Kwa kawaida mtu huwa ANAOTA mambo yanayomzunguka kwa kusikia kuona nk nk
Kipofu ana maisha kamili hivyo anaota yale mambo yanayomtokea kila siku kwenye maisha yake pamoja na yale ambayo anayatengeneza mawazoni mwake hata kama hayaja wahi kumtokea
Ataota anakula, kalewa, kazinguana na boss wake, ana sex, amesafiri nk nk
Kipofu haoni kama sisi lakini ana namna yake ya kutengeneza vitu physical, ndio maana ukimpa kijiko na kalamu atavijiu
Akimshika mtu atajua ni mtoto au mtu mzima au ni mwanamke au mume nk
Wataalamu wana kwenda mbali zaidi na kusema vipofu wanaona ndotoni kwa sababu sehemu ya ubongo unayotengeneza visionary ipo isipokua haina mlango(macho)
So anapo lala na kuota sehemu hiyo hutengeneza vision ingawaje inaweza isiwe kama ya mtu anayeona lakini inatengeneza kama vile anayeona anaweza kutengeneza vision ya kitu ambacho hajawahi kukiona kabisa