Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Kwanini mkuu?
kwa sababu kipofu baye kazaliwa hivyo maana yake huyo hajawahi kuona chochote tokea anazaliwa.

Hiyo maana yake ni kwamba hana kumbukumbu ya picha yoyote kwemye akili yake kwa sababu hajawahi kuona kitu hicho.

Ni kama ambavyo wewe huwezi kuwa na picha ama kumbukumbu yoyote kuhusu kitu ambacho haujawahi kukiona.
Kama mtu anaweza kuishi bila kuona atashindwa kuota bila kuona?
Sula sio kuishi bali suala ni kuona kaka.

Leo nikikaa nikikuambia simba anatisha moja kwa moja kichwani kwako itakuja picha ya simba kwa sababu ulishawahi kumuona na ile picha ikahifadhiwa kwenye akili yake.
kuna watu wanaona halafu wanaota wamenyofolewa macho ndotoni hawaoni.....na ndoto inaendelea
emoji23.png
Hao walishaona tayari so zile picha pabdo zipo kwenye kumbukumbu.

Kumbuka akili ya binadamu inafanya kazi ya kuhifadhi mambo uliyoyaona nyuma so kama utapofuka baadae bado zile kumbukumbu zitakusaidia kuona picha kwenye ndoto.

Je MTU AMBAYE HAKUONA TOKA KUZALIWA ANAOTAJE NDOTO ZA PICHA WAKATI HAJAWAHI KUONA ?
 
Mtu si Mtu, au binadamu kwa jina lingine.

Binadamu kibailojia zaidi.

Mtu kisiasa/dunia zaidi.
Mtu ni mtu?

Unamaanisha mtu ni mwili wa mtu?

Ikiwa mtu ni mwili wa mtu, je mtu ni nani?

Ukijua tafsiri ya mtu, utakuwa kwenye position nzuri zaidi kujua ikiwa kipofu anaota ndoto au la, na ikiwa anaota ndoto ni katika mfumo upi!!
 
kwa sababu kipofu baye kazaliwa hivyo maana yake huyo hajawahi kuona chochote tokea anazaliwa.

Hiyo maana yake ni kwamba hana kumbukumbu ya picha yoyote kwemye akili yake kwa sababu hajawahi kuona kitu hicho.

Ni kama ambavyo wewe huwezi kuwa na picha ama kumbukumbu yoyote kuhusu kitu ambacho haujawahi kukiona.

Sula sio kuishi bali suala ni kuona kaka.

Leo nikikaa nikikuambia simba anatisha moja kwa moja kichwani kwako itakuja picha ya simba kwa sababu ulishawahi kumuona na ile picha ikahifadhiwa kwenye akili yake.

Hao walishaona tayari so zile picha pabdo zipo kwenye kumbukumbu.

Kumbuka akili ya binadamu inafanya kazi ya kuhifadhi mambo uliyoyaona nyuma so kama utapofuka baadae bado zile kumbukumbu zitakusaidia kuona picha kwenye ndoto.

Je MTU AMBAYE HAKUONA TOKA KUZALIWA ANAOTAJE NDOTO ZA PICHA WAKATI HAJAWAHI KUONA ?
Ndugu, Mimi nimeenda kigoma majuzi tu hapa nikaliona Hadi ziwa Tanganyika na mchanga wake ulivyo na nikajua hapa ni kigoma kupitia NDOTO na sijawahi kufika kigoma tangu kuzaliwa.

Hilo unalielezeaje?
 
Mtu ni mtu?

Unamaanisha mtu ni mwili wa mtu?

Ikiwa mtu ni mwili wa mtu, je mtu ni nani?

Ukijua tafsiri ya mtu, utakuwa kwenye position nzuri zaidi kujua ikiwa kipofu anaota ndoto au la, na ikiwa anaota ndoto ni katika mfumo upi!!
Mzee vyema ukaweka hio maana ya mtu tuone hio connection yake na mada
 
Kuota ishu ndogo
Mimi Kuna kipofu huwa nachati naye kwa sms!!*kipofu kabisa na anaandika hizo sms mwenyewe
 
Kuota si nissue ndogo,

Kuchat kwenye sms ni mafunzo tu, ni sawa na kuoga bila msaada wa mtu mwingine.

Ungemuuliza huyo kipofu, angetusaidia tujue kama Huwa anaota, na ni Kwa mfumo upi.
 
Incase ukikosa majibu hizi ni baadhi ya nyuzi tulizojadili Hapo nyuma
 
Salaam, shalom!!

Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine,

Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto?

TAFSIRI YA MTU.

MTU- Ni ROHO, ANAYO NAFSI NA ANAISHI NDANI YA MWILI.

Hivyo mtu kipofu, ikiwa Yeye ni ROHO, tutakuwa kwenye nafasi nzuri kujua ikiwa anaota ndoto au la. Na ikiwa anaota, ni Kwa mfumo upi?

Cc:Sea Beast

Karibuni🙏
Wanaota kwa mfumo wa audio
 
Ndugu, Mimi nimeenda kigoma majuzi tu hapa nikaliona Hadi ziwa Tanganyika na mchanga wake ulivyo na nikajua hapa ni kigoma kupitia NDOTO na sijawahi kufika kigoma tangu kuzaliwa.

Hilo unalielezeaje?
Mkuu ziwa unalijua lilivyo eidha kwa kuliona kwnye TV au live,hivyo ni rahisi kuota hivyo kwa sababu kumbukumbu ipo kichwani.

au kabla ya kuota hiyo ndoto ulikuwa hujui chochote kuhusu ziwa lilivyo na wala haukuwahi kuliona tokea uzaliwe ?
 
Pia hata kama hakuwai kuliona bado ubongo unaweza ku generate image ya ziwa kutokea kwenye data zilizopo ubongoni itakusanya image za bwawa, kidimbwi, maji itajumlisha na information ulizowai sikia kuhusu ziwa itakuletea ndoto ila kwa kipofu ubongo hauwezi fanya yote haya kwanza haujui hata kuona kunafananaje achieve mbali hio image ya ziwa.
 
Umeiliza swali zuri, mimi pia huwa najiulza, je mtu bubu asiyeweza kuongea tangu kuzaliwa na pia haskii, je mtu huyu huwaza kwa lugha gani?! Dah kweli Mungu mkubwa
 
Mkuu ziwa unalijua lilivyo eidha kwa kuliona kwnye TV au live,hivyo ni rahisi kuota hivyo kwa sababu kumbukumbu ipo kichwani.

au kabla ya kuota hiyo ndoto ulikuwa hujui chochote kuhusu ziwa lilivyo na wala haukuwahi kuliona tokea uzaliwe ?
Sio kugenerate picha,

Mimi nilienda kigoma ziwa Tanganyika kupitia ndoto, mwili Ukiwa chumbani umelala, Mimi nikanda Kwa kutembea zaidi ya km 1000 na nikarudi ndani ya MWILI wangu usiku huo huo.

Ukijua mtu ni nani, utaweza kujua mengi usoyajua.
 
Kwamba akisikia kuhusu tembo, picha yake katika ndoto inakuwaje?
Na huu ndio msingi wa swali lako..👍

Ndoto nyingi ni imagination ya tuliyowahi kuona ndipo tunayajengea taswira

Vipofu huota kwa kujenga picha mpya kulingana na walichosikia sifa, muundo wa vitu,

Sijui upande wa nyapu wanaiotaje wakati hawajawahi kuiona 🤔
 
Back
Top Bottom