Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Hey soma mtiririko wa hoja kabla ujue hoja, wapi niliposema kipofu antiMkuu kipofu anaota kulingana na anavyo experience life yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hey soma mtiririko wa hoja kabla ujue hoja, wapi niliposema kipofu antiMkuu kipofu anaota kulingana na anavyo experience life yake
kwa sababu kipofu baye kazaliwa hivyo maana yake huyo hajawahi kuona chochote tokea anazaliwa.Kwanini mkuu?
Sula sio kuishi bali suala ni kuona kaka.Kama mtu anaweza kuishi bila kuona atashindwa kuota bila kuona?
Hao walishaona tayari so zile picha pabdo zipo kwenye kumbukumbu.kuna watu wanaona halafu wanaota wamenyofolewa macho ndotoni hawaoni.....na ndoto inaendelea![]()
Mtu ni mtu?Mtu si Mtu, au binadamu kwa jina lingine.
Binadamu kibailojia zaidi.
Mtu kisiasa/dunia zaidi.
Ndugu, Mimi nimeenda kigoma majuzi tu hapa nikaliona Hadi ziwa Tanganyika na mchanga wake ulivyo na nikajua hapa ni kigoma kupitia NDOTO na sijawahi kufika kigoma tangu kuzaliwa.kwa sababu kipofu baye kazaliwa hivyo maana yake huyo hajawahi kuona chochote tokea anazaliwa.
Hiyo maana yake ni kwamba hana kumbukumbu ya picha yoyote kwemye akili yake kwa sababu hajawahi kuona kitu hicho.
Ni kama ambavyo wewe huwezi kuwa na picha ama kumbukumbu yoyote kuhusu kitu ambacho haujawahi kukiona.
Sula sio kuishi bali suala ni kuona kaka.
Leo nikikaa nikikuambia simba anatisha moja kwa moja kichwani kwako itakuja picha ya simba kwa sababu ulishawahi kumuona na ile picha ikahifadhiwa kwenye akili yake.
Hao walishaona tayari so zile picha pabdo zipo kwenye kumbukumbu.
Kumbuka akili ya binadamu inafanya kazi ya kuhifadhi mambo uliyoyaona nyuma so kama utapofuka baadae bado zile kumbukumbu zitakusaidia kuona picha kwenye ndoto.
Je MTU AMBAYE HAKUONA TOKA KUZALIWA ANAOTAJE NDOTO ZA PICHA WAKATI HAJAWAHI KUONA ?
Mzee vyema ukaweka hio maana ya mtu tuone hio connection yake na madaMtu ni mtu?
Unamaanisha mtu ni mwili wa mtu?
Ikiwa mtu ni mwili wa mtu, je mtu ni nani?
Ukijua tafsiri ya mtu, utakuwa kwenye position nzuri zaidi kujua ikiwa kipofu anaota ndoto au la, na ikiwa anaota ndoto ni katika mfumo upi!!
Naweka hapo juu kwenye mada Ili kuboresha uelekeo wa mada,Mzee vyema ukaweka hio maana ya mtu tuone hio connection yake na mada
Kuota si nissue ndogo,Kuota ishu ndogo
Mimi Kuna kipofu huwa nachati naye kwa sms!!*kipofu kabisa na anaandika hizo sms mwenyewe
Wanajibu very simple sana wakati ni mambo magumuHaujaona majibu murua ya WAHITIMU WA SHULE ZA KATA?
Wanaota kwa mfumo wa audioSalaam, shalom!!
Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine,
Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto?
TAFSIRI YA MTU.
MTU- Ni ROHO, ANAYO NAFSI NA ANAISHI NDANI YA MWILI.
Hivyo mtu kipofu, ikiwa Yeye ni ROHO, tutakuwa kwenye nafasi nzuri kujua ikiwa anaota ndoto au la. Na ikiwa anaota, ni Kwa mfumo upi?
Cc:Sea Beast
Karibuni🙏
Mkuu ziwa unalijua lilivyo eidha kwa kuliona kwnye TV au live,hivyo ni rahisi kuota hivyo kwa sababu kumbukumbu ipo kichwani.Ndugu, Mimi nimeenda kigoma majuzi tu hapa nikaliona Hadi ziwa Tanganyika na mchanga wake ulivyo na nikajua hapa ni kigoma kupitia NDOTO na sijawahi kufika kigoma tangu kuzaliwa.
Hilo unalielezeaje?
Pia hata kama hakuwai kuliona bado ubongo unaweza ku generate image ya ziwa kutokea kwenye data zilizopo ubongoni itakusanya image za bwawa, kidimbwi, maji itajumlisha na information ulizowai sikia kuhusu ziwa itakuletea ndoto ila kwa kipofu ubongo hauwezi fanya yote haya kwanza haujui hata kuona kunafananaje achieve mbali hio image ya ziwa.Mkuu ziwa unalijua lilivyo eidha kwa kuliona kwnye TV au live,hivyo ni rahisi kuota hivyo kwa sababu kumbukumbu ipo kichwani.
au kabla ya kuota hiyo ndoto ulikuwa hujui chochote kuhusu ziwa lilivyo na wala haukuwahi kuliona tokea uzaliwe ?
Sio kugenerate picha,Mkuu ziwa unalijua lilivyo eidha kwa kuliona kwnye TV au live,hivyo ni rahisi kuota hivyo kwa sababu kumbukumbu ipo kichwani.
au kabla ya kuota hiyo ndoto ulikuwa hujui chochote kuhusu ziwa lilivyo na wala haukuwahi kuliona tokea uzaliwe ?
Ulikiona alichoonanamfahamu kipofu alieota anaona!
Na huu ndio msingi wa swali lako..👍Kwamba akisikia kuhusu tembo, picha yake katika ndoto inakuwaje?
Alionao nn?namfahamu kipofu alieota anaona!