Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF,
Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini?
Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga juhudi za kujinasibu na DP World.
Tunafahamu karibia waislam asilimia 95% kwenye mitandao wana unga mkono hilo limkataba la kuuza Tanganyika. Je, Kinachofanyika sasa ni jitihada za kuwagawa wakristo ili mpate ushindi wa dhuluma?
Wakristo washajua hilo toka waislam wamejipumbaza Kwa kueneza udini na kutamka bayana nao wakristo wana akili nyingi tena sana. Hao wasabato na walutheri wamewapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, waumini hawapo hivyo Umoja wa Imani yao katika utashi wa kulipenda taifa na Mali zake ni mkubwa mno.
Wakristo sio mazuzu wanawachora tu. Anaegawa taifa ni huyo aloleta hio IGA ya DP World.
Shukrani 🙏