Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kofia sio kitu mbaya ila inategemea na aina gani unavaa na time gani! Mfano mie napenda manzi yangu avae kofia af atolee kinywele nyuma kule kama mcheza tennis! Inanibamba sana!
Hahahah we utakuwa unachukulia sivyo, ila love is compromising! Sikulaumu maana pia mie sipendi mwanamke avae vikuku in the same manner we haupendi mtu avae kofia.
Hahaha mie kacha sivai na sizielewi kabisa, kuna mamzi alikuwa ananiletea hizo mapigo, mi napenda jeweleries hasa silver! So sikosi Bracelet na Kamba shingoni...ati yeye hapendi anaona uhuni! Nikamwambia mama mlango upo wazi...niondokee kwenye maisha yangu! Mtu wa kunipangia maisha kihivyo simtaki!Serious mkuu unaonekana km mhuni..na kuna zile culture..wanaume wanazivaa sana zina bendera ya Tz..kwakweli nachefukwa sana..iko siku nitaunguza mtu mkono
Aisee the moment nimekuona umefanya hivyo, mapenzi na uaminifu wangu kwako ungetoka asilimia 90 mpaka 40 kwa kasi ya mwanga!nadhan tunaelewana sasa....hahahaja mm kikuku sijawah vaa ila nilikua navaa pete kidole cha 2 mguuni..enzi hizo za usichana..nw siwez tena
Hahaha kuna mamzi alikuwa ananiletea hizo mapigo, mi napenda jeweleries hasa silver! So sikosi Bracelet na Kamba shingoni...ati yeye hapendi anaona uhuni! Nikamwambia mama mlango upo wazi...niondokee kwenye maisha yangu! Mtu wa kunipangia maisha simtaki!
Aisee the moment nimekuona umefanya hivyo, mapenzi na uaminifu wangu kwako ungetoka asilimia 90 mpaka 40 kwa kasi ya mwanga!
Mie kamba, bracelet, saa, pete! Hapo tu! Kofia sio kivileYes..kwa manzi inavutia..yes..nakuelewa..!hyo ht mm nikiipata blak naweza tinga wknd 1..lakini sio menπ£
Hivi huwa zinadumu?[emoji28].. Hizi bana zinatokeaga mazingira yasiyotarajiwa. Mzee kamkuta binti yake red handed na jamaa, basi wanamaliza kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kamba, bracelet, saa, pete! Hapo tu! Kofia sio kivile
hahahhahaha...Hivi huwa zinadumu?
πππππ sivaagi full time, ila saa na pete always on the menu!πππ inategemea na age..na ww toa macheni hayo..duh
πππππ sivaagi full time, ila saa na pete always on the menu!
Hahahah hamna cha uhuni wala nini, mapenzi ni kitu tofauti na hivyo kabisa!Utapata wahuni wenzako..lol..bracelete???aisee...
Kwani pete ni za ndoa tu?!Umeoa,?π
Hahahah hamna cha uhuni wala nini, mapenzi ni kitu tofauti na hivyo kabisa!
Kwani pete ni za ndoa tu?!
Sawa nitafanya hivyoKofia sio kitu mbaya ila inategemea na aina gani unavaa na time gani! Mfano mie napenda manzi yangu avae kofia af atolee kinywele nyuma kule kama mcheza tennis! Inanibamba sana!
Ukiniona utatamani niwe wako, just smart! Sivai pete za majini zile au madalali πππππ excuse my Frenchdah...aisee...hujaoa pete ya nn sasa mwanaume..unapenda urembo au?
Kiukweli kwangu mwanaume saa inatosha, akiongeza vikorimbwezo vingine ameharibudah...aisee...hujaoa pete ya nn sasa mwanaume..unapenda urembo au?
Ukiniona utatamani niwe wako, just smart! Sivai pete za majini zile au madalali πππππ excuse my French