SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjuiPicha zao hutengenezwa wapi ikiwa hawana muunganiko wa macho ya MWILI Kutoka kwenye NAFSI?
Una Utafiti kidogo usaidie?
Si lazima itokee picha kamili kutokana na alivyoekezwa ama kujua.. Kwakuwa hata wasio vipofu huota wanyama wa ajabuKwamba akisikia kuhusu tembo, picha yake katika ndoto inakuwaje?
Anatambuaje RANGI bila kuwa na macho?Unajua nini darcity , kwa mtu asiewaelewa ni haki kuwaza wanaishije.
Tofauti na watu wenye macho, ni kwamba kila kitu huwachukua mda kukamilisha. Wanafua nguo, wanadeki,wanapika balaa. Humenya viazi mwenyewe,atawasha jiko au gesi,atapika na atakupakulia.
-Humimina maji kwenye glass na hamwagi
-Huweza kutambua rangi ya nguo anayoenda kuvaa(anakuwa ameshakalili,ila ukimpa nguo yake atakwambia ina rangi gani)
🤣🤣🤣Kwani lazma amuone tembo... we shida yako Nini...unataka aote au aote unachokitaka.. maswali kama haya si mazuri kwa sababu ni ya kibaguzi kwa wenye ulemavu..ni sawa na kuuliza kama albino anakunya mavi meupeKwamba akisikia kuhusu tembo, picha yake katika ndoto inakuwaje?
🤣Umeona sasaNadhan tungepata vipofu wachache watusaidie hili.
Kwani viziwi nao husikia njaa?
Mkuu, kwa hawa watu, nikwambie ni viumbe wa ajabu sana. Niliwahi kuwa na demu wa hivo. Nilichojifunza tu ni kwamba macho kazi yake tu ni kupeleka picha kwenye ubongo. Hivyo mfano ukimwambia hapa kuna ajali na watu wamekufa,maumivu unayopata hivyo hivyo ndo na yeye anayoyapata. Unaamini na wao hulia?Hapo kwenye kuvuta picha kutokana na wanachogusa au kusikia ndipo penye utata ningependa kupata majibu,
Taswira Yao inatengenezwaje?
Sasa we ukifumba macho Si utatengeza picha ya ghorofa uliwahi liona before?🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjui
Mkuu, ukimwita kipofu ndo mtakosana. Ila ukitumia neno mlemavu wa macho, mtaenda sawa🤣🤣🤣Kwani lazma amuone tembo... we shida yako Nini...unataka aote au aote unachokitaka.. maswali kama haya si mazuri kwa sababu ni ya kibaguzi kwa wenye ulemavu..ni sawa na kuuliza kama albino anakunya mavi meupe
Nini mkuu🤣Umeona sasa
Nadhan tungepata vipofu wachache watusaidie hili.
Kwani viziwi nao husikia njaa?
Kwani kusikia njaa ni kiswahili sahihi? Kama sahihi itategemea na unachokiongelea. Njaa na masikio vina uhusiano?🤣Umeona sasa
Huo sasa utani.🤣🤣🤣Kwani lazma amuone tembo... we shida yako Nini...unataka aote au aote unachokitaka.. maswali kama haya si mazuri kwa sababu ni ya kibaguzi kwa wenye ulemavu..ni sawa na kuuliza kama albino anakunya mavi meupe
🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?Sasa we ukifumba macho Si utatengeza picha ya ghorofa uliwahi liona before?
Sa kipofu Hana macho, hiyo taswira atatengeza vp?
Ndio lakini huwezi uliza maswali ya kitoto kama haya...upofu unaishia kwenye macho tu jamaniMkuu, ukimwita kipofu ndo mtakosana. Ila ukitumia neno mlemavu wa macho, mtaenda sawa
Sahihi..!Swali lako lisipuuzwe. Lijibiwe kitaalamu na ki ushahidi na sio kihisia na kwa dhana
Kiziwi kuskia njaa🤣Nini mkuu
Ndo hapo sasaKwani kusikia njaa ni kiswahili sahihi? Kama sahihi itategemea na unachokiongelea. Njaa na masikio vina uhusiano?
Ndo tupate sasa ushahidi wa vipofu wenyewe Kwa kutumia ushahidi na Utafiti wa kisanyansi kuhusu NDOTO za VIPOFU!!🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?
My point ni kwamba kipofu ni macho tu mambo mengine mwilini ni kama wewe tuHuo sasa utani.
Kipofu ni kipofu, kiziwi ni kiziwi, albino ni albino.
Mavi ni mavi, Kwa lugha ya SHERIA kuondoa mkanganyiko wa tafsiri.