Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwahiyo kondoo, Raisi na Serikali yake wametishika? 😜Tanzania ni kubwa na muhimu kuliko makundi yenu ya kiimani
Kama vitisho endeleeni kutisha Kondoo wenu sio Rais na Serikali yake
Wakumbusheni Viongozi wenu wa kiimani tunawaheshimu sio kwa kuwa hatujui madhaifu yao, bali kwa kuwa wanaheshimiwa na wale tunaowaheshimu tu.
Mmeshakumbushwa kwa lugha laini sana 'Hakuna mwenye ubavu wa kuleta choko choko ' na pia mmetolewa wasiwasi pia kuwa hakuna ' Mwenye ubavu wa kuuza rasilimali za Nchi'
Mkiheshimu Mamlaka nanyi mtaheshimiwa na mkileta vitisho na Propaganda mtapuuzwa tu hata na wafuasi wenu
Waambie wasiogope bana, lakini na Serikali pia isiwatumie vibaya viongozi wa dini kuwahadaaa kinafiki kwamba kila hafla ya serikali viongozi wa dini hupewa nafasi ya mwanzo kusema au kuomba mpaka ikulu.
😜 Lakini waikiikosoa serikali tu pale ambapo wanaona kunaweza kuhatarisha umoja na amani kitaifa, utaskia ooh wanachanganya dini na siasa 😜.
Kwahiyo mnavowaalika kwenye majukwaa yenu ya kisiasa na dhifa za kitaifa na kuwapa nafasi za mbele kabisa huwa mnachanganya mahindi na mchele au ni nini?
Au mambo yakiwa shwari sio mchanganyo wa dini na siasa ila mkiambiwa ukweli ndio kuchanganya dini na siasa.
Kwani pale Mahakama kanda ya Mbeya ilipotoa hukumu ya kesi ya Mwambukusi kupinga mkataba wa dipi weldi , iliposema mkataba wa uwekezaji wa dipi weldi na Serikali ya Tz hauna shida ila zipo kasoro zinaweza kurekebishwa, je hii tunaitaje?
Kwani hawa viongozi wa katoliki mbona ni kama vile hawana shida na mkataba wenyewe ispokua wanachodai ni hizo kasoro kurekebishwa tu na mambo yaende.....
Na hawa wakatoliki inaonekana ni wasomi mno, wanachofanya ni Maandamano ya kisayansi na kisaikolojia tena yasiyo na na kibali cha mwanadamu bali Mungu. Hii ni hatari sana, na serikali imeshindwa na kamwe haitaweza kabisa kuyazuia. Na naskia yatuendelea kwa majuma 6 zaidi.
Na Viongozi wa Maandamano wamejiorodhesha hadi majina 🤓 ni Maaskofu 37, halafu waandamaji ni maparoko, waamini wote wakatoliki waliohudhiria misa Jpili, viongozi wa Jumuiya na familia zote za kikatoliki, dah! akili nyingi bana saa zingine 😜
Sasa utawaweka jela gani, halafu naskia na wao wanajilaumu kutokuchukua nafasi za uongozi chaguzi zilizopita licha ya kuhamasishana kupiga kura.
Wanajutia if you don't want to take part in political administration don't blame to be ruled by a fool.
Safari hii sijui itakuajee 2024-2025....