Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na pili kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je Kuna support za wadau ili kuziinua izo bunifu? Na road map ipoje Hadi kufikia nchi ya ahadi
Vijana wa Sasa wanahamasika kuvumbua vitu Kuna vijana wanatengeneza applications ,Kuna vijana wanakuja na mawazo ambayo yanaleta tija na suluhu kwa nchi zetu masikini lakini changamoto kubwa inakuja je apitie njia gani ili wazo lake lifike nchi ya ahadi,je Kuna mentorship za kuwaongoza? Je wanajua mchakato wa kisheria na kisera kuhusu mawazo yao ,?
Kwa upande mwingine hayo mawazo yanamgusa muhitaji Moja kw moja au ni Yale ya copy and pasting kutoka nchi za magharibi?