The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Nina maswali matatu mkuku nijibu kwa kutulia.Kwa wastaafu kwa mfano siyo rahisi kuanzisha biashara mpya na kukomaa hadi kutoboa. Kwa hawa UTT inakuwa option yenye unafuu
Kwann kwenye app mpya wameweka overall amount ya account zote na sio moja moja kama ilvokua zamani, hii ya kutumia code imekaa kazamani sana, ilitakiwa mambo yote yaishie kwenye app
Nina miezi zaidi 3 app inagoma ila nikija kwa code salio linasoma, miamala inafanyika, so far as the cat is catching the mouse what's all about it's colour ?
Watu kweli mnahitaji elelimu wewe unadhani kuwekeza pesa yako na kupata chini ya asilimia 1 ya pesa yako kwa mwezi nikitu rahisi?Nina maswali matatu mkuku nijibu kwa kutulia.
1. Unajua madhara ya vitu rahisi ?! Je unamfano wamtu yeyote aliefanikiwa kwa kupitia kufanya "vitu rahisi" ?
2. Kwanini iwe "kuanzisha" na sio "kuendeleza au kuimarisha" biashara ?! Kwanini hao wastaafu hawakuanzisha biashara mapema mpaka masubiri kusaafu ndio "waanzishe"?
3. Je tunakubaliana watu wengi ni magoi goi yanayosubiri njia "rahisi" ?
Kwamba wewe unaeweka hela na kusubiri mrahaba ndio unaelimu, ni kweli Taifa hili lina wasomi wajingaWatu kweli mnahitaji elelimu wewe unadhani kuwekeza pesa yako na kupata chini ya asilimia 1 ya pesa yako kwa mwezi nikitu rahisi?
Kwa hiyo kwa mawazo yako ni kwamba unataka watu wote wawe wafanyabiashara? Heshimu maamuzi ya mtu mwingine ili mradi hayavunji sheria au utaratibu wa maisha ya watu wengine. Watu wote wakiwa wafanyabiashara hizo kazi na huduma nyingine zitatolewa na nani kwa wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara na hata wasio a kazi yoyote? Mbona hutulazimishi kuwa wakulima au wavuvi? Yaani vitoto vya 2000 vinajifanya vinajua sana kuliko hata dingi zao ndio maana vinabutuliwa hovyo hovyo tu.Nina maswali matatu mkuku nijibu kwa kutulia.
1. Unajua madhara ya vitu rahisi ?! Je unamfano wamtu yeyote aliefanikiwa kwa kupitia kufanya "vitu rahisi" ?
2. Kwanini iwe "kuanzisha" na sio "kuendeleza au kuimarisha" biashara ?! Kwanini hao wastaafu hawakuanzisha biashara mapema mpaka masubiri kusaafu ndio "waanzishe"?
3. Je tunakubaliana watu wengi ni magoi goi yanayosubiri njia "rahisi" ?
Tatizo wanachanganya dhana ya uwekezaji na biashara. Uwekezaji siyo biashara kwa anayewekeza fedha anaweka hela yake mahali salama wakati huo huo ukipata faida pale ambapo hana mahitaji na hiyo hela. Ndiyo maana unaruhusiwa kuitoa na kufanyia shughuli zako nyingine pale unapohitaji kufanya hivyo.Watu kweli mnahitaji elelimu wewe unadhani kuwekeza pesa yako na kupata chini ya asilimia 1 ya pesa yako kwa mwezi nikitu rahisi?
Jamaa inabidi ajielimishe,UTT imeanzishwa 2003 mpaka leo ipo.Kama Kuna mtu anasubiri mlio utatokea UTT hio SAHAU, sijawekeza huko ila babu yangu mpaka Leo hio anakula mema yake kupitia UTT Mimi toka mdogo, na uwekezaji wake hata akifa warithi wapo.
Lakini waswasi ni akiliUmemaliza kila kitu
Kuwa na wasiwasi juu ya jambao fulani bila kujielimisha/kujua kuhusu hilo jambo nao ni ujinga tu. Ukijua jambo lilivyo ndio akili (unaweza kufanya maamuzi sahihi).Lakini waswasi ni akili
Mrahaba ni kitu gani mkuu ,, pia nenda katafute elimu kuhusu money marketing fund upunguze ujingaKwamba wewe unaeweka hela na kusubiri mrahaba ndio unaelimu, ni kweli Taifa hili lina wasomi wajinga
Na kila mtu akiwa mfanyabiashara nani atakua customer?Kwa hiyo kwa mawazo yako ni kwamba unataka watu wote wawe wafanyabiashara? Heshimu maamuzi ya mtu mwingine ili mradi hayavunji sheria au utaratibu wa maisha ya watu wengine. Watu wote wakiwa wafanyabiashara hizo kazi na huduma nyingine zitatolewa na nani kwa wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara na hata wasio a kazi yoyote? Mbona hutulazimishi kuwa wakulima au wavuvi? Yaani vitoto vya 2000 vinajifanya vinajua sana kuliko hata dingi zao ndio maana vinabutuliwa hovyo hovyo tu.
Biashara zilizofanikiwa hapa tanzania hazifiki milioni moja,, kufanikiwa means kuwa na uwezo wa kulipa kodi . Wengine tunaganga njaa tuNa kila mtu akiwa mfanyabiashara nani atakua customer?
Kama unasubiri hivyo ukute nawewe unaweka pesa bank ipo siku utalia pia😂Hii mifuko kwa jinsi ninavyoijua nchi yangu, kuna siku watu watalia vilio vikuu
HahahahaUtT amis kazeni hivyohivyo na wauza majeneza nao tuuze kidogo mwaka huu
Ni njia Tu za kipato,kunaNina maswali matatu mkuku nijibu kwa kutulia.
1. Unajua madhara ya vitu rahisi ?! Je unamfano wamtu yeyote aliefanikiwa kwa kupitia kufanya "vitu rahisi" ?
2. Kwanini iwe "kuanzisha" na sio "kuendeleza au kuimarisha" biashara ?! Kwanini hao wastaafu hawakuanzisha biashara mapema mpaka masubiri kusaafu ndio "waanzishe"?
3. Je tunakubaliana watu wengi ni magoi goi yanayosubiri njia "rahisi" ?