Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Mwanakijiji,

..halafu watu wako too obssesed na wachaga wa tra na chadema.

..kuna Wachaga wengi tu wanashona viatu,mafundi welding, mechanics, wauza bucha, wachoma mishkaki, madereva wa daladala,....husikii wananchi wakiwalalamikia hao.

Joka,
Sidhani kuwa watu wako too obsessed na wachaga kwenye TRA na CHADEMA tu, hizo mbili ni zile tu ambazo tu zilizokuwa mbele hivi karibuni. Lakini ukweli ni kuwa sehemu nyingi serikalini na hata kwenye biashara binafsi, hayo malalamiko yapo wazi.

Lakini sidhani kuwa hayo malalamiko hayana ukweli, hasa ukichukulia simple statistics ulizoonyesha. Tanzania kuna graduates kutoka makabila karibu yote kwenye kila taaluma ingawa kuna makabila yenye namba kubwa zaidi kuliko wengine. Kwa hiyo inapotokea wahasibu wengi wa TRA wanapokuwa kabila moja na bosi wao, hiyo ina haki ya wengine kulalamika hata kama hilo kabila wana 15% au zaidi ya graduates wa BCom au Adv. Dipl. in Tax Management za IFM.

Tuachane na kupigilia misituni, ukweli unajulikana kuwa, yapo makabila Tanzania yenye tabia za kujipendelea bila hata ya kuona aibu na yamejulikana kufanya hivyo tokea nchi yetu ilipoanzishwa. Tulipasue hili jipu ili maumivu yake yawe ni ya muda tu otherwise litazua mengine.

La muhimu ni kwa hayo makabila kujiangalia wenyewe katika matendo yao na waTanzania kutofungia macho huo upendeleo unapotokea ili uangaliwe ukweli wake.
 
Mwanakijiji,

..halafu watu wako too obssesed na wachaga wa tra na chadema.

..kuna Wachaga wengi tu wanashona viatu,mafundi welding, mechanics, wauza bucha, wachoma mishkaki, madereva wa daladala,....husikii wananchi wakiwalalamikia hao.

.......tena mchaga fundi welding leo, kesho ana workshop yake! fundi makenika leo, kesho garage yake! dereva wa daladala leo, kesho ana FUSO yake! mchoma mishikaki leo, kesho ana bar yake!!!!! Angalieni trends za maisha yao wajameni!!!!
 
Bokassa,
hao wengine wenye kufanya hivyo na wamefanikiwa umejaribu kutafuta ni wa makabila gani?.. why attention yote ipo kwa Wachagga! Mimi nashindwa kabisa kuelewa madai ya pande zote mbili.. Hivi kweli mmejaribu kutazama Utajiri wa makabila mengine?.. kuna kitu gani na Wachagga haswa kiasi kwamba wawe hoja kubwa..
Kama ni madai yaliyosemwa Kubwajinga nategema hoja hiyo itajibiwa kulingana na ukweli badala ya kuvuta kisu. Mimi nachotazama ni je kuna Ukweli?.. kwa hoja ipi ya msingi..then napitisha hukumu yangu hata kama siandiki kitu kuhusiana na mtazamo wangu.
Kikwete leo hii inasemekana anaajiri marafiki zake! Je kuna ukweli? hakuna sheria inayomkataza Kikwete kutoajiri rafiki zake na anaweza kabisa kutoa sababu kama hizi na swala kuliacha wazi...lakini kesho litamtokea puani pamoja na kwamba haikuwa haramu!
 
Mwanakijiji I couldn't stand this nonsense anymore, actually I was away from this site for so long, since it changed the name to jamiiforum. However, I had to come back in order to say something about this post. First of all am not sure if you are serious or you just wanna know pps reactions esp. wachagga. I am responding to this not only because am chagga but also coz I think is pure nonsense to tell people to resign their position and give it over to SORRY people. We chagga people pride ourselves in the education we receive, and we work extremelly hard for that;others can do it but they choose not to, only to sit down and complain that there are always chagga in a higher positions. FYI, we work passionately hard to get to those position and we deserve it, they are not handed out in a lottery or jackpot bingo.
So the only advise I can give to you people, since you now discover that education is WORTHWHILE, is not too late start sending your kids and grandchildren to school and may be also yourself; IS NEVER TOO LATE FOR A HUNTING SPIRIT, get busy.
Any comments, concerns? you know where to find me.
Irritated, Chagga lady
 
Mwanakijiji I couldn't stand this nonsense anymore, actually I was away from this site for so long, since it changed the name to jamiiforum. However, I had to come back in order to say something about this post. First of all am not sure if you are serious or you just wanna know pps reactions esp. wachagga. I am responding to this not only because am pure chagga but also coz I think is pure nonsense to tell people to resign their position and give it over to SORRY people. We chagga people pride ourselves in the education we receive, and we work extremelly hard for that;others can do it but they choose not to, only to sit down and complain that there always chagga in a higher positions. We work hard to get to those position and we deserve it, they are not handed out in a lottery or jackpot bingo.
So the only advise I can give to you people, since you now discover that education is WORTHWHILE, is not too late start sending your kids and grandchildren to school and may be also yourself; IS NEVER TOO LATE FOR ANYTHING.
Any comments, concerns? you know where to find me.

tonga.. sentiments kama za kwako na maneno kama ya kwako ndiyo yenye kuzua hisia ya kujiona bora kuliko wengine:

Hebu angalia:

I am responding to this not only because am pure chagga

What on earth is a "Pure Chagga"?... ina maana hujachangia damu na watu wa makabila mengine? like u have pure blood? it reminds me of somebody who thought that Europe should only accept "pure blood"...

tell people to resign their position and give it over to SORRY people.

Sorry people? who are the "Sorry" people with capital SORRY? the non chaggas?

So the only advise I can give to you people

You people??! who are the "you people"!?

Hivi kweli unafikiri makabila mengine hawaendi shule, hawasomi, na hawadeserve zile nafasi walizosomea?

Nimesema hii mada itatufunua pande zote mbili! Yes it will! Kwa kadiri mtu anavyoisoma ndivyo yeye mwenyewe anajigundua.
 
That's your translation, you can translate it whichever you want, but I was expressing my feelings and sorry you feel that way. You started this topic and am responding to it, if you are looking for the one who started the MESS it has to be you, naongeza makaa kwenye moto uliowasha. About me calling myself a pure chagga what is wrong with it? is my heritage and am proud, you have a right to call yourself whatever you want.
You people refering to whoever complaining about this, and am sure they are non-chagga. And my question to you is, why are you picking on chagga? are they really the only one in those higher positions? If so, do they deserve to be there or not?
Jioni njema.

tonga hilo ndilo tatizo.. umereact from an emotional point of view na wengine wamefanya hivyo. Ila ungetumia muda kufuatilia kinachosemwa bila ya shaka fikra zako zingeguswa tofauti. Lakini kwa vile ulikuwa unaexpress your feelings that is ok, you were not responding rationally.
 
Bokassa,
hao wengine wenye kufanya hivyo na wamefanikiwa umejaribu kutafuta ni wa makabila gani?!

Mkuu, hakuna kabila wala jamii ambayo haijatoa waliofanikiwa!!!! Hata sisi wa kina yakhe, tuna ndugu zetu ma CEO. Kadhalika, huwezi kusema eti hakuna kabila ambalo halina mtu hata mmoja mwenye upendeleo wa watu toka kabila lake!! Upendeleo na kubebana kupo. Wachaga kama sehemu ya jamii ya TZ pia wapo wanaopendelea ndugu, jamaa na watu wanaotoka ktk makabila yao.

Kwa wale wanaosema wachaga wanastahili kuwa na nafasi nyingi ktk uongozi, nafasi mbalimbali za kazi na hata biashara haimaanishi kuwa wanapinga kuwa wachaga hawabebani hata kidogo. Hoja yao ya msingi kwanini wachaga wengi wameshikilia nafasi za kitaalamu, ni kuwa hawa watu, kwanza wamesoma. lakini pia ni watu wenye juhudi sana kwenye maisha. Si watu, ambao juhudi zao zinaakisiwa katika nafasi za uongozi au biashara kubwakubwa tu, bali hata ktk kazi na biashara ndogo ambazo si aghalabu kwa watu wa makabila mengine yanayojiona yameendelea kuzifanya.

Kwa mantiki hiyo, kujibu hoja ya wanaowashambulia wachaga kwa kushika nafasi nyeti za kiuchumi na uongozi, ndio tukasema, mbona hawa jamaa wapo kila sehemu. Hakuna statistics zinazoweza kutoa jibu kamilifu la hoja ya thread hii!! ila ukitaka kujua fanya survey, angalia wachoma mishikaki wangapi uliowatembelea ni wachaga, Mafundi gereji wangapi wachaga. Pitia kazi zote za kijasiriamali. Angalia uwiano wa wachaga na watu wa makabila mengine wanaojishughulisha ktk kazi hizo za maendeleo. Fanya tafiti kama hiyo ktk madaraka ya kiuongozi kisha linganisha matokeo yako. Utaja ona kuwa hawa jamaa wapo kila mahali. Na mafanikio yao ni matunda ya juhudi zao na wazee wao.
 
But will you realy tell me what will be your reaction if somebody attacking your ethinicity or nationality kwa mambo ambayo hayana kichwa wala miguu? Ni mara ngapi hii topic imekuwa hewani na wala sijui intention yake ni nini? hebu niambie what are you expecting from this, or what are your main concerns? unataka kusema wachagga wanapendelewa kupata kazi ambapo hawana qualifications au unataka kusema nini? ni asilimia ngapi ya wachagga wako kwenye hizo positions unazosema? kunamtu ameshaweka data hapa? nasoma wala sioni data kamili,mnazidi kuwachokonoa wachagga na mnategemea wakae kimya na kuchekelea, is not that easy...mkuki mtamu kwa nguruwe.

tonga hilo ndilo tatizo.. umereact from an emotional point of view na wengine wamefanya hivyo. Ila ungetumia muda kufuatilia kinachosemwa bila ya shaka fikra zako zingeguswa tofauti. Lakini kwa vile ulikuwa unaexpress your feelings that is ok, you were not responding rationally.
 
Tonga... you miss the whole point. Nakuomba kabla ya kureact hivyo, take time to think what I am trying to do. Usichukulie kuwa wachagga wanashambuliwa... ukifanya hivyo unakuwa kwenye defensive mechanism/posture na hivyo unashindwa kupata ujumbe wa mada hii.

Pole kwa vile unajisikia umeumizwa lakini wakati mwingine kutafuta tiba ya matatizo yetu hatuna budi kusikia machungu. Usidhani binafsi nina furaha katika hili. Nina ndugu, na mahusiano mengi tu uchaggani. Hivyo, mengi yanasemwa hapa dhidi ya wachagga kimsingi ni upuuzi usio na mantiki yeyote ile, ila unaonesha ni nini kilichomo ndani ya watu. Kama hatupati nafasi ya kuyasikia haya peupe, basi hatutayasikia hata gizani.
 
.......tena mchaga fundi welding leo, kesho ana workshop yake! fundi makenika leo, kesho garage yake! dereva wa daladala leo, kesho ana FUSO yake! mchoma mishikaki leo, kesho ana bar yake!!!!! Angalieni trends za maisha yao wajameni!!!!

Umesahau kuhusu duka, akianzisha kaka mtu anamweka mdogo wake au ndugu tu na baada ya miaka michache huyo mdogo au ndugu nae anaanzisha duka lake! tena sio mbali na duka la mwanzo.
 
I don't think I miss any point,what am saying is what are the main concerns on this topic or what did you get so far? I am reading pps comments and am not seeing anything new..its all the same over and over again... sijui ni ufumbuzi gani ambao utaupata kwenye topic kama hii, yangu macho am patiently waiting.
BTW,Mwanakijiji I don't have any hard feelings about this, chokochoko tumezizoea huwa hazitunyimi usingizi.
 
Mwanakijiji I couldn't stand this nonsense anymore, actually I was away from this site for so long, since it changed the name to jamiiforum. However, I had to come back in order to say something about this post. First of all am not sure if you are serious or you just wanna know pps reactions esp. wachagga. I am responding to this not only because am chagga but also coz I think is pure nonsense to tell people to resign their position and give it over to SORRY people. We chagga people pride ourselves in the education we receive, and we work extremelly hard for that;others can do it but they choose not to, only to sit down and complain that there are always chagga in a higher positions. FYI, we work passionately hard to get to those position and we deserve it, they are not handed out in a lottery or jackpot bingo.
So the only advise I can give to you people, since you now discover that education is WORTHWHILE, is not too late start sending your kids and grandchildren to school and may be also yourself; IS NEVER TOO LATE FOR A HUNTING SPIRIT, get busy.
Any comments, concerns? you know where to find me.
Irritated, Chagga lady

Wana JF,
At least someone with balls managed to say exactly what are the underlining reasons behind presence of upendeleo wa kikabila by Chaggas whenever one take a national stage.

In the 60 to early 70s, it was the Machames feeling more special than other Chaggas and soon Wamarangu took it, with even much vigor nationwide. The Rombos were always the low keyed Chaggas and became the most trusted among Chaggas against ukabila. May be because of their different dialect. But as they had to go through Marangu all the time, this changed a bit.

The Boshos have always been the petty ones. The pick pocketers at the bus rank in Moshi, the banana sellers etc. They are of the lowest class. It is probably for the same reasons that you will rarely find a Bosho with strong tribalistic sentiments. Others tend to follow either the Machame or Marangu wickedness.

In short, the classes in chaggas are historical and endemic. However, they tend to turn into an epidemic whenever they reach national stages. They tend to coalesce behind whoever is at the top, be it Mrema, Mbowe, Kitila etc., and in turn the one at the top distributes favors downwards in the same fashion.

It is an unfortunate behaviour from some of our brothers, but it is important that it be understood and highlighted whenever it errupts.
 
Mwanakijiji,

Sasa ndio umeona wazi kile nilichokuwa nikisema.. na hakika amekuja Mchagga mwenyewe na kudhihirisha kwamba anajiona yeye ni Superior kwa sababu ya ELIMU..tena kachukia povu lamtoka...
Yeye madai yake anavyosema yanatokana na UCHUNGU sijui wale wengine wanasema kwa moyo upi?.. bila shaka WIVU, ni maneno ya Mkoloni, makaburu, Watusi na wengineo ambao wote walisababisha mengi machafu ambayo hawakuyategemea wakati wakijivuna hivyo..
hakuna hata mtu mmoja anaweza kunipa takwimu za kuonyesha Wachagga wamesoma sana..Hakuna isipokuwa navyofahamu mimi Wachagga ni watafutaji na utamaduni wao unawalazimu wengi kuchukua majukumu wakiwa bado wadogo.. Labda niseme kwamba ukitazama ratio ya unemployment Tanzania basi Wachagga ndio watakuwa na kina cha chini zaidi..Hivyo kama society nzima ina population ndogo ya watu wasiokuwa na ajira bila shaka wana hali nzuri kuliko wengine kiuchumi.... Hizi ndizo sifa ambazo Watu mnashindwa kuzizungumzia.. lakini haiwezekani kabisa swala la ajira TRA lihusiane na Wachagga wakati kuna Wahasibu wengi upande wa pili kuliko hili kabila moja tena kwa kiwango kikubwa sana..
Trust me, katika kila taaluma hata kama tuseme kuwa Wachagga wanashika asilimia 20 ya wasomi wote nchini lakini haiwezi kuwa sababu ya wao kukamata asilimia 75 ya viongozi wa juu ktk mashirika na serikali wakati wapo wasomi aslimia 80 (makabila yote kwa jumla) wenye uwezo kama wao..

Kilichotangulia hapo juu ni exactly nilichokuwa nikisema na ndio maana nimeombamada hii ibakie kama ilivyo kwa sababu sio tu wale wanaolalamika wana makosa ila kuna Wachagga pia wanaamini kuwa wao wamesoma sana na kujishughulisha sana!..
Kushughulika sana haina maana kabisa ya kupewa madaraka ya juu!.. hakuna mtu anayezungumzia kufanikiwa kimaisha isipokuwa kama kweli kuna Ukabila. Ningeomba huyu ndugu yangu Tonga anieleze ni juhudi gani alizofanya mchagga apate uhalali wa kuajiriwa TRA kuliko watu wa makabila mengine..Kujishughulisha kupi huko kama ni elimu kuna list ya wahasibu (NAD na CPA) ktk board ya Taifa!... nambie Wachagga ni wangapi ama asilimia ngapi..
 
Aliyepost hii mada kuwa kuna wachagga wengi katika idara nyeti ndio atoe data kamili kudhihirisha hilo na sio mimi niliyepost to speak on my part. Kama ni suala la wachagga kijishughulisha katika biashara na kutafuta elimu etc. huo ni uwazi ambao huwezi kuupinga wala sina haja ya kurudia wengi wameshasema ila haimaanishi kwamba hakuna wengine wanaojishughulisha ila nadhani hii topic imewalenga wachaga na si watu wengine, and I was here to speak for myself and my people.
Kama machungu haya ni kwa wachagga walioajiriwa TRA si mwende mkafuatilie kulikoni? vipi hao watoto wa vigogo walio BOT mmefikia wapi so far?
Cheers.
Mwanakijiji,

Sasa ndio umeona wazi kile nilichokuwa nikisema.. na hakika amekuja Mchagga mwenyewe na kudhihirisha kwamba anajiona yeye ni Superior kwa sababu ya ELIMU..tena kachukia povu lamtoka...
Yeye madai yake anavyosema yanatokana na UCHUNGU sijui wale wengine wanasema kwa moyo upi?.. bila shaka WIVU, ni maneno ya Mkoloni, makaburu, Watusi na wengineo ambao wote walisababisha mengi machafu ambayo hawakuyategemea wakati wakijivuna hivyo..
hakuna hata mtu mmoja anaweza kunipa takwimu za kuonyesha Wachagga wamesoma sana..Hakuna isipokuwa navyofahamu mimi Wachagga ni watafutaji na utamaduni wao unawalazimu wengi kuchukua majukumu wakiwa bado wadogo.. Labda niseme kwamba ukitazama ratio ya unemployment Tanzania basi Wachagga ndio watakuwa na kina cha chini zaidi..Hivyo kama society nzima ina population ndogo ya watu wasiokuwa na ajira bila shaka wana hali nzuri kuliko wengine kiuchumi.... Hizi ndizo sifa ambazo Watu mnashindwa kuzizungumzia.. lakini haiwezekani kabisa swala la ajira TRA lihusiane na Wachagga wakati kuna Wahasibu wengi upande wa pili kuliko hili kabila moja tena kwa kiwango kikubwa sana..
Trust me, katika kila taaluma hata kama tuseme kuwa Wachagga wanashika asilimia 20 ya wasomi wote nchini lakini haiwezi kuwa sababu ya wao kukamata asilimia 75 ya viongozi wa juu ktk mashirika na serikali wakati wapo wasomi aslimia 80 (makabila yote kwa jumla) wenye uwezo kama wao..

Kilichotangulia hapo juu ni exactly nilichokuwa nikisema na ndio maana nimeombamada hii ibakie kama ilivyo kwa sababu sio tu wale wanaolalamika wana makosa ila kuna Wachagga pia wanaamini kuwa wao wamesoma sana na kujishughulisha sana!..
Kushughulika sana haina maana kabisa ya kupewa madaraka ya juu!.. hakuna mtu anayezungumzia kufanikiwa kimaisha isipokuwa kama kweli kuna Ukabila. Ningeomba huyu ndugu yangu Tonga anieleze ni juhudi gani alizofanya mchagga apate uhalali wa kuajiriwa TRA kuliko watu wa makabila mengine..Kujishughulisha kupi huko kama ni elimu kuna list ya wahasibu (NAD na CPA) ktk board ya Taifa!... nambie Wachagga ni wangapi ama asilimia ngapi..
 
Wana JF,
At least someone with balls managed to say exactly what are the underlining reasons behind presence of upendeleo wa kikabila by Chaggas whenever one take a national stage.

In the 60 to early 70s, it was the Machames feeling more special than other Chaggas and soon Wamarangu took it, with even much vigor nationwide. The Rombos were always the low keyed Chaggas and became the most trusted among Chaggas against ukabila. May be because of their different dialect. But as they had to go through Marangu all the time, this changed a bit.

The Boshos have always been the petty ones. The pick pocketers at the bus rank in Moshi, the banana sellers etc. They are of the lowest class. It is probably for the same reasons that you will rarely find a Bosho with strong tribalistic sentiments. Others tend to follow either the Machame or Marangu wickedness.

In short, the classes in chaggas are historical and endemic. However, they tend to turn into an epidemic whenever they reach national stages. They tend to coalesce behind whoever is at the top, be it Mrema, Mbowe, Kitila etc., and in turn the one at the top distributes favors downwards in the same fashion.

It is an unfortunate behaviour from some of our brothers, but it is important that it be understood and highlighted whenever it errupts.
We kubwa jINGA NI LOWASSA?
 
Wana JF,
At least someone with balls managed to say exactly what are the underlining reasons behind presence of upendeleo wa kikabila by Chaggas whenever one take a national stage.

In the 60 to early 70s, it was the Machames feeling more special than other Chaggas and soon Wamarangu took it, with even much vigor nationwide. The Rombos were always the low keyed Chaggas and became the most trusted among Chaggas against ukabila. May be because of their different Chagga dialect. But as they had to go through Marangu all the time, this changed a bit.

The Boshos have always been the petty ones. The pick pocketers at the bus rank in Moshi, the banana sellers etc. They are of the lowest class. It is probably for the same reasons that you will rarely find a Bosho with strong tribalistic sentiments. Others tend to follow either the Machame or Marangu wickedness.

In short, is that the classes in chaggas are historical and endemic. However, they tend to turn into an epidemic whenever they reach national stages. They tend to coalesce behind whoever is at the top, be it Mrema or Mbowe, and in turn the one at the top distributes favors downwards in the same fashion.

It is an unfortunate behaviour from some of our brothers, but it is important that it be understood and highlighted whenever it errupts.

Mwanakijiji, Kubwajinga na wengineo...!

Kweli tokea nimejiunga na jambo forums, leo ni kati ya siku ambayo nimeona post ya ajabu na ya kushangaza mno. Kwanza nimejaribu kujiuliza ni nini madhumuni ya mwanakijiji kuweka post hii tena akiweka kichwa cha habari kinachosema "Viongozi wa Idara ambao ni wachaga waachie ngazi" Je ni nini hasa unataka kukitafuta hapa?

Je vyeo siku hizi vimekua vikigawiwa ka ukabila? kweli kama tumeshafikia mahali pa kuhoji hali hii, nahakika hata wachaga wakiondoka kwenye hivyo vyeo wakapewa watu wengine, kwa mfano WAKARA au WAFIPA nauhakika kuna siku utahoji pia hao WAKARA au WAFIPA nao waachie ngazi, tutaendelea kuhoji hali hio mpaka tutakuta taifa zima hamna anayeweza kutawala kwa sababu ya ukabila.

Kinachonishangaza zaidi, ni kwamba hoja yako imekuja wakati ambao Bw. Chacha wangwe akiwa ametimuliwa uongozi, hii inaashiria kwamba umetumwa uje kuwasilisha propaganda za Wangwe hapa.

Aidha, kama unaona kuna uzito kwenye hoja yako, uliombwa uipeleke kwenye gazeti halafu uichapishe huko ili kila mtu aione, lakini kwa vile unajua wazi kwamba hoja yako ni ya uchochezi wewe mwenyewe umebaini kwamba haiwezi kupokelewa wala kuchapishwa kwenye gazeti, tena hata ikichapishwa inaweza kufanya gazeti hilo kufungiwa kwa kuandika habari za uchochezi.

Kweli mimi sikufahamu kwa undani, lakini nauhakika hii post yako imekupotezea umaarufu na kukushusha sana hadhi yako kwani unaonekana ni mtu unaeyeendeshwa kwa propaganda za uchochezi, Aidha inaonekana wewe ni mtu wa kupenda mafanaikio kwa kutumia njia za mkato kama vile kulalamika na majungu ili uonekane unaonewa ili upendelewe.

Pamoja na hayo yote, hoja yako inaonekana hujaifanyia utafiti, kwani kama unalalamika hivyo, ungekuja na orodha au na data za kudhibitisha kauli yako ya kusema mambo ambayo yamefanywa na hao viongozi wachaga ambayo yanafanya wasiweze kuongoza hizo idara za serikali ukilinganisha na hayo makabila mengine, pia, ungetueleza kwa kina ni kabila gani lingine unalolipendekeza zaidi ya hao wachaga.

Mwisho, naomba nikushauri, hizi hoja za uchochezi ukiziendekeza kuna siku zitatufikisha pabaya, manake nauhakika tukimaliza kuhoji ukabila tuaanza kuhoji udini na jinsia.

Pendekezo langu ni kuomba thread kama hii itolewe mapema kabla hatujaanza kuibua hisia za chuki kati yetu watazania. Pia nakushauri uwe unajishauri mara mbili kabla ya kuweka post hapa jambo forums.
 
Mwanakijiji,

Sasa ndio umeona wazi kile nilichokuwa nikisema.. na hakika amekuja Mchagga mwenyewe na kudhihirisha kwamba anajiona yeye ni Superior kwa sababu ya ELIMU..tena kachukia povu lamtoka...
Yeye madai yake anavyosema yanatokana na UCHUNGU sijui wale wengine wanasema kwa moyo upi?.. bila shaka WIVU, ni maneno ya Mkoloni, makaburu, Watusi na wengineo ambao wote walisababisha mengi machafu ambayo hawakuyategemea wakati wakijivuna hivyo..
hakuna hata mtu mmoja anaweza kunipa takwimu za kuonyesha Wachagga wamesoma sana..Hakuna isipokuwa navyofahamu mimi Wachagga ni watafutaji na utamaduni wao unawalazimu wengi kuchukua majukumu wakiwa bado wadogo.. Labda niseme kwamba ukitazama ratio ya unemployment Tanzania basi Wachagga ndio watakuwa na kina cha chini zaidi..Hivyo kama society nzima ina population ndogo ya watu wasiokuwa na ajira bila shaka wana hali nzuri kuliko wengine kiuchumi.... Hizi ndizo sifa ambazo Watu mnashindwa kuzizungumzia.. lakini haiwezekani kabisa swala la ajira TRA lihusiane na Wachagga wakati kuna Wahasibu wengi upande wa pili kuliko hili kabila moja tena kwa kiwango kikubwa sana..
Trust me, katika kila taaluma hata kama tuseme kuwa Wachagga wanashika asilimia 20 ya wasomi wote nchini lakini haiwezi kuwa sababu ya wao kukamata asilimia 75 ya viongozi wa juu ktk mashirika na serikali wakati wapo wasomi aslimia 80 (makabila yote kwa jumla) wenye uwezo kama wao..

Kilichotangulia hapo juu ni exactly nilichokuwa nikisema na ndio maana nimeombamada hii ibakie kama ilivyo kwa sababu sio tu wale wanaolalamika wana makosa ila kuna Wachagga pia wanaamini kuwa wao wamesoma sana na kujishughulisha sana!..
Kushughulika sana haina maana kabisa ya kupewa madaraka ya juu!.. hakuna mtu anayezungumzia kufanikiwa kimaisha isipokuwa kama kweli kuna Ukabila. Ningeomba huyu ndugu yangu Tonga anieleze ni juhudi gani alizofanya mchagga apate uhalali wa kuajiriwa TRA kuliko watu wa makabila mengine..Kujishughulisha kupi huko kama ni elimu kuna list ya wahasibu (NAD na CPA) ktk board ya Taifa!... nambie Wachagga ni wangapi ama asilimia ngapi..

Mkandara kweli wewe MKABILA!
Sasa kwenye mada hii..OPTION NI MBILI!
Wewe umekubaliana na UKABILA WOTE NA BIAS AGAINST CHAGGA!

Kwa MANTIKI HIYO BASI...Umekubaliana na POINTI KWAMBA WACHAGGA VIONGOZI WA IDARA WAACHIE NGAZI KWASABABU NI WAKABILA!

Na MIMI NATOA UJUMBE KWA WACHAGGA WOTE WALIKO MIKOANI...CHUKUENI KILICHO CHENU NA MRUDI NYUMBANI!

Kila MTU ARUDI KWAO ASIPOSIKIA KUNA UKABILA NA WAKAENDELEE NA YA KWAO NA WACHAGGA WAENDELEE NA UKABILA WAO!

NCHI IPIGWE PANGA!

HATUTAKI UKABILA NA KAMA MNALAZIMISHIA KILA MTU ACHUKUWE TAIM ZAKE!
 
No! Lowassa ni kubwajinga.

Lowassa KUBWA JINGA HIYO NI DANGANYA TOTO!
Unamweka hapo kwenye AVATAR YAKO KWA PSYCHOLOGICAL PURPOSES!
WEWE NI STUPID LOWASSA!
Massai SIYO?
Sema kabila lako pumbavu wewe na usijifiche kwenye kivuli cha kusema LOWASSA KUBWA JINGA NA WAKATI UNAMNADI KWA KILA HALI NA HATA KAULI ZAKO NI KILOWASSA LOWASSA!
Nakuuliza WE MASAI?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom