mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana.
Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba.
Mchambuzi mwingine anasema hats US atakoma siku zikiendelea maana silaha zake zitapungua kwenye akiba zake.
Najiuliza nchi karibuni thelathini zipeleke silaha nyingi hivyo Ukraine alafu urusi haingizi silaha mpya naona kama atachoka na kuishiwa mabomu na miundombinu ya kivita.
Je, ni mbinu ya NATO kumchosha ili waje waishtukize Russia?
Je Russia anasilaha nyingi kiasi hicho?