FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Aliyeambiwa alete ushahidi ni Mwaarabu?Ushahidi wa nini na umeshaambiwa,kwahiyo wewe wsijua dini kuliko waarabu!.
Unaonesha hata unachokisoma huelewi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeambiwa alete ushahidi ni Mwaarabu?Ushahidi wa nini na umeshaambiwa,kwahiyo wewe wsijua dini kuliko waarabu!.
Hiyo ndiyo nyinyi SUNNI mnayojua ushahidi umewekewa Bado tu unakaza Shingo yako. Na Mwana mfalme Bin Salman atawanyoosha mpaka mseme poo. Soma hadithi 146
Ona hapo kibandiko
Acha ubishi wa Kitoto, kama ameandika upuuzi mbona unam diss MBS?umeandika upuuz mtupu.MSIMAMO WA MTU MMOJA HAUWEZ KUWA MSIMAMO WA UISLAM.huyo mbs wenu ataondoka QURAN NA HADITH ZITABAKI.afanye atakavyo fanya ila maandiko ya uislam yatabaki vile vile.kwenye dhambi itabaki dhambi tu.na kwenye thawabu itabaki thawabu tu.uislam hauangalii wewe ni nani
Wewe unawazidi elimu waarabuangeongea hili iran ningeamini, sasa huyu? hawezi kujitesa kusoma mwarabu wewe.
Wanawake walisomaje ikiwa wanadidimizwa!?Ndugu yangu kwa taarifa tu Wasaudia na Wairani ni Wasomi Wazuri sana. Licha ya hizo siasa kali. Mfano nchi hizo Zina Wana wake waliosoma ila mfumo dume uliwadidimiza. Kwa anavyoenda Bin Salmin watafika mbali
Mimi nazungumzia Uturuki ya post WW1 wewe unaleta ya medieval era. Kwani ukiwauliza Waturuki founding father wao ni nani wanamtaja nani?Kwamba Uturuki ya Sasa ni Bora kuliko Ottoman? You cant be serious, kwenye peak yake Uturuki ni habari nyengine, wamecivilise ulaya Nzima ile.
Alikuwa anaitwa Rashid. Alitawazwa kuwa crown wa Dubai mwaka 2006. Kuwa crown ni mwanzo wa kuwa mtawalaAlikuwa anaitwa nani ? Nataka nikamsome
Wewe utakuwa huijui Saudi Arabia. Hela wanayopokea kwenye hija hata 5% ya bajeti yao haifiki. Unaona ni nyingi, je ni nyingi kulinganisha na nini. Wanaweza funga hizo miji mitakatifu na wasihisi chochote. Uko hawapati hata dola bilioni 20, hizo ni peanuts kwaoMzee, Hawa wasaudi bila mafuta bado wanatoboa, Kuna baadhi ya watu duniani kote hukudanya fedha , ili wakalizunguke ndude Fulani jiwe jeusi wakiamini wakifanya hivyo watakwenda mbinguni. Hivyo wanaamini cash inflow Kila mwaka kwa watu hao, lazima iingie nchini kwao kama mwampisa anavyoamini watu lazima wafike kanisani kwake kuacha mapesa na baadaye kuksnyaga mafuta wayaitayo ya upako
Kwa vitabu vilivyopita alikuwa hajajipanga kuvilinda?Ila sasa ndo kajipanga sio?Ambacho hatukifahamu ALLAH anasema wakati sisi tunapanga Naye anapanga ILA KATUKUMBUSHA KUWA "YEYE NI MBORA KABISA KATIKA KUPANGA"
Makka, Madina na Jerusalem ITABAKI NI MIJI MITIKUFU KABISA WALA HAKUNA UBISHI, MAKKAH na Madina Mola Mlezi ameahidi kuilinda HATA DAJJAL [MPINGA KRISTO] HATAKANYAGA!!!!
ila kingine USISHANGAE NCHI ZILIZOKUWA ZA KIKAFIRI [ MAJORITY NON MUSLIMS] Zikawa ndiyo MUSLIM COUNTRIES.....
Huwezi shindana na Mola Mlezi!!! Na Qur'an ameahidi ATAILINDA dhidi ya kukngiliwa na MIKONO MIOVU kama ilivyoingiliwa VITABU VILIVYOPITA....
Then hio ni failure, kuisifia Uturuki ambayo imenyanganywa maeneo na kuwekewa vikwazo vya uchumi ni ujinga. Uturuki ya sasa ni weak compare na zamani, so unapowasifia wa sasa as if ni smart haimake sense. Zunguka unavyotaka ila point yangu ushaielewa.Mimi nazungumzia Uturuki ya post WW1 wewe unaleta ya medieval era. Kwani ukiwauliza Waturuki founding father wao ni nani wanamtaja nani?
Alafu huoni hapo umechanganya vitu viwili tofauti, Ottoman empire vs Turkiye. Pale nimetaja Iran kwanini hujataka nitaje Achaemenid empire. Au pale Saudi Arabia kwanini hujataka nitaje zile kingdom mbili zilizokuwepo kabla ya familia ya al Saud
Wanawake walisomaje ikiwa wanadidimizwa!?
Ona mwenyewe wanawake wa Saudia walivyosomaWanawake walisomaje ikiwa wanadidimizwa!?
Uturuki ni weak dhidi ya nani. Saudi Arabia, Iran au nani?Then hio ni failure, kuisifia Uturuki ambayo imenyanganywa maeneo na kuwekewa vikwazo vya uchumi ni ujinga. Uturuki ya sasa ni weak compare na zamani, so unapowasifia wa sasa as if ni smart haimake sense. Zunguka unavyotaka ila point yangu ushaielewa.
USA, uk, France, japan, China etc saudi ni Eneo Lao la zamaniUturuki ni weak dhidi ya nani. Saudi Arabia, Iran au nani?
Sasa USA, France, Japan na China ziko Middle East au unajiandikisha kwenda na mkumbo. Hujui maana ya Middle East niliyotaja hapo?USA, uk, France, japan, China etc saudi ni Eneo Lao la zamani
Na quote paragraph yakoSasa USA, France, Japan na China ziko Middle East au unajiandikisha kwenda na mkumbo. Hujui maana ya Middle East niliyotaja hapo?
Wenzao Uturuki walipata bahati kiongozi wao wa kwanza Mustafa Kemal Ataturk alikuwa mzembe kwenye dini hadi leo wana maendeleo makubwa na hawajalegea kama hawa wanaotegemea alhamdulillah ya mafuta wakati kwa mabadiliko ya kiteknolojia, kisiasa na kiuchumi mafuta yatafika siku yasiwe big deal.
Yupi huyo? Mrithi ni mbs hakuna mwingine, huyo unaomsema hapa ni yupi?Yule mwamba mwingine kijana aliekuwa aongoze Saudia kwa sasa,waliemuua yule ndio alikuwa balaa. Amesoma ulaya. Alianza mapema tu kuonyesha mabadiriko. Alikuwa hakubariani kabisa na sheria za nchini mwao. kipindi hicho babaake ndio alikuwa anaongoza,huku yeye akitegemewa kupokea kijiti kutoka kwa baba,alikuwa anampinga wazi wazi babaake. Hasa sheria za kuwakandamiza kuwafunga jera za kificho ndugu zake.
Vijana walikuwa wanamkubali kichiz.yule mwamba. Wakafanya mpango wa kumuondoa haraka. Alikuwa bonge la kijana mwenye maono ya mbali. Hata hizi sera za huyu wa sasa mwasisi wake ni yule mwamba hayati
We nae hujui ulichoandika!ndio maana nimesema kule wanaenda kuchota mipesa kwa watu wasio jielewa. makampuni mengi ya uchimbaji mafuta kote huko ni ya wazungu, waarabu wanapata kamisheni tu, sema cha muhimu ni kwamba wanapata kamisheni kubwa sana, ila wazungu wakiondoa uwekezaji kwenye mafuta, wameisha hao. hawana meli binafsi za kusafirishia mafuta kwenda kwenye masoko, wawekezaji wazungu ndio wamiliki wa kila kitu. kusema nchi zote duniani zinategemea migration kusustain uchumi wao, hauelewi unachokiongea.
Sasa mungu gani Huyo Wa kutembezwa uchi kwa waja wake??? Mambo mengine bwanaHuwezi kushindana na Mola, wakati tayari wengi wameshamtupa nje ya ulingo tayari!
Unapodai kwamba tutakufa, kwani ni wafuasi wa dini gani hawafi?
Muhammad (S.A.W) amekufa na ameshakuwa udongo, Yesu amening'inizwa hadharani uchi mpaka kifo, ndani ya Makanisa kuna makaburi, ndani ya waislamu yapo pia.
Hizo hofu za kitoto zimeshapitwa na wakati.
@FaizaFoxy usimjibu tena huyu hata ulivyomjibu alete ushahidi naona ulimfanyia tu hisani ila hastahili hiyo privilege mjinga kama huyu!Hiyo ndiyo nyinyi SUNNI mnayojua ushahidi umewekewa Bado tu unakaza Shingo yako. Na Mwana mfalme Bin Salman atawanyoosha mpaka mseme poo. Soma hadithi 146
Ona hapo kibandiko
View attachment 2746228