Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Usiyaite ya kitoto,kwa sababu kuuliza kwake ni kwamba hana maarifa. Wengi wetu hujiuliza vitu kama hivo. Ni mfano wa mtu anaeamini kwamba akiiba,akachomoa laini kwenye simu na kutupa,atakuwa amemaliza.
Kikubwa tu ni kwamba mpaka anauliza,ujue amekaa nalo mda sana. Watu wengi akimuona kipofu kwanza kabisa anamuona kama omba omba. Je,ni kwamba hawapo wenye uwezo mkubwa kuwazidi wenye macho?
Basi sawa nimekuelewa
 
Kuna kitu una miss, ndoto ni kazi ya ubongo yes ila ndoto inatokana na tariff ambazo zimekuwa stored kwenye ubongo tiali it means sisi tunaoona tunataarifa nyingi za Visual through toka tunazaliwa tunaona so Bongo zetu zinatengeneza Visuals ambazo ni harisi mfano unaweza muota mamayako pia hutengeneza Visuals ambazo si harisi kulingana tiali ubongo una pre-data mfano ubongo unaweza tengeneza image ya shetani lenye mapembe ndotoni lakini huyo shenanigans ujawai kumuona kiuharisia ubongo hapa unatumia data zilizopo za image za vibe uliowai kuona unaunganisha na imagination zako ndio unatengeneza image ya shenanigans ndotoni.

Sasa kipofu yeye hana hizi data za image kwenye ubongo wake sio rahisi kumuota shetani kwasababu ubongo wake hauna stored image za viumbe wala imagination za kipofu mwenyewe hivyo ngumu kuota shetani labda iwe kimiujiza zaidi.
🥺Bac anaota ye kipofu.. pia
 
Kuna NDOTO aina mbili,

1. Zitokanazo na shughuli za Kila siku katika mwili.

2. Zitokanazo na mtu wa ndani Kutoka ndani ya MWILI, while akiunganishwa na silver code/ Kamba ya Fedha.( Mhubiri 12:6).

Aina ya pili amewahi kukusimulia na anaona nini Hasa, na akikusimulia Kwa jinsi asivyo na macho kuelezea vinavyoonekana, ulielewaje?
Ndani ya Mwili wako Kuna mtu Tena..🥺🤣
 
Unaweza imagine Ghost, Monster nk kwasababu ubongo wako tiali una BASE ya kutosha ya data za image, mpaka hapo ulipo ubongo wako una Billions of stored image, una Billions of information kuhusu Ghost, Monsters Mfano unataarifa nyingi kuwa Shetani ana mapembe, meno, mweusi nk sasa inachofanya ubongo inaunganisha Image zilizopo kwenye store+Infomation zilizokuwa stored kuhusu shetani+Imagination yako ndipo inaleta end product kuota huyo shetani au kiumbe wa ajabu.

Kwa kipufu hana yoote haya yaani hana BASE hawezi ku imagine kiumbe wa ajabu, Mfano uki imagine shetani kwanza Body Structure ya shetani utaiweka ya mtu sio kuku 😀😀 then ndio atakua na features nyengine za shetani sasa cha ku-note hio Structure ya shape ya mtu kwa kipofu hana kwenye ubongo wake kabisa....Something Complex.
Okay umenielezea nimeelewa
 
Ngoja wale wanasayansi uchwara waje kutema blah blah

Sayansi imekuwa kama DINI YA MAJUHA, wanabwata tuuu, mara ooh brain, sijui milango ya fahamu.

Shule za kata zimetuletea matatizo sana nchini.

Hapa tunamuhitaji GURU wa kutueleza kinagaubaga ni kwa namna gani vipofu wanapata taswira ya ndoto, na sio hawa MAKASUKU WA SHULE ZA KATA.
 
Upofu sio macho tu, macho ni Organs ambazo zinfandel kazi chini ya mfumo wa fahamu ambapo mratibu wake mkuu ni ubongo, kuwa na hitilafu kwa organ yoyote kwenye mfumo wow wa mwili matokeo yake hayawi kwenye ile organi tu bali mpaka seems nyengine za mfumo....Simply macho kutokuona inaathiri kwenye STORED DATA za mfumo wa fahamu kipofu hana data hata moja kuwa ng'ombe anaonelana vipi na si kuwa November anaonekana vipo bali HANA DATA KUWA KUONA KUPOJE (VISION) Mfano kipofu angepewa seconds moja tu ya kuona akamuona binadamu na ng'ombe tiali angekuwa na Base ya ku-imagine mbuzi, ngamia, simba nk kwa kupewa tariff za maneno tu ila hata hio base ya UONO(VISION) hana.
So conclusion yako ni kwamba hawaoti
 
Ngoja wale wanasayansi uchwara waje kutema blah blah

Sayansi imekuwa kama DINI YA MAJUHA, wanabwata tuuu, mara ooh brain, sijui milango ya fahamu.

Shule za kata zimetuletea matatizo sana nchini.

Hapa tunamuhitaji GURU wa kutueleza kinagaubaga ni kwa namna gani vipofu wanapata taswira ya ndoto, na sio hawa MAKASUKU WA SHULE ZA KATA.
🤣🤣🤣 Dogo kama wewe elimu haijakukomboa kifikra umeitumia kumaliza tu shule uende chuo ni wewe....
 
Ndani ya Mwili wako Kuna mtu Tena..🥺🤣
Yupo,

Anaitwa mtu wa ndani. Ndiye ROHO.

Ikiwa una ndugu aliyewahi fanyiwa upasuaji nusu kaputi atakupa experience.

Anaweza kuona Kila kitu madaktari wakifanyacho while mwili haujitambui na anaweza kuona Hadi vyumba vingine nini kinaendelea, hata nyumbani alikotoka bila kizuizi chochote.

Tafiti, yapo mengi usoyajua.
 
Kwanza uelewe kitu kimoja. Hao watu walio wengi na walioweza kuelimika,hawana shida na kuwa na macho. Kwa sababu,walishakubaliana na hiho hali,na hawawezi kutamani kitu ambacho hakitakaa kiwezekane katika maisha yao.
Sasa basi,
Wao watakwambia kwamba macho mliyo nayo nyie,ni ya kuona tu vitu vya ovyo hayana umhimu kwenu.
Nakupa mfano wa wazinzi. Mtu akitembea na mwanamke/mwanaume,hawezi kumuota siku hiyo. Ila akimtamani,huweza kumuota. Na wakati mwingine,ataota tu anatongozwa/za, na kugegedana,lakini sura ya aliyemgegeda kamwe haijui.
Sasa,hapo ndo utajua ndoto si picha ya kitu ulichokiona. Bali ni ubongo kurudia matukio ya mda flani ukiwa bize na kuwaza.
Unaweza ukaota demu/mwanaume uliyemuona. Uwezo ulio nao wa kuchagua mwenza, hata wao wanao. Unajua inakuwaje? Wana watu wa karibu. Atakuuliza ulivyomuona,alivyokua amevaa(kama ni kachumbali au kama yuko smart). Kimuonekano. Na yeye atavuta hiyo picha ndo itakayomkaa akilini.
Sasa majibu yako:
1. Ndio, kipofu huota ndoto
2. Aina ya ndoto zao,ni sawa na za kwako. Hapa kwanza,wewe elewa kwamba tofauti yako na yeye ni macho tu.
3. Mfumo wao wa ndoto, ni sawa na mfumo wetu tunaoona.

Si kweli kwamba ndoto ni vitu ambavyo hujawahi viona. Ni mchanganyiko wa maisha tunayoishi. Jiulize mfano gaidi anaota ndoto gani. Kahaba anaota ndoto gani.
Si kuna wakati unaweza jikuta una uoga bila sababu! Hasa kama kuna kitu kimetokea lakini bado hujapewa taarifa? Lakini nafsi itakusumbua na utakosa amani! Na wao ni hivyo hivyo.
Kwanza kuna kitu unaweza kushangaa. Mchanganyie milioni moja ya noti tofauti tofauti. Af muulize ni kiasi gani. Amepewa uwezo wa kujua noti kwa kuigusa tuu.
Kwa waliosona, wana apps ya kuhesabia pesa.
Kwa kifupi, maisha yao ni sawa na yetu. Tofauti tu ni watu ambao wapo makini sana kwa kila kitu
Huu ni UJINGA WA SHULE YA KATA.

Haujajibu swali bado.
 
Kwa kawaida mtu huwa ANAOTA mambo yanayomzunguka kwa kusikia kuona nk nk

Kipofu ana maisha kamili hivyo anaota yale mambo yanayomtokea kila siku kwenye maisha yake pamoja na yale ambayo anayatengeneza mawazoni mwake hata kama hayaja wahi kumtokea

Ataota anakula, kalewa, kazinguana na boss wake, ana sex, amesafiri nk nk

Kipofu haoni kama sisi lakini ana namna yake ya kutengeneza visual kwa vitu physical, ndio maana ukimpa kijiko na kalamu atavijiu
Akimshika mtu atajua ni mtoto au mtu mzima au ni mwanamke au mume nk

Wataalamu wana kwenda mbali zaidi na kusema vipofu wanaona ndotoni kwa sababu sehemu ya ubongo unayotengeneza visionary ipo isipokua haina mlango(macho)
So anapo lala na kuota sehemu hiyo hutengeneza vision ingawaje inaweza isiwe kama ya mtu anayeona lakini inatengeneza kama vile anayeona anaweza kutengeneza vision ya kitu ambacho hajawahi kukiona kabisa
 
Back
Top Bottom