Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Tonga,
Mkuu mimi nilisema toka mwanzo kuwa siwezi kuchangia hoja za mada hii kuhusiana na hilo la Wachagga kuachia ngazi! Na nilimfahamu vizuri Mwanakijiji alipoanzisha mada hii baada ya kumuuliza nini madhumuni yake..Aliponipa picha nikamsoma kisawasawa!

Swala hili linahusiana sana na lile la Wangwe na kama umesoma vizuri maandishi yangu nimekuwa nikitoa maelezo yangu kuhusiana na jinsi navyoliona sakata la Wangwe na msimamo wangu umebakia palepale kutoshambuliana watu kwa kuvuana nguo hali tatizo kama lipo mnaliacha likizidi kupamba mafuta.
Wewe kwa mfano ulipokuja na majibu yako ambayo kusema kweli una kila haki ya kujitetea lakini naliona kosa unapotetea kwa niaba ya Wachagga wote..Kisha hasira na uchungu unaoupata ndio ule walioupata baadhi ya wana Chadema yaani wameshindwa kufikiria nje ya box! fikra zao zimefungwa kutokana na mapenzi ya chama akama wewe ulivyofungwa katika mapenzi ya kabila lako..
Kitu kilichonifanya mimi nichangie mada hii ni pale watu walipoanza kutumia ELIMU kama ndio kisingizio cha Wachagga kuwa mbele - nikageukia kwa Chadema kama majibu hayo yanaweza kujenga msingi bora ktk fikra za watu!..Sikuona zaidi ya kugawanyika zaidi.
Na hakika nilitegemea baadhi ya viongozi wa Chadema wanaweza kutumia vigezo kama hivi kuelezea sababu za madai ya Wangwe kuwa ni wivu kwa Wachagga bahati haikutokea.. Nimesoma sana maelezo ya baadhi viongozi wa Chadema na kwa hakika kila nachosoma ni kumzungumzia Wangwe - Mkurya ambaye ana matatizo na Viongozi wote wa Chadema hata wale wasiokuwa Wachagga!.. Hili bado sio jibu hata kidogo kwa wananchi ambao hawana mpango na Wangwe isipokuwa hoja yake!!.. Je, kweli Ukabila Upo?..hata kama ni kichaa ni muhimu tuelewe kwamba wananchi watanunua hoja kama hizi kirahisi sana, cha msingi ni kuelewa kuna maelezo gani kufunika madai ya Wangwe!
Muda mrefu viongozi wa Chadema wametumia majibu sawa na yako, wametumia hasira wakimtazama Wangwe kumbe wazee wa mabaza wanaoweza kutoa hukumu ni wananchi sio Wangwe! majibu yao badala ya kujenga yanazidisha maswali zaidi ktk hoja ya Ukabila...
Ndio maana nasema kwamba ni muhimu tuitazame hoja iliyopo Ubaoni badala ya wahusika.. mathlan wamesema kuna Ukabila ktk Ofisi za TRA, well nia na madhumuni ya hoja kama hiyo ni kuulizia utaratibu gani umetumika ktk kutoa ajira sehemu hiyo ya ULAJI!... Na swala la Wangwe kwa Chadema dhahiri ni ktk kuona kaputwa tonge la wali mkononi!.. Kwa nini kaputwa sababu nyingi zimeelezwa, kisha mkuu Wangwe akatoa madai ambayo yanatisha. na ukitazama kwa haraka unaweza kuamini kama ilivyoTRA lakini kabla hujaamini ni bora tupate maelezo na taratibu za ajira hizo. Kwa bahati mbaya hakuna mwenye ukweli ktk sakata la TRA lakini mimi binafsi nimeridhika na majibu ya Bi. Asha Abdala kwamba Chadema wameteua wabunge wale kwa kupitia kamati ya Wanawake ambayo inaondoa kosa hili toka Utawala - human resorce ya chama hicho. Sasa huko kwa kamati ya wanawake sijui ni utaratibu gani ulitumika nakama lilikuwa kosa kuwapendelea wanawake! hilo sijalisikia toka upande wowote.
Pamoja na yote hayo jibu la Bibie limeondoa dosari na madai ya Chacha kwamba uteuzi wa wabunge hao ulifanywa na viongozi wa Chadema. Pili kati yetu hatufahamu kulikuwepo na majina mangapi ya wanawake ktk uteuzi ule kiasi kwamba tunaweza kudai kuwepo kwa wengine wenye uwezo. Kwa hiyo pamoja na kwamba mada hii ni ya uchochezi lakini ina mantiki sana kama utaweza kutenganisha fikra zako nje ya sanduku la Kabila...
Watazame watu wote wa makabila kama sawa na hakuna kabila pumbavu wala wazembe ambao hawastahili ajira.. Generalizing ndio cheche za wenye kuleta hoja na majibu yenye mtazamo huo huo ndio yametufikisha hapa tulipo..
 
Yamesemwa mengi sana juu ya hawa Ndugu zetu Wachaga. Naamini hakuna namna kuwabadili. Hivyo ndivyo walivyo (na baadhi yao wamesema humu). Ni juu ya MWAJIRI wetu MKUU (Serikali) kulitazama hili na kulifanyia kazi. Naamini unaweza kuibadili TABIA ya mtu lakini sio HULKA.
 
Wildcard, kwa vile vitu vimesemwa juu ya Wachagga haina maana ni vya kweli na haviwezi kusemwa kwa watu wengine.
 
Wana JF;

Wengine humu wapo kazini na hizi mada wanazianzisha kwa maslahi binafsi ikiwemo kunufaika kiuchumi.

Kuna thread ya ukabila TRA, BOT nk iliyoanzishwa muda mrefu uliopita. Ipitieni muone mwanzilishi wa thread hii alikuwa na msimamo gani.

Ukiwauliza wakongwe na wazee wa nyeti katika forum hii watakuambia alivyonufaika huyu jamaa toka kwa hao aliokuwa akiwatetea.

Njia za kupata ni nyingi lakini hizi za uchochezi hazifai mzee hata ukizipamba.

NN.
 
wewe Mushi mzima? kuuza mtori kuna qualification gani? kupiga KIWI viatu au shoeshine unahitaji digrii gani?ufundi gereji n.k.
kazi za wachagga hadi kuuza mishikaki na kuwa wahudumu wa Bar, kama wamesoma wasingefanya kazi hizo.


Mkuu,
Naona umeonyesha dharau kweli.Wenzako wachaga wanafanya kazi hizo hizo na wananunua magari lakini kwa sababu ya uvivu na chuki watu wanashindwa kujibidiisha leo wanalia lia.

Naona mwenzetu anadharau uhudumu wa Bar as if wanaofanya hizo kazi si binadamu wenzetu.mimi naunga mkono kama kuna amepewa kazi kwa kutumia kipimo cha ukabila,yaani kama uchaga,basi kama yupo kwenye idara ya umma aachie ngazi na si mchaga tu hata makabila mengine.


Nashangaa pia kuna kipindi unakuta Tangazo la nafasi za kazi,halafu unakutana na sharti la mwombaji awe ametoka moshi,Arusha,Mwanza nk.Huoni pia tofauti na malengo ya mwajiri,pia jamii inaweza kulipokea hilo kikabila?
 

Mbona huoni unbalance ya maendeleo kati ya mikoa ya kusini na kaskazini?
Wachagga wameiba wakaweka maendeleo kwao mkoa wa Kilimanjaro angalia miundo mbinu ya Mtwara,Lindi,Ruvuma,Rukwa,Tabora,Kigoma je hao wachagga ambao wapo kwenye system za uongozi wameitendea nini mikoa hiyo?Zaidi ya kupora mabilioni na kuinemeesha mikoa ya kaskazini kwenu huko.
Ili nchi hii iendelee inabidi wachagga wakae kando kwenye system kwani kila idara ukienda wameenea.
 

kwi kwi kwi!
 
kwi kwi kwi!

ha ha ha hapo imekaaje?
hii sio fair, Moshi barabara za rami zinajengwa hadi vijijini wakati kuna wilaya hata umeme hazina wanatumia generator hii sio fair kabisa
 
ha ha ha hapo imekaaje?
hii sio fair, Moshi barabara za rami zinajengwa hadi vijijini wakati kuna wilaya hata umeme hazina wanatumia generator hii sio fair kabisa

mkuu,

Unajua barabara za lami huko Moshi zimejengwa tangu enzi za mkoloni kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa bidhaa au maligafi za buni.Pia ukiangalia pia suala la utalii limekua kigezo kikuu cha uimarishaji wa miundombinu katika hiyo mikoa ya kaskazini kwa ajili ya milima Kilimanjaro na Meru,pia mbuga za wanyama nk.

Though i cant deny the truth that,Mramba akiwa Wizara ya Miundombinu alipitiliza katika kujenga bajeti kubwa katika jimbo lake,kitu kilichoonekana unfair lakini finally bunge likapitisha ile bajeti.Je unaweza pia kuniambia kama Bunge lote la jamhuri ya muungano Wa Tanzania lilikua limejaa Wachaga?


Hicho ni kitu ambacho hata mimi nilikiona ni unfair kwani kuna barabara za majimbo mengine ambazo zilitakiwa kupewa first priority kutokana na maslahi ambayo yangepatikana ukilinganisha na hiyo barabara ya Rombo.

Pia kwa kuwa yeye alikua Mbunge alikua na comflict of the interest na kuzigonganisha na wizara.

SOLUTION KATIKA HILI; It is the time now tuwe na sheria ya kutenganisha Ubunge na Uwaziri
 

Mhafidhina,
1.You may be right kuwa the point is to discuss tribalism with a view of finding a solution - lakini the way mada ilivyoanza na michango inayotolewa inatisha... mada imeanza na conclusion ya kuwaondoa hao wachagga kama vile mjadala umeshafanywa na kufikia muafaka.Ingekuwa murua kuleta hoja za msingi zisizolenga kabila lolote kwanza..maana nadhani binadamu alivyoumbwa ana hulka ya kuwapenda au kujiegemeza na kwao zaidi.Hii ni kwa makabila na race zote. Kufuatana na mazungumzo yanavyoendelea toka mada ianze..naona tendencies za kibaguzi,chuki na ukabila zikiwa inherent in almost all contributors ...Tanzania ya leo ina matatizo mengi mno na badala ya kuyaangalia na kutafuta solution, we are trying to be imaginative in looking for novel and exotic problems to address kama vile tumekosa cha kufanya!THE POINT IS
a)TUKUBALI KUWA UKABILA UPO KWA MAKABILA YOTE,
b)UKABILA UKIZIDI UNAKERA NO MATTER WHAT TRIBE,
c) No tribe is "tribalism-free"

2.Kuhusu kuachia ngazi - inaonekana kuna usongo kwa baadhi ya wachangiaji uliolekezwa kwa watu specific walioko katika vyeo fulani, binafsi nahusisha mjadala huu na ule wa CEO wa TANROAD maana kuna sentiments zinazofanana.Kama Im correct basi nadhani wenye kutaka hao maCEO wa kabila fulani waondolewe watumie njia zinazostahili kuhoji na kupata ufumbuzi badala ya ku drag everybody into such a hateful discussion - wengine tunapenda kujadili issues and not so much about people.

3. Indeed this thread is sarcasstic and provocative - im afraid tukiendekeza mijadala ya kuchochea chuki tutafika pabaya-tumeanza na makabila mengine dhidi ya wachagga leo, kesho tutageukia wabara na wazanzibari halafu tutakuja wanawake dhidi ya wanaume, kisha vijana dhidi ya wazee, wakristo na waislam n.k sijui tutaishia wapi.
These are my views.
 


Mkuu wangu,

Great point! However,I still believe that,this thread is here for positive reasons,at least you can realize now almost every body is tribalist at his own degree level.you can realize this through aina ya michango inayotolewa hapa, ni wachache sana wamekua neutral kwa utashi wao bila kuwa na external interest with internal force
 

Tuombe mungu asije akatupatia viongozi wa aina hii
 
Wildcard, kwa vile vitu vimesemwa juu ya Wachagga haina maana ni vya kweli na haviwezi kusemwa kwa watu wengine.

Na pia haina maana kuwa ni vya uongo kwa vile tu vimenenwa na Wangwe. Wake up MMJJ!! You should be MMJJ first but instead and very unfortunate, you are turning into Mbowe's bulldog.
 
Kila mahali kuna "God's chosen people", Waisraeli ni taifa la Mungu ndo maana they get away with what they do to the palestinians. in Tz, it is the chagas my dears, dont hate the player...hate the game
 
Kila mahali kuna "God's chosen people", Waisraeli ni taifa la Mungu ndo maana they get away with what they do to the palestinians. in Tz, it is the chagas my dears, dont hate the player...hate the game


Mangi Nka,
Hayo uliyoyasema sijui yameandikwa kwenye msaafu upi? Ujinga huu ndio unaoleta ukabila kwa upande mmoja wa hao 'special people' na 'chuki' kwa wanaobaguliwa. Let's stop this nonsense and fight ukabila as it comes, No Excuses Please.
 
Mangi Nka,
Hayo uliyoyasema sijui yameandikwa kwenye msaafu upi? Ujinga huu ndio unaoleta ukabila kwa upande mmoja wa hao 'special people' na 'chuki' kwa wanaobaguliwa. Let's stop this nonsense and fight ukabila as it comes, No Excuses Please.


Good people,
Can we bring this topic to a closure? Mwisho tutaaanza kuchukiana na kubaguana wenyewe hapahapa JF.
 
Good people,
Can we bring this topic to a closure? Mwisho tutaaanza kuchukiana na kubaguana wenyewe hapahapa JF.

Mh! Hapana. Sio sisi WaTz. Tena hili lingetafutiwa njia likajadiliwa KITAIFA kuliko humu JF pekee. Ingekuwa hivyo, tungechukiana sana mwaka 1995 kabla na baada ya UCHAGUZI MKUU. WaTz tuna kawaida ya KUPINGANA bila KUPIGANA.
 
Nimekazana to ignore this topic uzalendo umenishinda.Its so childish.This is utter tribalism.How can one suggest such a thing.Hivi vitu ndio vinaleta mgawanyiko kwenye taifa and nothing less.Nyerere alifanikiwa ku unite this nation and we should at all costs maintain unite.Lets stand together coz we are stronger united.
Mwanakjj ur an egoistic and nutty being.
 
 
Nikikwambia kabila langu wala hutaamini kwa ninayoandika. Just take it that I'm untianything bad for my country.



JMushi,

Kubwajinga aweza kuwa ni mchanga na wala usishangae! Ila pengine ni mchaga ambaye hana chuki na makabila mengine! Hapana, mimi natania tuu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…