Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Alafu Lissu akawa anajiendea tuuKama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Gadafi si uliona kilichomkutanambie athari alizowahi kupata Mugabe mpaka anaingia kaburini, Gadafi mpaka anaingia kaburini, Kim Jong Un anapata athari zipi kwa mfano,
Lakini pia vikwazo alivyowahi kuwekewa China, Irani n k viliwahi kua na athari zipi huko kama sio ni porojo tupu za kujifanya una nguvu kumbe nyanya tu 🐒
acha kuruka ruka kama maharagwe jikoni gentleman,Gadafi si uliona kilichomkuta
Alikamatiwa mtaroni amejificha
Familia ya Mugabe huko kwao nao bye bye uliona naye mtoto wake walimpiga bomba kutoka South africa
Kila kitu huwa na mwisho wake
Ova
Tunasubiri kwa hamu kubwa jambo hili. Hata hivyo tangu October 29 hajaonekana viwanja vya juu kutokana na maneno yake machafu kwa wakubwa.Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Aiseee 🥲Unawez kusema ni simple kwa mtu kama rahisi kuzuiliwa kuingia nchi furani ila hapana ni kweli kabisa.
Maisha ni safari ndefu sana wakuu,
Hapo mwanzo.nilikua na uhuru wa kufanya kila nitakacho kipindi nakaa gongo la mboto.
Ila baada ya kupapata mumama akasema njoo kijana mimi ntakulea.
Kumbe sikujua najiingiza kwenye kifungo cha nafsi ambacho kitakuja ghalimu maisha yangu yote its oky.
Kwa sasa kutoka nje ya hapa nilipo.imekua changamoto maana natamani ila nashindwa naishia kuwa mtandaoni tu.
Hvo nishapata katazo hata la kwenda kariakoo. 😥😥😥😥😥😥 Piga vita mashangazi kwa uwezo wako wote wana haribu ndoto za vijana
Ahsante
Nipo bagamoyo
Vishu Mtata
Huwezi kuelewa gentleman,acha kuruka ruka kama maharagwe jikoni gentleman,
eleza athari za vikwazo nyanya mathalani vya Marekani dhidi ya viongozi fulani wa Africa, Asia au Ulaya na sio athari za uvamizi wa nchi za kigeni dhidi ya taifa fulani Africa gentleman 🐒
Tutaokoa matumizi ya fedha za umma dhidi ya safari zake na za wapambe wakeKama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Yaah utakuwa kama ubaya ubwelaSi ndo unyama utamwagika au?
mimi ni mwanadiplomasia gentleman, siwezi kusubiri kuelewa kitu ninachoishi nacho daily by professionalHuwezi kuelewa gentleman,
Utakuja kuelewa badaye sana
Ova
Uko tu shallow gentlemanmimi ni mwanadiplomasia gentleman, siwezi kusubiri kuelewa kitu ninachoishi nacho daily by professional
hayo ni maoni yako huru na yasiyo na athari zozote kwenye taaluma yangu,Uko tu shallow gentleman
Kwangu...
Mzee wangu mwnyewe ni mwanadiplomasia rtd,ukijiita
Mwanadiplomasia wala sistuki gentleman nmekulia familia hyoo pole sana 😄
Nn kisichokijuwa gentleman
Hapa una Chat na mtu baharia mwenye exposure ya kutoshaaaa.....shauri zako
Ova
Sasa mm taarab wap na wapi gentleman 😄hayo ni maoni yako huru na yasiyo na athari zozote kwenye taaluma yangu,
umewahi kuuskiza ule wimbo wa taarabu wa mzee yusuf wenye maneno,
na nukuu
" sina presha kwenye taaluma yangu, nakula maisha silali njaa wenzangu"
mwisho wa kunukuu ,
umewahi kweli kuskia hiyo gentleman?
Moyo unachokaAiseee 🥲
SanaaMoyo unachoka