Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Ndoto ni ujumbe Toka kwa Mungu au shetani so lazima waote
Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20 mtu wakawaida kashaota zaidi ya mara 100 hakuna ujumbe wowote
 
Kwa kawaida mtu huwa ANAOTA mambo yanayomzunguka kwa kusikia kuona nk nk

Kipofu ana maisha kamili hivyo anaota yale mambo yanayomtokea kila siku kwenye maisha yake pamoja na yale ambayo anayatengeneza mawazoni mwake hata kama hayaja wahi kumtokea

Ataota anakula, kalewa, kazinguana na boss wake, ana sex, amesafiri nk nk

Kipofu haoni kama sisi lakini ana namna yake ya kutengeneza vitu physical, ndio maana ukimpa kijiko na kalamu atavijiu
Akimshika mtu atajua ni mtoto au mtu mzima au ni mwanamke au mume nk

Wataalamu wana kwenda mbali zaidi na kusema vipofu wanaona ndotoni kwa sababu sehemu ya ubongo unayotengeneza visionary ipo isipokua haina mlango(macho)
So anapo lala na kuota sehemu hiyo hutengeneza vision ingawaje inaweza isiwe kama ya mtu anayeona lakini inatengeneza kama vile anayeona anaweza kutengeneza vision ya kitu ambacho hajawahi kukiona kabisa
Hapo unaposema watafiti wanasema vipofu wanaona ndotoni,

Panahitaji ufafanuzi na ushahidi zaidi.

Ufafanuzi mzuri sana 🙏
 
Anaota vzuri tuu na nafkr wakat huo anakuwa anaona kila kitu.. Hii ni sawa na mtu awe amekatwa miguu yote, si anaweza kuota anakimbi au anapanda kwenye mti?

Tatz akimka ndio atashindwa kutafsir yale aliyoyaona.

Mfano, mtu alipata sight problems n kuwa kipofu akiwa tayar mtu mzima huyu atakuwa anaota na kujua kila kitu akiamka.
 
Hapo unaposema watafiti wanasema vipofu wanaona ndotoni,

Panahitaji ufafanuzi na ushahidi zaidi.

Ufafanuzi mzuri sana [emoji120]

Kwanza unakubaliana na hoja kwamba wanaota mambo yanayojiri kwenye maisha yao kama kula sex nk nk?
 
Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20
Unaandika kwa kujiamini kweli kweli, wakati kiuhalisia unatema makapi mabichi mabichi kama nguruwe wa kisasa.

Kitu kama hukielewi kwanini ujifanye mjuzi badala ya kukaa kitako na kupokea elimu kutoka kwa maguru?

Wajinga huwa wanajiamini sana, sijui kwanini?

Hata mavi wanakula wanasema ni matamu.
 
Kwanza unakubaliana na hoja kwamba wanaota mambo yanayojiri kwenye maisha yao kama kula sex nk nk?
Nakubali HOJA hiyo,

Ila wanaotaje, wanaona au hawaoni, wanasikiza tu Hilo nahitaji ufafanuzi wa kina na ushahidi.
 
Anaota vzuri tuu na nafkr wakat huo anakuwa anaona kila kitu.. Hii ni sawa na mtu awe amekatwa miguu yote, si anaweza kuota anakimbi au anapanda kwenye mti?
Kwako kukosa miguu ni mfanano harisi wa kukosa macho kwenye ishu inayohusu mfumo wa fahamu kweli.

Here we discuss ability of brain to manipulate, generate visual image...sisi binadamu hatuna uwezo wa kupaa lakini tushaota sana tuna mbawa na tunapaa why because ishu sio kuwa/kutokua na mbaya ishu ubongo una uwezo wa ku-ganarate hio image ya mbawa so kukosa might sio big deal hapa once ubongo una data za kuona watu wazima wakitembea raising tu kuota na wewe unatembea.
Tatz akimka ndio atashindwa kutafsir yale aliyoyaona.

Mfano, mtu alipata sight problems n kuwa kipofu akiwa tayar mtu mzima huyu atakuwa anaota na kujua kila kitu akiamka.
Hapa tunazingumzia mtu kipofu kuzaliwa mpaka kufa hajawai kuona kabisa and total blind for 100% sio sijui akivaa miwani anauwezo wa kuona kwambali, sijui nini He or she total black pitch black.
 
🤣🤣🤣 Dogo kama wewe elimu haijakukomboa kifikra umeitumia kumaliza tu shule uende chuo ni wewe....
Nyie MAKASUKU WA SHULE ZA KATA huwa mnanishangaza sana. Mkikariri jambo kwenye NOTES ZENU basi linakuwa kama ANDIKO LA DINI.

Na bahati mbaya huko kwenye MASHULE YA KATA wanawalisha mayai viza basi mnameza kweli kweli na kuyajambia juu kwa juu.

Ni bora nimsikilize mwendawazimu kuliko KASUKU WA SHULE YA KATA.
 
Ndoto ni mkusanyiko wa matukio yote ambayo ubongo wako umeya digest,

Kama una milango 5 ya fahamu lazima uwote ndoto, hata kama mlango mmoja hufanyi kazi ipasavyo
Ndoto ni taswira zilizohifadhiwa katika kumbukumbu, na sio harufu wala mguso.

Taswira inatengenezwa na ubongo kwa ushirikoano wa macho.

Kama mtu hawezi kuona, anawezaje kujenga taswira katika ubongo ili kuleta ndoto?
 
Unaandika kwa kujiamini kweli kweli, wakati kiuhalisia unatema makapi mabichi mabichi kama nguruwe wa kisasa.

Kitu kama hukielewi kwanini ujifanye mjuzi badala ya kukaa kitako na kupokea elimu kutoka kwa maguru?

Wajinga huwa wanajiamini sana, sijui kwanini?

Hata mavi wanakula wanasema ni matamu.
Your out of context, hakuna hoja hapa matusi matusi tu.
 
Your out of context, hakuna hoja hapa matusi matusi tu.
Umetepeta?

Ndoto sio illusions, ni kitu halisi.

Kuna mtu akiota jambo, linatokea vile vile kama alivyoota.

Usibwate sana kama nguruwe wa kisasa, jifunze.
 
Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20 mtu wakawaida kashaota zaidi ya mara 100 hakuna ujumbe wowote
Labda hana elimu juu ya tasfiri ya ndoto.
Ndoto yeyeto yenye ujumbe ni lazima utaikumbuka au itajirudia rudia
 
Ndoto ni taswira zilizohifadhiwa katika kumbukumbu, na sio harufu wala mguso.

Taswira inatengenezwa na ubongo kwa ushirikoano wa macho.

Kama mtu hawezi kuona, anawezaje kujenga taswira katika ubongo ili kuleta ndoto?
Nikuulize Boss, ushawahi kuota unafanya mapenzi nini una experience pale siunapata raha ya tendo japonica si kwa asilia zote, sasa je kusikia raga ile ni taswira inayotengenezwa na macho, Mwanamke ni Visual ila ile ran sio Visual haiwi generated na macho.

Technically, macho ndio organ inayo input data nyingi kwenye mfumo wa fahamu kuliko organs nyengine ndio maana sisi tunaoona ndoto zetu kwa 90% zina base kwenye Visuals zaidi na forms nyengine zinakuwa kwauchache sana kwenye 10% ambazo ndio kama hizo kusikia raga ukiota unassailable mtu, kuota sauti(Audio) nk....Sasa kipofu yeye ataona kwenye hizi 10% tu kwasababu anakosa data nyingi ambazo zinakuwa inform of Visuals image yeye ataona Audio, raha ndoto nyevu nk ambazo sio taswura ya macho.
 
Nakubali HOJA hiyo,

Ila wanaotaje, wanaona au hawaoni, wanasikiza tu Hilo nahitaji ufafanuzi wa kina na ushahidi.

Hapa na assume tunaongelea kipofu wa kuzaliwa

Mkuu wanaota namna wanavyoishi
Kipofu anaweza kukwambia nimeota mwanangu kachaguliwa chuo kikuu, nimeota mke wangu kapata mimba baada ya kuhangaika sana, nimeota nasex nikachafua shuka nk nk...... hapa maana yake kuota sio lazima UONE

Kuhusu KUONA ndotoni
Vipofu wana namna yao ya kutengeneza visuals kwanye vitu halisi na ndio maana ukimpa kofia akiishika atakwambia ni kofia nk nk
Visuals hizo ndio wanazotumia kuwaza,kuota, kutengeneza vitu nk nk
 
Umetepeta?

Ndoto sio illusions, ni kitu halisi.

Kuna mtu akiota jambo, linatokea vile vile kama alivyoota.

Usibwate sana kama nguruwe wa kisasa, jifunze.
Vizuri kujifunza fact na sio hisia hisia, today umezaliwa ushaota zaidi ya mara 100 je yote yamekutokea. Je umeota ukifanya mapenzi na wanganui je umefanya nao mapenzi, umeota unaruka sehemu parent je uliwahi ruka....HISIA HISIA KWA WAJINGA HATUPO HAPA KUJADIRI HISIA.

Ukiendelea na matusi matusi yako usi quote hoja zangu katukanane na wenzio msiostaarbika.
 
Hapa na assume tunaongelea kipofu wa kuzaliwa

Mkuu wanaota namna wanavyoishi
Kipofu anaweza kukwambia nimeota mwanangu kachaguliwa chuo kikuu, nimeota mke wangu kapata mimba baada ya kuhangaika sana, nimeota nasex nikachafua shuka nk nk...... hapa maana yake kuota sio lazima UONE

Kuhusu KUONA ndotoni
Vipofu wana namna yao ya kutengeneza visuals kwanye vitu halisi na ndio maana ukimpa kofia akiishika atakwambia ni kofia nk nk
Visuals hizo ndio wanazotumia kuwaza,kuota, kutengeneza vitu nk nk
Nikisema katika lango la ndoto, vipofu na wanaona wako sawa sawa,

Nitakuwa nimepatia?
 
Umetepeta?

Ndoto sio illusions, ni kitu halisi.

Kuna mtu akiota jambo, linatokea vile vile kama alivyoota.

Usibwate sana kama nguruwe wa kisasa, jifunze.

Mkuu niliwahi kuota namgegeda Madonna..... kumbe ilikua HALISI kabisa[emoji1787][emoji1787]

Kuna mtu aliwahi kuota kakutana na Mungu kalewa [emoji23]
 
Back
Top Bottom