Mgagagigikoko
JF-Expert Member
- Jul 1, 2007
- 474
- 0
Na wao si waslamu tu kama WEWE?
Mbona hujataja waslamu wengine kama MWINYI,SALMIN AMOUR,KIKWETE,ROSTAMA AZIZI,IDDI SIMBA,MUSUGURI NA YEYE ni Mchagga? SI ANA SHARE KWENYE MEREMETA?
Unataka tuendelee?
Na hilo la karafuu limewaletea maendeleo kina nani?
Wewe ni MHAFIDHINA?
Sikutaja kuja wengi waaminifu. MZee kawawa,dr.Salim Ahmed Salim,tizama mawaziri wakuu wa kasikazini walivyokwapua,
Tatizo sio wachagga maanake hata kama wachagga wangejitoa kwenye hizo nafasi, tungeanza kuwalaumu wahaya, wahaya wakitoka, tunawanzia wanyakyusa, etc... Lakini chakushangaza TZ waindi na waharabu wanavyofanya hamna mtu anafikiria hivyo... Sasa sijui tatizo liko wapi hapa... mimi naona hatupendi kuona Mtanzania halisi akiendelea zaidi iwe mmoja au kabila... yaani maradufu wahindi au mzungu apete kuliko mbantu mwenzie.. lakini i could be mistaken.....
Kina Kawawa ni watu wa kaskazini?
Na Salim Pia?
I didn't know that! Kwa hiyo ndio maana wachagga ni wabaya?
mbona hatuwaonei wivu wala kuwalaumu wapemba? wanachuma kwa jasho lao,hakuna wizi unaotokea serikali bila kuwepo hawa kina Mangi.
mawaziri wa kaskazini wakuu wastafu ni MSUYA,SUMAYE NA LOWASSA,
WASIO WA KASKAZINI NI DR.SALIM AHMED NA MZEE KAWAWA TIZAMA WA KASAKZINI WALIVYOKWAPUA.
...mambo Ya Wangwe Kama Ni Kweli Basi Chadema Is Soooooo Weak,how Come Mtu Mmoja Tena Wangwe Eti Anaweza Kuua Chama? Nafikiri They're Just Overestimating The Guy,sasa Wajifunze Kujenga Vyama Vyenye Good Policy & Good Leadership,sio Kujenga Watu Wenye Nguvu Ambao Wakisema Hata Kama Ni Utumbo Basi Everything Goes!
Good Leadership Haipatikani Bila Demokrasia Ya Kweli,wabunge Wanateuliwa Kwenye Bar Bila Uchaguzi Wala Ridhaa Ya Wanachama Na Policy Ya Chama Ni Ruzuku Tu Utaweza Kujenga Chama? Mwenyekiti Akimchukia Mtu Anamfukuza Kwa Baraka Za Mzee Mtei Hicho Chama Au Business Family?
Tatizo sio wachagga maanake hata kama wachagga wangejitoa kwenye hizo nafasi, tungeanza kuwalaumu wahaya, wahaya wakitoka, tunawanzia wanyakyusa, etc... Lakini chakushangaza TZ waindi na waharabu wanavyofanya hamna mtu anafikiria hivyo... Sasa sijui tatizo liko wapi hapa... mimi naona hatupendi kuona Mtanzania halisi akiendelea zaidi iwe mmoja au kabila... yaani maradufu wahindi au mzungu apete kuliko mbantu mwenzie.. lakini i could be mistaken.....
Good Leadership Haipatikani Bila Demokrasia Ya Kweli,wabunge Wanateuliwa Kwenye Bar Bila Uchaguzi Wala Ridhaa Ya Wanachama Na Policy Ya Chama Ni Ruzuku Tu Utaweza Kujenga Chama? Mwenyekiti Akimchukia Mtu Anamfukuza Kwa Baraka Za Mzee Mtei Hicho Chama Au Business Family?
.....you really hate Chadema!
Oyaaa....vipi wee Mluguru.....
Hivi niulize swali moja hapa!..Natazama pande mbili za hii shilingi pamoja na kwamba haina soko kabisa..
Hivi wazungu walipokuwa wakishika wao madaraka kuendesha nchi ktk nafasi zote muhimu kulikuwepo na sababu gani ya kuwaondoa?..
je, tulipofanya hivyo ilikuwa chuki au?... maanake sioni tofauti kati ya Ukabila na Ubaguzi wa rangi ktk matukio ama uendeshaji wake. Najribu kutenganisha mifano hii miwili lakini nimekwama kwa sababu siwezi kutumia neno wageni kwa Wazungu nikaliacha kwa Wachagga..
Je, kuna jibu lolote ambalo tunaweza kulitumia na likawa halali kwa Wachagga lakini sio kwa Wazungu, waarabu na kadhalika..na kama hakuna je inakuwaje tunahalalisha kumwondoa mzungu madarakani, mzungu ambaye alikuwa na elimu na kila sifa kuliko hata huyo mchagga lakini tunalikataa inapofika kwa mchagga!..kuna tofauti zipi zinajenga ubaguzi wa kabila la ule wa rangi.
Ni swali tu sina jibu, nimeumizwa kichwa changu kwa muda kisha nimeona bora nililete kwa wataalam..