Je, Vision 2030 ya Saudi Arabia ya Mwana Mfalme Mohammed Bin Salman inamaanisha nini kwa Waumini wa SUNNI?

Mambo ya Saudia yanakuhusu nini wewe? Umeshindwa kujihusisha na mambo ya kwenu huko Kitogani ndio utayaweza ya waarabu?
Sasa nyinyi SUNNI ndyo mtajua hamjui. Mkajilipue basi na huko saudio
 
angeamua kuwekeza kwenye elimu, ningeona anajua anachokiongea. shida moja ni kwamba, waarabu akili hawanaga za shule, ndio maana kamwe hawatakuja kujitegemea. hawajawahi kuinvent chochote, technologia zote wanazotumia hawajazivumbua wao na hawazimiliki, wanategemea kila kitu kwa wazungu na wachina ambao hawawauzii ila wanawatumia tu. watajitegemeaje wakati hawana uwezo kutengeneza hata ndege za kivita za mabox tu, hawan auwezo kutengeneza magari, hata kijiko hawawezi, walichonacho ni pesa tu ambazo wazungu wanazitafuna kweli kweli nazo ni za mafuta, yakiisha au technolojia ikibadilika wanalala njaa. waige mfano wa china na india, hao ndio wenye uwezo kushindana na wazungu, wamewekeza sana kwenye teknolojia na elimu, wamerusha vyombo angali, wamevumbua vitu vingi sana vya kisasa na ukitaja india kwa mfano kwenye IT wapo mbali sana hata makampuni makubwa hayo yanawatumia sana wahindi. sasa mwarabu asiye na alimu, ambaye hana labour force yenye elimu, anategemea kuimport kile kitu kuanzia wafanyakazi hadi vyakula, hadi machinery, atatawalaje dunia? au kwa imani ya dini yao?
Ndugu yangu kwa taarifa tu Wasaudia na Wairani ni Wasomi Wazuri sana. Licha ya hizo siasa kali. Mfano nchi hizo Zina Wana wake waliosoma ila mfumo dume uliwadidimiza. Kwa anavyoenda Bin Salmin watafika mbali
 
Niwakumbushe tu kuwa Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman, allisha tamka kuwa Zaidi ya asilimia 90% ya Hadithi (kwenye Quran) ni takakataka!!

Sidhani kama hajaona takataka zilizoko kwenye Quran yenyewe, lakini, ukigusa hicho kitabu na vile waislam walivyo, nafikiri vita ya Dunia anajua itazuka-akamua aanze kwanza na Hadith. Ni huyu huyu ambaye amepiga marufuku Wanafunzi wa kike kuingia darasani wakiwa wamevaa Abaya.

Katika video hapa chini anaapa kwamba ndani ya miaka mitano anataka kui transform kabisa Saudia na nchi nyingine ya Mashariki ya Kati-Kwa maneno yake anataka the New Europe iwe Mashariki ya Kati!

Akiwa anatamka hilo Emir of Dubai Mohammed bin Rashid Al Maktoum peke yake kati ya Umati wote Ndiye anaamka kuonyesha kuunga mkono maono hayo.

Ikumbukwe Dubai imefunguka kiuchumi na kijamii. Aidha katika hotuba yako hiyo anaapa kuwa anataka kablla ya kufa aone ndoto yake hiyo imetimia kwa 100%

Bin Salman siyo tuu anataka Middle East ya waarabu ndiyo iwe Europe, bali anaiwinda hata Israel. Kuna mazungumzo ya chini chini ambapo anataka kuanzisha uhusiano wa kibalozi na Israel na kama hiyo haitoshi anataka kuchukua hata usimamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa. ikumbukwe tu Waislam wa siasa kali wanautumiaga Msikiti huo kuanzisha vurugu ambazo hutokeza mapigano kati ya Waisrael na Wapalestina.

Inasemekana Saudia wamechoshwa na hali hiyo ya vita; kwani maendeleo hayaji kukiwa na chokochoko za vita
Mzee Mwinyi aliisha sema ukifungulia Dirisha hewa nzuri iingie, basi na maanzii yayo yataaingia.

WaSunn kwa maendeleo haya basi tegemeeni kuishi katika ulimwengu ambao itabidi mkubaliane na uasi imani kwenye dini yenu iliyojaa masharti yasiyo na msingi na kwakweli hayatoki kwa Mungu wa Kweli

Wale Waarabu ambao ndyo wanaoisoma na kuielewa Quran (siyo nyinyi mliokaririshwa) Watafunguka macho kutokana na modernization na hivyo kufichua uongo na upuuzi ulioandikwa kwenye Quran.

Nawaambia hivyo, waulizeni wenzenu wakatoliki, ambao walikuwa wakikaririshwa Biblia kwa Kilatini na wakaambiwa Biblia ni ngumu kuielewa hivyo wao wawe wanawasikiliza tu Mapadre wao.

Europe ilipo Modernize uasi ukaanza kutokea na kuanzishwa makanisa ya Kiprotestant. (dont take me wrong thou, because I am neither catholic nor protestant).

The worst scenario, kwa sababu WaSunni ni watu wa kujilipua, basi tutegemee kupigwa marufuku kwa dini yenu pamoja na dini zingine za uongo.

Mambo yanaenda kwa haraka sana, wakati Ulimwengu unaelekea kuadhimisha miaka 2000 tangu ulimwengu ulipotambulishwa Yesu kuwa ndiyo Mesiha
MBS ni reformist, akiendelea na taratibu zake za kiuchumi na kufanya diversification kuacha kutegemea mafuta peke yake ataifanya Saudia iwe superpower wa Middle East. Tatizo lake hazingatii haki za binadamu.

Wenzao Uturuki walipata bahati kiongozi wao wa kwanza Mustafa Kemal Ataturk alikuwa mzembe kwenye dini hadi leo wana maendeleo makubwa na hawajalegea kama hawa wanaotegemea alhamdulillah ya mafuta wakati kwa mabadiliko ya kiteknolojia, kisiasa na kiuchumi mafuta yatafika siku yasiwe big deal. Mbona hata mwanzoni mwa locomotives zenye steam engine wamiliki wa farasi walikuwa wanazikataa wakisema zitachomoka kwenye mataruma. Hata mwanzo wa alternating current power wanasayansi wenye wivu walimpinga Nikola Tesla kwamba huo umeme utaua watu kwa shoti. Nani aliamini kwamba itafika muda matumizi ya farasi yazidiwe na treni. Nani alijua umeme utatumika majumbani na viwandani.

Sasa Saudi Arabia ni watu wa kuridhika. Mwaka 1991 Saddam Hussein alipoivamia Kuwait na akiwa na mpango wa kuivamia Saudi, wakahaha hawana jeshi wakaiita Marekani ije kuwalinda. Hadi leo wanategemea kununua silaha nyingi kwake na ina presence kwenye ardhi yao. Pesa wanayo ila hawataki kuanzisha arms industry yao wajitegemee. Wakati wenzao UAE wana arms industry inakua kwa kasi ingawa inatoa sana silaha kwenye machafuko ya Afrika.

Mahasimu wao Iran wao dini mkononi na kujituma mkononi vilevile. Wamekuwa isolated ila wanapambana kujitegemea kiuchumi, kiteknolojia, kisiasa na kidiplomasia na hawamlilii mtu yeyote, hakuna jirani wa Iran anatamani kuivamia sababu mtaumizana. Juzi hapo Uturuki imepigana nao mkwara kuhusu Azerbaijan na Armenia ila hawawezi ingia vitani kizembe.

Wote hao Iran na Turkey wanaweza defy matakwa ya superpower yeyote na akaumiza kichwa namna ya kuwachukulia hatua. Saudia hawawezi.

Sasa MBS anawekeza kwenye kilimo kuna mito atajenga na miradi ya umwagiliaji, utalii, kwenye mipango ya kiuchumi kama kununua clubs duniani hilo lazima Saudi wafanye, kununua shares na kuwekeza financial institutions, kuongeza influence na ushawishi duniani mfano kwenye ligi yao.

Na viongozi wengi wa Kiarabu wanapenda kurejesha mahusiano na Israel sema dini na raia wa kawaida ndio wanaoleta ugumu. Last month Foreign Minister wa Libya alikutana kisiri na wa Israel alafu ikajulikana raia wakaandamana hadi akakimbia nchi. Kasoro UAE ndio ishaonja utamu wa kuwa inclusive ndio maana ikawa ya kwanza kuanzisha flights kwenda Israel.
China kasaidia sana kwenye hilo.

Next stage wakielewana n Iran wakaacha ujinga wa kukorofishana kisa Shia na Sunni watapiga hatua. Kuna nchi mbili hazipendi na mnazijua.
 
by 2040 wamecommit 2.5% ya bajeti yao kwenye R&D, mwezi uliopita MBS amezindua mfuko wa tafiti na maendeleo ya high tech na future technologies king abdulah university of science and technology. Kasome reports za WEF kuhusu reforms and tech investment ya saudi. Saudi inabadilika sana.
Uko vizuri kwenye world current issues 👍👍
 
Niwakumbushe tu kuwa Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman, allisha tamka kuwa Zaidi ya asilimia 90% ya Hadithi (kwenye Quran) ni takakataka!!

Sidhani kama hajaona takataka zilizoko kwenye Quran yenyewe, lakini, ukigusa hicho kitabu na vile waislam walivyo, nafikiri vita ya Dunia anajua itazuka-akamua aanze kwanza na Hadith. Ni huyu huyu ambaye amepiga marufuku Wanafunzi wa kike kuingia darasani wakiwa wamevaa Abaya.

Katika video hapa chini anaapa kwamba ndani ya miaka mitano anataka kui transform kabisa Saudia na nchi nyingine ya Mashariki ya Kati-Kwa maneno yake anataka the New Europe iwe Mashariki ya Kati!

Akiwa anatamka hilo Emir of Dubai Mohammed bin Rashid Al Maktoum peke yake kati ya Umati wote Ndiye anaamka kuonyesha kuunga mkono maono hayo.

Ikumbukwe Dubai imefunguka kiuchumi na kijamii. Aidha katika hotuba yako hiyo anaapa kuwa anataka kablla ya kufa aone ndoto yake hiyo imetimia kwa 100%

Bin Salman siyo tuu anataka Middle East ya waarabu ndiyo iwe Europe, bali anaiwinda hata Israel. Kuna mazungumzo ya chini chini ambapo anataka kuanzisha uhusiano wa kibalozi na Israel na kama hiyo haitoshi anataka kuchukua hata usimamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa. ikumbukwe tu Waislam wa siasa kali wanautumiaga Msikiti huo kuanzisha vurugu ambazo hutokeza mapigano kati ya Waisrael na Wapalestina.

Inasemekana Saudia wamechoshwa na hali hiyo ya vita; kwani maendeleo hayaji kukiwa na chokochoko za vita
Mzee Mwinyi aliisha sema ukifungulia Dirisha hewa nzuri iingie, basi na maanzii yayo yataaingia.

WaSunn kwa maendeleo haya basi tegemeeni kuishi katika ulimwengu ambao itabidi mkubaliane na uasi imani kwenye dini yenu iliyojaa masharti yasiyo na msingi na kwakweli hayatoki kwa Mungu wa Kweli

Wale Waarabu ambao ndyo wanaoisoma na kuielewa Quran (siyo nyinyi mliokaririshwa) Watafunguka macho kutokana na modernization na hivyo kufichua uongo na upuuzi ulioandikwa kwenye Quran.

Nawaambia hivyo, waulizeni wenzenu wakatoliki, ambao walikuwa wakikaririshwa Biblia kwa Kilatini na wakaambiwa Biblia ni ngumu kuielewa hivyo wao wawe wanawasikiliza tu Mapadre wao.

Europe ilipo Modernize uasi ukaanza kutokea na kuanzishwa makanisa ya Kiprotestant. (dont take me wrong thou, because I am neither catholic nor protestant).

The worst scenario, kwa sababu WaSunni ni watu wa kujilipua, basi tutegemee kupigwa marufuku kwa dini yenu pamoja na dini zingine za uongo.

Mambo yanaenda kwa haraka sana, wakati Ulimwengu unaelekea kuadhimisha miaka 2000 tangu ulimwengu ulipotambulishwa Yesu kuwa ndiyo Mesiha
Umechanganya ugali ,pilau ,magimbi ,mamungunya kwenye pishi moja....

Ni huyohuyo MBS na nduguze wanaoshirikiana na marekani kutengeneza makundi ya magaidi kupitia humo ndani ya Usunni.....Nusra Front ,ISIS/ISIL,AL SHABAAB/BOKO HARAM et al ...

Asili ya dini yetu ya kiislam ni kutumia akili na kuheshimu na kuthamini hata miti.....

Wao ndio walioanzisha MADHEHEBU yenye chuki ,visasi na uonevu kwa kila wasiokuwa wao......

Anajirudi sasa eeee?!!! [emoji1787][emoji1787]

Quran hatoifutika kwani ni AHADI ya ALLAH kuilinda hadi dahari [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]
#DoNotDoHarm[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
... wakubaliane na sera za kulegeza tamaduni na masharti makali ya kidini yaliyowekwa na watangulizi? Anyway, kile kizazi kikuukuu kinaishia hivyo; kinaingia kizazi kipya.
Toka hapo awali dini haina masharti makuu....ni wao walio wahafadhina kwa malengo yasiyo ya "kidini"....

We chizi kasome kitabu kinaitwa "fitnat ul wahhabiyya"....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi pambana na western world,dunia ya sasa utaonekana mjinga na mpumbafu tu,usipo badilika mabadiliko yatakubadilisha,saudia,emirates wameanza kujitambua.
Dini ya kiislam wala haipambani na Western world.....

Kwani kama ni "ukafiri" uko dunia nzima....

Uislam unafunza kupambana na mdhalilishaji yeyote pale anapokudhalilisha....unataka dini ifundishe uvumilivu wa "kut....wa mad....le ya mk....ndrrrr"?!!! [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ambacho hatukifahamu ALLAH anasema wakati sisi tunapanga Naye anapanga ILA KATUKUMBUSHA KUWA "YEYE NI MBORA KABISA KATIKA KUPANGA"

Makka, Madina na Jerusalem ITABAKI NI MIJI MITIKUFU KABISA WALA HAKUNA UBISHI, MAKKAH na Madina Mola Mlezi ameahidi kuilinda HATA DAJJAL [MPINGA KRISTO] HATAKANYAGA!!!!

ila kingine USISHANGAE NCHI ZILIZOKUWA ZA KIKAFIRI [ MAJORITY NON MUSLIMS] Zikawa ndiyo MUSLIM COUNTRIES.....

Huwezi shindana na Mola Mlezi!!! Na Qur'an ameahidi ATAILINDA dhidi ya kukngiliwa na MIKONO MIOVU kama ilivyoingiliwa VITABU VILIVYOPITA....
Huwezi kushindana na Mola, wakati tayari wengi wameshamtupa nje ya ulingo tayari!
Unapodai kwamba tutakufa, kwani ni wafuasi wa dini gani hawafi?

Muhammad (S.A.W) amekufa na ameshakuwa udongo, Yesu amening'inizwa hadharani uchi mpaka kifo, ndani ya Makanisa kuna makaburi, ndani ya waislamu yapo pia.

Hizo hofu za kitoto zimeshapitwa na wakati.
 
angeamua kuwekeza kwenye elimu, ningeona anajua anachokiongea. shida moja ni kwamba, waarabu akili hawanaga za shule, ndio maana kamwe hawatakuja kujitegemea. hawajawahi kuinvent chochote, technologia zote wanazotumia hawajazivumbua wao na hawazimiliki, wanategemea kila kitu kwa wazungu na wachina ambao hawawauzii ila wanawatumia tu. watajitegemeaje wakati hawana uwezo kutengeneza hata ndege za kivita za mabox tu, hawan auwezo kutengeneza magari, hata kijiko hawawezi, walichonacho ni pesa tu ambazo wazungu wanazitafuna kweli kweli nazo ni za mafuta, yakiisha au technolojia ikibadilika wanalala njaa. waige mfano wa china na india, hao ndio wenye uwezo kushindana na wazungu, wamewekeza sana kwenye teknolojia na elimu, wamerusha vyombo angali, wamevumbua vitu vingi sana vya kisasa na ukitaja india kwa mfano kwenye IT wapo mbali sana hata makampuni makubwa hayo yanawatumia sana wahindi. sasa mwarabu asiye na alimu, ambaye hana labour force yenye elimu, anategemea kuimport kile kitu kuanzia wafanyakazi hadi vyakula, hadi machinery, atatawalaje dunia? au kwa imani ya dini yao?
Angalia hii mbweeer isiyo na akili [emoji1787]

Wewe shule ulipelekwa kusomea "kupigwa nd...le za mat...ko"?!!![emoji1787]

Lini "race" ikawa haina wenye akili ?!!!

Wewe ndiye unayemuunga mkono Trump kutuita waafrika kuwa shitholes?!!!

Brainwashed....

Akina Algebra ni wamakuwa ?!!![emoji15]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ndio maana nimesema kule wanaenda kuchota mipesa kwa watu wasio jielewa. makampuni mengi ya uchimbaji mafuta kote huko ni ya wazungu, waarabu wanapata kamisheni tu, sema cha muhimu ni kwamba wanapata kamisheni kubwa sana, ila wazungu wakiondoa uwekezaji kwenye mafuta, wameisha hao. hawana meli binafsi za kusafirishia mafuta kwenda kwenye masoko, wawekezaji wazungu ndio wamiliki wa kila kitu. kusema nchi zote duniani zinategemea migration kusustain uchumi wao, hauelewi unachokiongea.
We jamaa acha stori za Vijiweni, kampuni kubwa ya Mafuta Saudia Inaitwa Saudi Aramco na kwa Asilimia 100 ni ya Saudi wenyewe, juzi tu Hapa ndio wametoa 10% wakaweka kwenye Soko la hisa na kuruhusu wengine wamiliki. As of now 90% ni Serikali na iliobakia watu wa kawaida.

Mafuta yao anamiliki wenyewe hayo makampuni kama yalimiliki ni toka enzi hizo ila sasa hivi yanafanya kazi kama contractor tu na kulipwa ila hawayamiliki mafuta.

Kuna watu watafikiri wanatania ila wanamaanisha.

❓ Kama dunia hasa ulaya na marekani watazubaa itatokea Yale yaliyotokea Algeria wakati wa Arab invasion

❓Mbinu Moja wapo wanayofanya ni kuzamia nchi za ulaya kama wahamiaji haramu, wakifika huko wanatoa mabinti wa kizungu na kuwabadili dini na kuwazalisha watoto wengi, mwisho wa siku watakuwa wamejichomeka kwenye mifumo ya uongozi na kufanikiwa ku facilitate mipango Yao

❓Jingine, wanatumia fedha nyingi kununua makampuni ya ulaya na kuyaendesha wao

❓Lingine wananunua timu za mipira wa miguu za ulaya na kuziendesha sii kwamba wanapenda mpira hapana Kuna kitu kilichojificha watu hawajakiona

❓ Wananunua wachezaji wakubwa wa ulaya na america kwa garama yoyote, watu wanadhani kwamba wanapenda mpira lakini hawajui lolote wamekwisha jifunza madhaifu ya walimwengu na Sasa wamelenga kwenye mshono. Jiulize kwa nini Sasa Hawa wachezaji wananunuliwa kwa garama yoyote? Jibu huwezi kulipata Leo, wewe furahia mpira kumwona messi na Neimar uarabuni majibu yatakuja huko mbeeleee. Tunywe mtori nyama zipo chini
 
Lete ushahidi.
Lete ushahidi.
Hiyo ndiyo nyinyi SUNNI mnayojua ushahidi umewekewa Bado tu unakaza Shingo yako. Na Mwana mfalme Bin Salman atawanyoosha mpaka mseme poo. Soma hadithi 146
Ona hapo kibandiko
Screenshot_20230911-203554.png
 
umeandika upuuz mtupu.MSIMAMO WA MTU MMOJA HAUWEZ KUWA MSIMAMO WA UISLAM.huyo mbs wenu ataondoka QURAN NA HADITH ZITABAKI.afanye atakavyo fanya ila maandiko ya uislam yatabaki vile vile.kwenye dhambi itabaki dhambi tu.na kwenye thawabu itabaki thawabu tu.uislam hauangalii wewe ni nani
Hilo ndio ilikua lengo lake kuleta upuuzi tu
 
MBS ni reformist, akiendelea na taratibu zake za kiuchumi na kufanya diversification kuacha kutegemea mafuta peke yake ataifanya Saudia iwe superpower wa Middle East. Tatizo lake hazingatii haki za binadamu.

Wenzao Uturuki walipata bahati kiongozi wao wa kwanza Mustafa Kemal Ataturk alikuwa mzembe kwenye dini hadi leo wana maendeleo makubwa na hawajalegea kama hawa wanaotegemea alhamdulillah ya mafuta wakati kwa mabadiliko ya kiteknolojia, kisiasa na kiuchumi mafuta yatafika siku yasiwe big deal. Mbona hata mwanzoni mwa locomotives zenye steam engine wamiliki wa farasi walikuwa wanazikataa wakisema zitachomoka kwenye mataruma. Hata mwanzo wa alternating current power wanasayansi wenye wivu walimpinga Nikola Tesla kwamba huo umeme utaua watu kwa shoti. Nani aliamini kwamba itafika muda matumizi ya farasi yazidiwe na treni. Nani alijua umeme utatumika majumbani na viwandani.

Sasa Saudi Arabia ni watu wa kuridhika. Mwaka 1991 Saddam Hussein alipoivamia Kuwait na akiwa na mpango wa kuivamia Saudi, wakahaha hawana jeshi wakaiita Marekani ije kuwalinda. Hadi leo wanategemea kununua silaha nyingi kwake na ina presence kwenye ardhi yao. Pesa wanayo ila hawataki kuanzisha arms industry yao wajitegemee. Wakati wenzao UAE wana arms industry inakua kwa kasi ingawa inatoa sana silaha kwenye machafuko ya Afrika.

Mahasimu wao Iran wao dini mkononi na kujituma mkononi vilevile. Wamekuwa isolated ila wanapambana kujitegemea kiuchumi, kiteknolojia, kisiasa na kidiplomasia na hawamlilii mtu yeyote, hakuna jirani wa Iran anatamani kuivamia sababu mtaumizana. Juzi hapo Uturuki imepigana nao mkwara kuhusu Azerbaijan na Armenia ila hawawezi ingia vitani kizembe.

Wote hao Iran na Turkey wanaweza defy matakwa ya superpower yeyote na akaumiza kichwa namna ya kuwachukulia hatua. Saudia hawawezi.

Sasa MBS anawekeza kwenye kilimo kuna mito atajenga na miradi ya umwagiliaji, utalii, kwenye mipango ya kiuchumi kama kununua clubs duniani hilo lazima Saudi wafanye, kununua shares na kuwekeza financial institutions, kuongeza influence na ushawishi duniani mfano kwenye ligi yao.

Na viongozi wengi wa Kiarabu wanapenda kurejesha mahusiano na Israel sema dini na raia wa kawaida ndio wanaoleta ugumu. Last month Foreign Minister wa Libya alikutana kisiri na wa Israel alafu ikajulikana raia wakaandamana hadi akakimbia nchi. Kasoro UAE ndio ishaonja utamu wa kuwa inclusive ndio maana ikawa ya kwanza kuanzisha flights kwenda Israel.
China kasaidia sana kwenye hilo.

Next stage wakielewana n Iran wakaacha ujinga wa kukorofishana kisa Shia na Sunni watapiga hatua. Kuna nchi mbili hazipendi na mnazijua.
Kwamba Uturuki ya Sasa ni Bora kuliko Ottoman? You cant be serious, kwenye peak yake Uturuki ni habari nyengine, wamecivilise ulaya Nzima ile.
 
Mzee, Hawa wasaudi bila mafuta bado wanatoboa, Kuna baadhi ya watu duniani kote hukudanya fedha , ili wakalizunguke ndude Fulani jiwe jeusi wakiamini wakifanya hivyo watakwenda mbinguni. Hivyo wanaamini cash inflow Kila mwaka kwa watu hao, lazima iingie nchini kwao kama mwampisa anavyoamini watu lazima wafike kanisani kwake kuacha mapesa na baadaye kuksnyaga mafuta wayaitayo ya upako
 
Umechanganya ugali ,pilau ,magimbi ,mamungunya kwenye pishi moja....

Ni huyohuyo MBS na nduguze wanaoshirikiana na marekani kutengeneza makundi ya magaidi kupitia humo ndani ya Usunni.....Nusra Front ,ISIS/ISIL,AL SHABAAB/BOKO HARAM et al ...

Asili ya dini yetu ya kiislam ni kutumia akili na kuheshimu na kuthamini hata miti.....

Wao ndio walioanzisha MADHEHEBU yenye chuki ,visasi na uonevu kwa kila wasiokuwa wao......

Anajirudi sasa eeee?!!! [emoji1787][emoji1787]

Quran hatoifutika kwani ni AHADI ya ALLAH kuilinda hadi dahari [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]
#DoNotDoHarm[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Duuu wewe kwani unamjua huyo Allah vizuri?? Ulipata kuyajua majina yake matano kati ya 99 yanamaanisha nini? Hebu ona hili bandiko
Screenshot_20230829-235103~2.png
 
Back
Top Bottom