yenye unafuu
1. Unajua madhara ya vitu rahisi ?! Je unamfano wamtu yeyote aliefanikiwa kwa kupitia kufanya "vitu rahisi" ?
2. Kwanini iwe "kuanzisha" na sio "kuendeleza au kuimarisha" biashara ?! Kwanini hao wastaafu hawakuanzisha biashara mapema mpaka masubiri kusaafu ndio "waanzishe"?
3. Je tunakubaliana watu wengi ni magoi goi yanayosubiri njia "rahisi" ?