Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Bwana Henry Stanley pindi anamtambua David livingstone kwa mara ya kwanza kule ujiji pia alivua kofia.
 
Hata wazungu Wana utaratibu huo
Wa kuvua kofia kama kuonesha heshima!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Henry Morton Stanley alitumwa na Newyork post kumtafuta Dr David's Livingstone akamkuta Ujiji mwaka 1871.Alivua kofia akasema Dr Livingstone I presume.
Idea yangu ni kukuonyesha huu ni utaratibu tu hata wazungu wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah watu tunatofautiana mm hunikosi na bracelet na shingoni na naonekana wa heshma sjawahi hisiwa muhuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…