Je, vipofu huota ndoto?

Basi sawa nimekuelewa
 
🥺Bac anaota ye kipofu.. pia
 
Ndani ya Mwili wako Kuna mtu Tena..🥺🤣
 
Okay umenielezea nimeelewa
 
Ngoja wale wanasayansi uchwara waje kutema blah blah

Sayansi imekuwa kama DINI YA MAJUHA, wanabwata tuuu, mara ooh brain, sijui milango ya fahamu.

Shule za kata zimetuletea matatizo sana nchini.

Hapa tunamuhitaji GURU wa kutueleza kinagaubaga ni kwa namna gani vipofu wanapata taswira ya ndoto, na sio hawa MAKASUKU WA SHULE ZA KATA.
 
So conclusion yako ni kwamba hawaoti
 
🤣🤣🤣 Dogo kama wewe elimu haijakukomboa kifikra umeitumia kumaliza tu shule uende chuo ni wewe....
 
Ndani ya Mwili wako Kuna mtu Tena..🥺🤣
Yupo,

Anaitwa mtu wa ndani. Ndiye ROHO.

Ikiwa una ndugu aliyewahi fanyiwa upasuaji nusu kaputi atakupa experience.

Anaweza kuona Kila kitu madaktari wakifanyacho while mwili haujitambui na anaweza kuona Hadi vyumba vingine nini kinaendelea, hata nyumbani alikotoka bila kizuizi chochote.

Tafiti, yapo mengi usoyajua.
 
Huu ni UJINGA WA SHULE YA KATA.

Haujajibu swali bado.
 
Kwa kawaida mtu huwa ANAOTA mambo yanayomzunguka kwa kusikia kuona nk nk

Kipofu ana maisha kamili hivyo anaota yale mambo yanayomtokea kila siku kwenye maisha yake pamoja na yale ambayo anayatengeneza mawazoni mwake hata kama hayaja wahi kumtokea

Ataota anakula, kalewa, kazinguana na boss wake, ana sex, amesafiri nk nk

Kipofu haoni kama sisi lakini ana namna yake ya kutengeneza visual kwa vitu physical, ndio maana ukimpa kijiko na kalamu atavijiu
Akimshika mtu atajua ni mtoto au mtu mzima au ni mwanamke au mume nk

Wataalamu wana kwenda mbali zaidi na kusema vipofu wanaona ndotoni kwa sababu sehemu ya ubongo unayotengeneza visionary ipo isipokua haina mlango(macho)
So anapo lala na kuota sehemu hiyo hutengeneza vision ingawaje inaweza isiwe kama ya mtu anayeona lakini inatengeneza kama vile anayeona anaweza kutengeneza vision ya kitu ambacho hajawahi kukiona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…