Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

My point ni kwamba kipofu ni macho tu mambo mengine mwilini ni kama wewe tu
Upofu sio macho tu, macho ni Organs ambazo zinfandel kazi chini ya mfumo wa fahamu ambapo mratibu wake mkuu ni ubongo, kuwa na hitilafu kwa organ yoyote kwenye mfumo wow wa mwili matokeo yake hayawi kwenye ile organi tu bali mpaka seems nyengine za mfumo....Simply macho kutokuona inaathiri kwenye STORED DATA za mfumo wa fahamu kipofu hana data hata moja kuwa ng'ombe anaonelana vipi na si kuwa November anaonekana vipo bali HANA DATA KUWA KUONA KUPOJE (VISION) Mfano kipofu angepewa seconds moja tu ya kuona akamuona binadamu na ng'ombe tiali angekuwa na Base ya ku-imagine mbuzi, ngamia, simba nk kwa kupewa tariff za maneno tu ila hata hio base ya UONO(VISION) hana.
 
Unaweza imagine Ghost, Monster nk kwasababu ubongo wako tiali una BASE ya kutosha ya data za image, mpaka hapo ulipo ubongo wako una Billions of stored image, una Billions of information kuhusu Ghost, Monsters Mfano unataarifa nyingi kuwa Shetani ana mapembe, meno, mweusi nk sasa inachofanya ubongo inaunganisha Image zilizopo kwenye store+Infomation zilizokuwa stored kuhusu shetani+Imagination yako ndipo inaleta end product kuota huyo shetani au kiumbe wa ajabu.

Kwa kipufu hana yoote haya yaani hana BASE hawezi ku imagine kiumbe wa ajabu, Mfano uki imagine shetani kwanza Body Structure ya shetani utaiweka ya mtu sio kuku 😀😀 then ndio atakua na features nyengine za shetani sasa cha ku-note hio Structure ya shape ya mtu kwa kipofu hana kwenye ubongo wake kabisa....Something Complex.
Ufafanuzi mzuri.

Maana nilivyoona ni wenye macho wanaeleza mambo ya wasio na macho!!

Utafiti kuwahusisha vipofu unahitajika😀
 
Hahahahaahahahah hapana mkuu. We kwa hawa watu,elewa tu kwamba walichokosa ni macho tu. Vitu vingine wako sawa na sisi. Mkikaa sehemu tulivu,wewe labda unaona jua linazama,unasikia sauti za ndege, yeye kasolo tu kuiona,ila anajua mida furani jua likizama inakua hivi na hivi,hiyo picha anaivuta na yeye. Kwa hiyo,kiroho hawanantofauti na sisi.
Sasa anavutaje picha ya kitu hajawahi kukiona?

RANGI nyeundu au njano, anavutaje picha?😀

Thread hii ingekuwa na wachangiaji vipofu ingefana sana!!!
 
Hii si kweli mkuu. Japo wewe unaona mengi,wao kitu wanachokifanya,huuliza mazingira ya maisha yalivyo.
Kwa hiyo,kusikia mtoto analia,tayari wanajua.
Kusikia watu wanazozana au wanagombana, kawaida sana.
Akipita,anasemwa,hivyo anajua yeye ni mtu gani.
Akipanda gari,hizo stori anasikia.
Kama ilivyo kwako,ndoto zako haziwezi kufanana na za mtu mwingine,hivyo hata wao ni hivo hivo. Masikini nantajiri,maisha tofauti,ndoto tofauti. Muimba kwaya mhuni na mlevi,ndoto zao tofauti.
Hapa jiulize,mwanamke mchamungu akikuhadithia ndoto za mme wake anaejifanya mchungaji huku anaikologea zege, ndo utajua kila mtu ana yake kichwani. Kwa hiyo,ndoto zao usifikili ni za kundi lao. Hapana.
Ulichoandika hakina connection na mtiririko wa hoja hapa, Mkuu hemu ping based na hoja umeendika ponts za musings ila out of context.
 
Hahahahaahahahah hapana mkuu. We kwa hawa watu,elewa tu kwamba walichokosa ni macho tu. Vitu vingine wako sawa na sisi. Mkikaa sehemu tulivu,wewe labda unaona jua linazama,unasikia sauti za ndege, yeye kasolo tu kuiona,ila anajua mida furani jua likizama inakua hivi na hivi,hiyo picha anaivuta na yeye. Kwa hiyo,kiroho hawanantofauti na sisi.
Boss jitahidi uwe ndani ya Context ya mada na hoja
 
Hapo kwenye kuota kutokana na alichosikia kipofu ndo tupate experience inakuwaje!
For me hapa naona hakuna image anayoia total dark huku akiota mfano anatembea huku rafiki yake akimwambia tuwai kendal nk ila kwenye Visual haoni kitu kama akiwa hajalala.
 
For me hapa naona hakuna image anayoia total dark huku akiota mfano anatembea huku rafiki yake akimwambia tuwai kendal nk ila kwenye Visual haoni kitu kama akiwa hajalala.
Sawa hakuna image, bt labda Kwa kipofu ndoto zao ni Kwa mfumo wa sauti pekee, who knows?

Blind man knows!!
 
Sawa hakuna image, bt labda Kwa kipofu ndoto zao ni Kwa mfumo wa sauti pekee, who knows?

Blind man knows!!
Kipofu hawezi kukwambia kitu chochote kinachohusu Visual kikawa na uharisia, Idea yako ni kumuuliza kipofu harisi ukweli kipofua atakwambia kweli anaota tu ila kwenye Visuals hatokua na majibu ya kueleweka kwasababu hata VISON BASE hana yaani sio kuana STIMULUS mbalimbali bali hio BASE YA UONO hana yaani ukimuuliza je unavuza vita picha kuona kunafananaje ushamchanganya sawa na umuulize mtoto mchanga unaujua mtaa wa kongo na sikukuu sio kuujua tu huo mtaa wa kongo haujui bali BASE TU ya kujua huyu kauliza swali na Lugha hana.
 
Unaamini uchawi upo?

Ikiwa unaamini uchawi upo, vipofu wachawi huenda na kuruka wakiwa vipofu kama walivyo katika mwili?
 
Unaamini uchawi upo?

Ikiwa unaamini uchawi upo, vipofu wachawi huenda na kuruka wakiwa vipofu kama walivyo katika mwili?
Boss hii naona ipo out of Context, kendal kuruka wapi na wakiruka ndio inakuwa jibu kuwa wanaweza kuota Visuals.
 
Hata asipouona utupu wa mwanamke ,je anaweza kusimamisha?
Vipofu hawana tamaa ya macho.

NAFSI zao Zina usafi kuliko sisi, hopping wako karibu zaidi na Mungu kutuzidi😀
 
Boss hii naona ipo out of Context, kendal kuruka wapi na wakiruka ndio inakuwa jibu kuwa wanaweza kuota Visuals.
Ni Kweli ni out of context,

Inatulazimu Kutoka nje ya mada majibu sahihi yanapokosekana ndani ya mada kutafuta truth!!
 
Hata asipouona utupu wa mwanamke ,je anaweza kusimamisha?
Kusimamisha kunahusisha vichocheo vingi sio kuona tu, mwanaume rivali anauwezo wa kusimamisha mwanamke animalistic kwa mbele tu (kubambia/baishia), anasimamisha kwa kukimbatiwa tu, anasimamisha kwa kushika mwili wa mwanamke those women features maziwa, K, Lips, soft body, mapaja also mtu anasimamisha kwa kupigana denda tu.

Kusimamisha hakuhitaji kuona tu, pia huyohuyo kipofu anaweza vuta hisia akifanya romance na mwanamke akasimamisha na kupiga nyeto.
Moja kati ya swali gumu kabisa!!

MADA inatanuka😀🙏
 
Back
Top Bottom