Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Pamoja sana kaka nawe ukituletea unayojua itakuwa safi sana haswa utayogundua kwa mafundi!!!!

Mkuu tatizo la gari langu lilizidi sana, ikawa inazidi kukosa nguvu, na pia spark plugs zikawa zinakufa ndani ya wiki moja, mbili hivi.

Baada ya jitihada nyingi J3 hii tukashusha tenki la mafuta; tukatoa mafuta yote. Ni kwamba chini kabisa kulikuwa na mafuta kiasi cha lita tano ambayo yalikuwa na rangi nyeusi na hayakuchanganyika na yale ya juu. Baada ya kutafakari sana tukaona kama kuna tanker lililokuwa linabeba kitu kama molases na ikabeba mafuta ya petroli kabla ya kufanyiwa usafi. Naona mabadiliko, labda huenda tatizo likaisha.
 
UKITUMIA AC GARI INATUMIA MAFUTA KIDOGO KULIKO USIPITUMIA AC NA KUACHA VIOO WAZI.
mmh mmh:
It's more efficient to drive with the windows down at slow speeds as opposed to faster speeds because there's less aerodynamic drag when you're driving slower

If you're searching for a good rule-of-thumb number for when it's best to open the windows and switch off the air conditioner, according to some experts, the cut-off should be around 40 miles per hour (64.4 kilometers per hour).

What's the reason?

 
Na bado kuna gharama ya kusafisha gari!!!! Anayetumia AC gari lake always ni safi ndani maana hakuna vumbi kujaa kwenye makapeti na kwenye dash board. Asiyetumia AC mamaaaa, gari chafu ajabu,vumbi kibao si unajua barabara zetu, na ni rahisi vitu vya electronic kuharibika kama vile Radio n.k,
 
mkuu naomba pia ufanye resechi kuhusu hii....ukiwa na gari yenye cc kubwa kuanzia cc 1500 mpaka 3000 na kuendelea ukitumia AC iwe kwenye foleni au high way hakuna tofauti ila Cc ndogo ni shida na pia ukiwasha Ac mfano pajero mini au starlet au vitz gari inalalamika hata ukiwa na spidi kama 80 , gari inakuwa nzito wakati ukiwa na gari kama BMW haufili tofauti.
Nimejaribu kwa kuwa ninazo gari izo tofauti tofauti na kuna tofauti apo. Panda vitz piga spidi 70 the washa AC gari itakuwa kama inakuwa nzito , then tumia legacy, piga spidi 90 then washa AC gari inakuwa smooth ghafla kama inataka kuruka....je tofauti hapo ni nini? na je iyo tofauti ya smoothness na kuwa nzito hazileti impact kwenye mafuta??? its a layman's argument na simple research!!
 

Duuh..!
 
mimi nmeweka AC mwanzo mwisho toka Dar-Arusha sijaona utofaut!nikiwa na forester

Gari ikiwa inatembea hiyo dhana iko sahihi. Tatizo ukiwa kwenye foreni. Gari inahitaji nguvu ya ziada kuendesha AC. Ndio maana ukiwasha AC kama umesimama utasikia engine unaongeza mvumo
 

kuhusu ac kutumia nguvu ya ziada liko wazi,na hata kwenye thread nimeelezea tatizo ni pale unapoamua kufungua vioo wakati unaenda speed kama 60-80kph hamna unachookoa kwani drag inasababisha gari itumie nguvu zaidi kuliko ukiwasha ac na kufunga vioo.

kwasababu ac inatumia nguvu,ukiwa na vigari vidogo lazima utaona tofauti kuliko ukiwa na gari yenye cc kubwa....lakini hata hicho kigari kidogo ukiwasha ac na ukaenda speed 80/90kph ni afadhali kuliko ukifungua vioo na kuendesha bila ac kwasababu ya drag.
 
Gari ikiwa inatembea hiyo dhana iko sahihi. Tatizo ukiwa kwenye foreni. Gari inahitaji nguvu ya ziada kuendesha AC. Ndio maana ukiwasha AC kama umesimama utasikia engine unaongeza mvumo

correct...na ndio maana thread inasema 'kuendesha vioo wazi'
 

Vigari vidogo km cc ngap labda? Labda saidia hapa gari yenye cc 1490 uwiano wa mafuta kwa km unatakiwa kuwaje?
 
Vigari vidogo km cc ngap labda? Labda saidia hapa gari yenye cc 1490 uwiano wa mafuta kwa km unatakiwa kuwaje?

mkuu inategemea na gari....gx110 ina cc2000 na bmw 318 zipo za cc2000 lakini bmw inatumia mafuta mengi zaidi hence more powerful and faster...why, its another topic.

anyway kama cc1490 ni premio/raum/corolla unaweza kwenda up t0 11-13km/L
 
Hili limekuwa likileta mdala mkubwa sana kwa wadau mbalimbali hasa mafundi. kuna mafundi ambao wanasema kuwa Si kweli kuwa ukiwasha AC gari inatumia mafuta zaidi. na wengine wanasema huo ni ukweli mtupu kwa kuwa engine inazunguka zaidi hivyo mafuta yanatumika zaidi.

Hapa tupo wadau mbalimbali labda ni wakati sasa wa kuelimishana kulingana na uzoefu pamoja na ujuzi kuhusiana na jambo hili. kutokana na folen za dar wengine wamekuwa wakilazimika kuzima kiyoyozi ili kuokoa mafuta kwnye gari na wengine wamekuwa wakizima gar kila wanapokuwa kwenye folen na kuwasha inaposogea kidogo.

lakini pengine pia huu ni wakati muafaka wa kupeana njia za kutumia mafuta vizuri au kwa bajeti.
 
Limejadiliwa sana hili swala humu ndani
Wakati unasubiri majibu jaribu kusearch humu jf
 
Drag ni nguvu ya ukinzani inayosukuma kinyume wakati kitu kinaelekea mbele ,inayosababishwa na msuguano wa hicho kitu na hewa.
 
gari yangu inauwezo wa kufungua roof yote hamna cha kioo wala nini, sema ntachelewa kupata speed ya 140kph au DRAG inakua-apply vipi hapo? :cool2:
Ni resistance ya atmosphere yani hewa inayofanya kitu kurudi nyuma wakati wa mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…