Hii si kweli mkuu. Japo wewe unaona mengi,wao kitu wanachokifanya,huuliza mazingira ya maisha yalivyo.
Kwa hiyo,kusikia mtoto analia,tayari wanajua.
Kusikia watu wanazozana au wanagombana, kawaida sana.
Akipita,anasemwa,hivyo anajua yeye ni mtu gani.
Akipanda gari,hizo stori anasikia.
Kama ilivyo kwako,ndoto zako haziwezi kufanana na za mtu mwingine,hivyo hata wao ni hivo hivo. Masikini nantajiri,maisha tofauti,ndoto tofauti. Muimba kwaya mhuni na mlevi,ndoto zao tofauti.
Hapa jiulize,mwanamke mchamungu akikuhadithia ndoto za mme wake anaejifanya mchungaji huku anaikologea zege, ndo utajua kila mtu ana yake kichwani. Kwa hiyo,ndoto zao usifikili ni za kundi lao. Hapana.